More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

Mpaka saa hizi naona sina mpinzani, yaani ni haka ka Fidel80 tu.. lazima nichukuwe mzigo wa Machame huu...:roll:
 
Magreth
Kwanza napenda kukupongeza kwa kutokuwa mbaguzi kwenye swala la dini na dhehebu, umetupa nafasi wote wanaume wenye mapenzi ya dhati.
Sasa mimi ni Muislam na nina miaka 36 na nina watoto watatu na mke mmoja, lakini ninataka kuoa mke mwingine na ningependa awe mchaga pure kama wewe na sifa zako zote mimi hewala.
Je unasemaje mama...

Daaaaaah
Aisee kumbe akina dada wakijitokeza kutaka mwenza pamakuwa hapatoshi hapa JF?? :twitch:
 
Wanoko mmesha anza kubana ridhiki za watu, wapi nilisema lete ushahidi
Ha ha haaa mkuu siku zote mambo mazuri hayapatikani kirahisi.... lazima wanoko wataingilia kati tu!!!! Wewe tia bidii, mke wako huyo!!!:coffee:
 
Jamaani toto hilo.
Lisiondoke halijapata mtu.
Halafu mtuletee feedback.
 
......mi nina picha yake tayari.......!ha!ha!ha!ha! wapi mzee ya TOLEKA!


...Hili mkuu ni VX V8 aisee....Lol!
Home boi ndo kusema hutaki tena Ulanzi? Yaani toka nikuachie Maty basi tena hutaki kujua tena habari zangu!
We tema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa then utaona!
 
Mafanikio mema mama ila nenda taratibu ucjeuziwa mbuzi kwenye gunia au dhahabu kariakoo!
 
Kamanda naona na we upo mdogomdogo sio! Hebu mulizie kama atajisikia vibaya ukimpeleka Kempisky!
hehehe dah! kamanda kimey bana. hiyo ni non refusable offer kwa jinsia ya upinzani, iko kwenye DNA yako kabisa yaani.
 
Kheee Kheee kwani maandishi yanaongea??? Mimi huwa sili BAN infact mimi ndio natoa BAN so be careful

Halafu wewe ni mwanume unachekaje hivyo kama kiumbea fulani hivi wa paleee mapiapa ya magomeni darisalama. Sory kama nimekuudhi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom