More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

Ombi lako limekuja wakati muafaka kabisa;
Mimi ni mwanaume rijali na ninatafuta mke pia; sifa ulizozitaja zinaendana kabisa na ninayemtaka. Ila kabla ongezea yafuatayo;

1. Dini/dhehebu
2. Je uko tayari kuolewa mke wa pili?
3. Rangi ya ngozi yako je?
4. Urefu wa nywele zako ukoje?
5. Je lile suala la kujua mwanaume anavaa kiatu saizi gani (ili ukadirie urefu wa nanihii yake) huhitaji kujua>?
 
Huo uzito nitakuhimili kweli 90kg???

Mi nina 60kg any way nitavumilia tu mikimiki

Mkuu huyo mtoto ni m-bantu asilia aka m-bantu original, huna haja ya godoro wakati wa sarakasi :roll:
 
Ombi lako limekuja wakati muafaka kabisa;
Mimi ni mwanaume rijali na ninatafuta mke pia; sifa ulizozitaja zinaendana kabisa na ninayemtaka. Ila kabla ongezea yafuatayo;

1. Dini/dhehebu
2. Je uko tayari kuolewa mke wa pili?
3. Rangi ya ngozi yako je?
4. Urefu wa nywele zako ukoje?
5. Je lile suala la kujua mwanaume anavaa kiatu saizi gani (ili ukadirie urefu wa nanihii yake) huhitaji kujua>?

Mkuu usha chelewa, tuliza majeshi
 
Mkuu huyo mtoto ni m-bantu asilia aka m-bantu original, huna haja ya godoro wakati wa sarakasi :roll:

Alipo sema figa yake namba 8 moyo umelipuka pwaaaaa yaani hapa kila nikitengeneza fremu ya hiyo namba 8 naishia kuwaza tu lol
 
Ombi lako limekuja wakati muafaka kabisa;
Mimi ni mwanaume rijali na ninatafuta mke pia; sifa ulizozitaja zinaendana kabisa na ninayemtaka. Ila kabla ongezea yafuatayo;

1. Dini/dhehebu
2. Je uko tayari kuolewa mke wa pili?
3. Rangi ya ngozi yako je?
4. Urefu wa nywele zako ukoje?
5. Je lile suala la kujua mwanaume anavaa kiatu saizi gani (ili ukadirie urefu wa nanihii yake) huhitaji kujua>?

Daah Masaki wewe una hatari kweli kweli
Kwa hiyo unataka kuongeza nyumba ndani?
Usiwe unapotea hivo
 
Magreth
Kwanza napenda kukupongeza kwa kutokuwa mbaguzi kwenye swala la dini na dhehebu, umetupa nafasi wote wanaume wenye mapenzi ya dhati.
Sasa mimi ni Muislam na nina miaka 36 na nina watoto watatu na mke mmoja, lakini ninataka kuoa mke mwingine na ningependa awe mchaga pure kama wewe na sifa zako zote mimi hewala.
Je unasemaje mama...
 
Kwa maandishi yake huoni kawa muwazi?? Halafu wewe acha kunifata fata umesikia AD kala BAN bado wewe
Kheee Kheee kwani maandishi yanaongea??? Mimi huwa sili BAN infact mimi ndio natoa BAN so be careful
 
He!he!he!he!.....Homu boi kaza buti hii mtoto tena naonekana turbo machine.....utawin tu!

Matoto ya kaskazini huko huwa yanakuwa yamewiva kama mapindigesi mweh Mungu anipe nini gunia la chawa nijikune mwaka mzima?
 
Unataka kumpelekea mwenzio uzee umfie kitandani!?

Wee thubutu hakuna Mzee siku hizi. Wakikusikia unawaita wazee watakuuliza je unawakokea moto? Kumbuka hawaitwi wazee wanaitwa Vijana wa zamani enzi hizo. Asiogope kwani akimpata mzee itakuwa poa. Kama Disco wataenda na wanahonga ile mbaya(nasema polepole ili wasinisikie) waswahili wanetumia msemo wa kukata pochi ile mbaya. Huyo mtoto wake ataangaliwa vizuri ( mjukuu siyo?). Hakuna hastle kitandani maana ni poa na anatumia uzoefu. Mzee anajali kuliko kijana wa kileo maana hana mikwala mingi ila hoja tu. Kwa hiyo Mage nakushauri upanue wigo wa umri. Kila la Heri Mage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom