Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.