More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.
Nilitaka kukuelekeza kwa muhitaji mwingine anaitwa XOXOQY bahati mbaya yeye ni kabila sensitive, Hivyo Mage nikutakie Heri katika safari uliyoianzisha.
 
Home boi ndo kusema hutaki tena Ulanzi? Yaani toka nikuachie Maty basi tena hutaki kujua tena habari zangu!
We tema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa then utaona!

.....ha!ha!ha!ha!aaaaaa wapi Kimey mzee ya TOP MAISHA! Daaaa ulicheza cheupe sana kuniachia mama ''visichana'' aisee......! hata Fidel analijua hilo......! Donti wori mimi ni mchungaji mwema wa kondoo......!Lol
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Hapo kwenye red punguza kidogo basi halafu uniPM maana katika hali hii naona picha ya mtu mwenye Presha na matatizo mengine ya moyo.,hii ni kiafya zaidi.
 
Mwenzio hapo kasema MNENE KIDOGO so kumbe na hapo kapunguza mkuu!!!

Hapo kwenye red punguza kidogo basi halafu uniPM maana katika hali hii naona picha ya mtu mwenye Presha na matatizo mengine ya moyo.,hii ni kiafya zaidi.
 
Huo uzito nitakuhimili kweli 90kg???

Mi nina 60kg any way nitavumilia tu mikimiki
mzee ujiandae vyema 90 kg ukiweka na vyaluu naona kama unaenda ku commit-suicide hapo bora ususbiri waje wengine:A S 103:
 
Binti, Omba Mungu sana nae atakujibu kwa kukuonesha yupi anakufaa, kwani naona hapa JF wamejitokeza tokeza.
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Baba mtoto yuko wapi kwanza?
 
Halafu wewe ni mwanume unachekaje hivyo kama kiumbea fulani hivi wa paleee mapiapa ya magomeni darisalama. Sory kama nimekuudhi

Gender Calling you have been warned by the way what's the use why are you so ERINACEOUS Kheee Kheee Kheee
 
Uliwahi kuolewa? Hili swali la msingi.....halafu ungeeleza umechukua hatua gani kupunguza uzito! 90Kg sio mchezo.
 
Jamani uzito usiwatishe, amesema yeye ni mrefu so hiyo ni kawaida kabisa. angekuwa kifupi nyundo ndo angetisha.........so gentlemen do be scared...jaribu bahati yako.....tena anaonekana yuko mkweli mpaka ameweka kgs zake hapa......:clap2:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom