Mnaotafuta wachumba hapa JF...

Ajabu ni kwamba totozo wa ukweli wako USWAZI. Halafu hawaingii hapa jamvini. Labda wanaotafuta wamevutiwa na hao wachache tu akina WOS, First Lady. Pretty etc . Kwa mawazo yangu naona hao sio wa kupatika kihvyo --wana wenyewe. Halafu wanaweza wakawa ni men ah aha ha
 
Kwanza picha wanazoweka siyo zao utawaamini vipi hawa. Twende nao tu kimyakimya!
 
WELL,sasa hivi na beba mabox,nikifka nyumbani,i will consult my second half,so that we once and for all end this argument.WE WILL COME OUT,and express our profound gratitude to JF for uniting us as one-long live JF
 
Shem...kweli kukutana na mtu hakuna fomyula. Mnaweza mkakutana popote pale iwe kanisani, sokoni, shule ya vidudu, kilabuni, mtandaoni nk. Mwisho wa siku ni uamuzi binafsi wa mtu. Mimi binafsi niko open minded na mwangalifu sana kwa wakati huo huo.

Lakini kukutana na mtu mtandaoni kwangu mimi ni no-no kabisa. Mtu unayekutania naye mtandaoni una uhakika gani kuwa ni wewe unayewasiliana naye tu na hakuna wengine? Hii haimaanishi kuwa haiwezi kutokea katika settings zingine lakini mtandaoni nadhani risk level inaongezeka zaidi. Ndio maana mimi kamwe sitakuja kumwambia mtu yeyote information zangu kamili mtandaoni let alone kujisumbua kuwa na uhusiano serious na huyo mtu. Sana sana tukiwa na communication yoyote basi kwangu mimi nitaichukulia kama burudani flani hivi.

Ila natambua kuwa kila mtu ana maisha yake na kila mtu ana haki ya kujipangia hayo maisha kwa jinsi anavyotaka yeye. Kwa hiyo kama wapo wanaopenda kusaka wapenzi mtandaoni pouwa tu. Mimi hainisumbui na wala hainihusu kabisa.

Mkuu vipi yule mtoto wa kichaga aliyemaliza pale st Agustino ulibahatika kukutana naye ama sio wewe. Yule wa kwa michu**. Nsi@ Swai sijui vile na kale ka ch**pi kekundu kale. Mzee tujuze!
 
WELL,sasa hivi na beba mabox,nikifka nyumbani,i will consult my second half,so that we once and for all end this argument.WE WILL COME OUT,and express our profound gratitude to JF for uniting us as one-long live JF

Mlikutana mkiwa wakimbizi huko Alaska? Au you are son of Tz?
 
Mlikutana mkiwa wakimbizi huko Alaska? Au you are son of Tz?

some people never cease talking out of their b---k----s,.Wewe umeambiwa tumekutana JF,wewe wasema tumekutana sijui wapi,eti tukiwa wakimbizi!!!mimi sijawahi kuwa an athlete let alone a sportsman
 
some people never cease talking out of their b---k----s,.Wewe umeambiwa tumekutana JF,wewe wasema tumekutana sijui wapi,eti tukiwa wakimbizi!!!mimi sijawahi kuwa an athlete let alone a sportsman
Haahahaha,ur attitude son of alaska!!!Pole na kubeba boksi,usiwe na hasira sana zitakufanya u-loose focus.U-athlete au u-sportsman umekujaje hapo?! Mkimbizi ni refugee.Mkikutana ughaibuni situation inaweza saidia kujenga penzi kama si pendo atii!
 
SORRY BUDDY,at quick glance,your joining in date was about the time Ze Utamu ceased to exist,unfortunately the upgrade you vyied for is beyond your thinking capacity,iko forum mmoja inaitwa darhotwire,nadhani you will be more comfortable there,Pitying your wits against great thinkers would at most damage your puny brain for good
 
Sijui kuhusu JF,

Lakini enzi za YA kuna watu walikutana wakaoana wana watoto nafikiri mkubwa karibu anaingia high school sasa. Wako fresh tu as far as we know publicly (privately is another matter entirely, I mean who would've thunk Al and Tipper Gore would've separated after all those years and the public image?).

Kwa hiyo ingawa the odds zinaweza kuwa insurmountable, si kweli kwamba haiwezekani.

Na kama kweli waili wote mna nia, JF inaweza kuwa sehemu nzuri ya kukutania kwa sababu wote mnapendana on the mental level kwanza, kabla ya vishawishi vya visuals ambavyo vinaweza kuwa na nguvu kuliko logic kuchukua mwendo..

All in all the key is you gotta know a person very well before marriage.Unaweza kukutana na mtu offline, usichukue muda kumjua, mkaoana kwa heat ya mapenzi mapya, baadaye ikawa disaster.

Unaweza kukutana na mtu online, mkaenda through trials and tribulations na baptism by fire and all that, mka surive, mkajuana vizuri, mkija kuoana mkawa success story kama hiyo ya washkaji niliowasema hapo juu.

Kwa hiyo offline/ online si issue.Kicheche ni kicheche tu offline au online, na binti anayejiheshimu atajiheshimu tu offline au online. Kusema kwamba huwezi kupata binti anayejiheshimu humu online ni sawa na kuwatukana members wenzetu wa kike wote wanaokuja hapa, kitu ambacho kitaonyesha upungufu wako mtukanaji katika kuchambua mchele na pumba.

Halafu hii habari ya kusema great thinkers hawa date ni absurd, wamesema great thinkers, hawajasema ascetic hermits, there is a big difference.

Hata hao kina Gandhi, Mandela, Russell na wengine wali date na kuoa.
 
mie ndo kwanza naona humu watu wanatafuta wachumba eti wanaomba CV na wanataka kujua GPA.... whatever happened to romance!!!
 
WELL,sasa hivi na beba mabox,nikifka nyumbani,i will consult my second half,so that we once and for all end this argument.WE WILL COME OUT,and express our profound gratitude to JF for uniting us as one-long live JF

Kumbe ndiyo maana uliadimika hapa mtaani ha ha ha ha ha ha hakumbe ulikuwa busy na mpenzi lol! kila la heri. Penzi Online linawezekana kabisa tena unampata mtu aliyetulia kabisa. Huwa nawashangaa sana wanaowasemea hovyo Wanawake na hata Wanaume wanaotafuta wenziwao mtandaoni. Umaarufu wa watu kutafuta wachumba mtandaoni utazidi kuongezeka kwa kasi sana hata katika nchi za Afrika. Miaka 10 ijayo itakuwa si ajabu kusikia mtu kapata mume au mke mtandaoni
 
Last edited by a moderator:
kwa Mawazo yangu kwanza kabisa ukipata Mchumba Muende wewe na huyo Mchumba mkapime kwanza HIV, kisha Mukiwa muko safi kisha muanze kwanza kujuana tabia zenu kisha baadae ndio litakuja suala la ndoa. kumpata Mwanamke mzuri kabisa awe huyo Mwanamke au mwanamme awe na Tabia nzuri na ukita kumjuwa itabidi umchunguze kabla ya tendo la ndowa.Sio kujuana nae huyo Mtu Mwanamke au Mtu huyo mwanamme kisha mukaowana kwa haraka itakuwa sio jambo zuri ,kwani ndowa yenu haitodumu kwa sababu tabia zenu huenda zisilingane. Huo ndio ushauri wangu mimi.
 
Wengi wanayafanya yote hayo ili kuhakikisha ndoa yao inakuwa ya kudumu na pia wako salama.
 
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.

BOSS swali lako ni zuri sana...lakini wengine labda hawapendi publicist na wakishakutana na kufall in love wanajongomea katika mapenzi yao motomoto kimya kimya bila ya kutaka kumshtua yeyote hapa jamvini.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom