Mnaotafuta wachumba hapa JF...

mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
Duh hii kali
 
Mkuu "The Boss" NAONA UMEAMUA KURUDISHA THREADS ZAKO ZA MIAKA YA NYUMA KWA FUJO, WELL! Mimi tayari nishapata Mchuchu humu, bado kuwatangazia members rasmi!
 
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
hahhahahahhh kiuno umeua
 
Mimi nafikiri watu wanafanya makosa pale wanapokubaliana kila kitu humu humu kwenye forum kabla ya kukutana. JF ni sawa na sehemu nyingine zozote ambazo watu wanawezakutana na mwisho kujikuta wanajenga familia ya pamoja, mfano tofauti ya JF na kanisani, mkutanoni ni kuwa kanisani/mkutanoni una[pata fursa ya kumwona 'mlengwa' wako wakati JF unapata kivuli tu. But kumwona haimaanishi kumjua!!kumfahamu vilivyo!! na sana sana utaishia kupenda umbo na sura!! then hapo ni sawa na JF bado hujamjua vizuri!!

So kama mtawezaifanya JF kama njia ya kufahamiana na kuanzisha mahusiano basi msiconcludi kila kitu..........kutaneni, fahamianeni and kuweni marafiki kabla ya kuamua kuwa huyu ananifaa au la. La sivyo ndo yanakukumba yalomkumba kiuno!
 
Tatizo wakija kutafuta wanapromise wataleta feedback ili kuwapa moyo watafutaji wengine ila wakishafanikiwa huwaoni tena na wengi wanakuwa wameanzisha ID ya kutafutia wakishapata wanaisahau na kuendelea na ya zamani.... nina imani wanakuwa washapata wenza wao sidhani kama wanakuwa wamekosa kabisa
 
.......Wanaotafuta wachumba sehemu kama hizi wameshindikana huko mitaani. Huu ni mtazamo wangu.

Si kweli Pretty kwani kuna wadada ambao wako maeneo ambayo ni very isolated kwani kutoka nyumba hadi nyumba ni mita 200 kutokana na kuta kuzunguka nyumba kama magereza. Je na hawa wameshindikana ?. Tunaoishi mitaani tunajijua ila wale wao kwao kunajulikana kwa majina ya wakuu na siyo mitaa kwa mfano utakuta kibao kimeandikwa. Sir. Kowelo plot No.234 au Dr. Nyayo plot.No 456 then na kibao kinachosomeka "MBWA MKALI" hawa hawana interaction isipokuwa wakiwa makazini na shuleni tu. Makazini wanakosa wapenzi kwa watu kuogopa title za wazazi wao au ofisi zao kuwa na married persons wengi na mtaani hawapati wageni na hivyo kubakiwa na option kama ya Online tu.
 
kuwa na wazazi wenye uwezo kumbe nako kunaeza kukukosesha raha fulani ya maisha eeee.....bora yuliokulia uwanja a fisi
 
Kwenye mitandao sio sehemu nzuri ya kutafuta wachumba, watu wengi wanaficha madudu yao hata kama utapata mchumba online mnahitaji muda mrefu wa kusomana hadi muanze mahusiano.
Ukiacha mtandao wale watu ambao huwa wanakutana kwenye events mfano kwenye seminars, wanainteract baada ya event wanaanza mahusiano, ni hatari.
 
kwa hiyo nipige chini huyu jamaa ambaye nimekutana nae humu
 
mmi kwa mutzamo wangu waache watafute potepote ndio watalidhika inawezekana akamupa humu humu habari ndio hio
 
Back
Top Bottom