Mnaotafuta wachumba hapa JF...

mpaka mtu aje kutafuta mchumba hapa inaleta maswali mengi,lkn kwa watu wa nchi za dunia ya kwanza ni mambo ya kawaida kabisa
Ni maswali gani hayo? Yaweke hapa tuone kama ni kweli au la?
hapo kwingine umejikanyagakanyaga tu dada yangu sioni tofauti ya kwao na ya kwetu, ni suala la kujiamini tu
 
Kwa kweli hata mimi ilikuwa inanitatiza.Tunawaomba wale wote mliotafuta wachumba humu mtueleze,Dorin na wengineo.
 
you already know....

mmmh!!!!!!!!

jamani boss wangu alitafuta mchumba kupitia mtandao, they are 'happily' married na wana watoto wawili!!

kwa kweli sioni 'formula' sahihi kuhusu hili la wachumba kupitia mitandao. to sime it works and to some it doesnt...............
 
Kwa kweli hata mimi ilikuwa inanitatiza.Tunawaomba wale wote mliotafuta wachumba humu mtueleze,Dorin na wengineo.

ha ha ha ha ha ha ha ha!!! Endless lough huu mjadala ungefungwa ingekua Bora. 95% ya wanaume mnaochangia. mlileta application zenu kwangu leo mnaponda. Duh hii sasa kali. haya bana! acheni unafiki!!!
 
mmmh!!!!!!!!

jamani boss wangu alitafuta mchumba kupitia mtandao, they are 'happily' married na wana watoto wawili!!

kwa kweli sioni 'formula' sahihi kuhusu hili la wachumba kupitia mitandao. to sime it works and to some it doesnt...............

Shem...kweli kukutana na mtu hakuna fomyula. Mnaweza mkakutana popote pale iwe kanisani, sokoni, shule ya vidudu, kilabuni, mtandaoni nk. Mwisho wa siku ni uamuzi binafsi wa mtu. Mimi binafsi niko open minded na mwangalifu sana kwa wakati huo huo.

Lakini kukutana na mtu mtandaoni kwangu mimi ni no-no kabisa. Mtu unayekutania naye mtandaoni una uhakika gani kuwa ni wewe unayewasiliana naye tu na hakuna wengine? Hii haimaanishi kuwa haiwezi kutokea katika settings zingine lakini mtandaoni nadhani risk level inaongezeka zaidi. Ndio maana mimi kamwe sitakuja kumwambia mtu yeyote information zangu kamili mtandaoni let alone kujisumbua kuwa na uhusiano serious na huyo mtu. Sana sana tukiwa na communication yoyote basi kwangu mimi nitaichukulia kama burudani flani hivi.

Ila natambua kuwa kila mtu ana maisha yake na kila mtu ana haki ya kujipangia hayo maisha kwa jinsi anavyotaka yeye. Kwa hiyo kama wapo wanaopenda kusaka wapenzi mtandaoni pouwa tu. Mimi hainisumbui na wala hainihusu kabisa.
 
umesema vyema shemeji na nakuunga mkono kabisa!!!!
 
Kama hao wasichana wanamwambia wapo Tanzania, ianweza kuwa kweli .

Ila kama wapo nje ya TZ (Ivory Coast, Nigeria, Niger, Cameroon etc), atakuwa anadeal na midume tu na we macho maana wanatafuta jinsi ya kucheza na akaunti yake!
 
Ni maswali gani hayo? Yaweke hapa tuone kama ni kweli au la?
hapo kwingine umejikanyagakanyaga tu dada yangu sioni tofauti ya kwao na ya kwetu, ni suala la kujiamini tu

maswali yako obvious,kwanza kabisa sio sheria wala amri lkn ni kawaida msichana kusubiri kutongozwa,sasa kutafuta mtandaoni ni kutogoza wanaume huko na kawaida mwnamke anayetongoza wanaume anaonekana kicheche.(japo sio lazima iwe kweli).
msichana mwenye kujiheshimu ni sumaku ya kuwavuta wachumba na mwenye tabia chafu huwafukuza lkn hatokosa wakumuoa usiku na kumtaliki asubuhi.
hizo hapo juu ndio sbb za kujiuliza maswali juu ya mtu anayetafuta mchumba mtandaoni.
uliposema nimejikanganya sikubaliani nawe maana nina hakika nisemacho kuna nchi hawatongozi mabarabarani kama mnavyotufanyia bongo mara mtusimamishie magari,mara mpige psiipsiii,mara mkonyeze mara mtongoze.sijui kama ni hawajiamini lkn wanatongozeana clubs na dating sites na kwa wao sio ajabu lkn baadhi kama waitalianoau wagiriki wao wanatongoza kama nyie hata barabarani.
I DONT BELIVE IN INTERNET LOVE sbb kuna vitu vingi nitahitaji kujua kabla sijajikabidhi kwa mwanaume ambavyo sitaweza kuvijua via net lkn siko against na anayefanya hivyo kwani hayo ni moja ya matumizi ya net.
 
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.

The Boss,
Hawarudi labda baada ya kuwapata hao wachumba waliishia ndoa za nusu saa, no invited gests .
 
Different strokes for different folks....nimeona kabisa mkaka amepata mke kupitia mtandao na they are happily married...wote wawili wana elimu na kazi nzuri tu..Mbona kuna akina dada na hata kaka wamesaidiwa kabisa na washikaji kupata mke/mume ..

Advice - Do not be cynical na do not throw out the baby with the bath water....you never know...
 
\\

i am with u 100%
 
Hivi The Boss unategemea kweli mtu aje
wana-JF nashukuru sana website yenu imenipatia mchumba ..Mie na Fidel80 tumefunga ndoa rasmi juzi ooops ni kazi ..;)

hey kumbe!!! ndiyo maana Fidel sikuhizi anaingia kwa mapozi. Labda tufikirie kuanzisha humu humu a serious dating section.. inawezekana kabisa kumpata "mwenzako" humu.. as long as.. hamuaidiani kuoana humu.. la maana kwanza mpate awe rafiki yako.. .. ukimpata kwa kufikiria umeopoa..shauri yako!
 
umeongea vizuri mkuu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom