Mnaotafuta wachumba hapa JF...

Sijui kuhusu JF,

Lakini enzi za YA kuna watu walikutana wakaoana wana watoto nafikiri mkubwa karibu anaingia high school sasa. Wako fresh tu as far as we know publicly (privately is another matter entirely, I mean who would've thunk Al and Tipper Gore would've separated after all those years and the public image?).

Kwa hiyo ingawa the odds zinaweza kuwa insurmountable, si kweli kwamba haiwezekani.

Na kama kweli waili wote mna nia, JF inaweza kuwa sehemu nzuri ya kukutania kwa sababu wote mnapendana on the mental level kwanza, kabla ya vishawishi vya visuals ambavyo vinaweza kuwa na nguvu kuliko logic kuchukua mwendo..

All in all the key is you gotta know a person very well before marriage.Unaweza kukutana na mtu offline, usichukue muda kumjua, mkaoana kwa heat ya mapenzi mapya, baadaye ikawa disaster.

Unaweza kukutana na mtu online, mkaenda through trials and tribulations na baptism by fire and all that, mka surive, mkajuana vizuri, mkija kuoana mkawa success story kama hiyo ya washkaji niliowasema hapo juu.

Kwa hiyo offline/ online si issue.Kicheche ni kicheche tu offline au online, na binti anayejiheshimu atajiheshimu tu offline au online. Kusema kwamba huwezi kupata binti anayejiheshimu humu online ni sawa na kuwatukana members wenzetu wa kike wote wanaokuja hapa, kitu ambacho kitaonyesha upungufu wako mtukanaji katika kuchambua mchele na pumba.

Halafu hii habari ya kusema great thinkers hawa date ni absurd, wamesema great thinkers, hawajasema ascetic hermits, there is a big difference.

Hata hao kina Gandhi, Mandela, Russell na wengine wali date na kuoa.

Mkuu asante sana kwa majibu mazuri mno..Wengine tumependa kupitia mitandao bila hata ya kuwajua hao tunaowapenda.
 
SORRY BUDDY,at quick glance,your joining in date was about the time Ze Utamu ceased to exist,unfortunately the upgrade you vyied for is beyond your thinking capacity,iko forum mmoja inaitwa darhotwire,nadhani you will be more comfortable there,Pitying your wits against great thinkers would at most damage your puny brain for good
Achana naye Love asiyejua maana haambiwi maana
 
this forum is not reliable for relationships. i do not believe there are some couple who are the consequences of the forum. what i believe is that people do meet physically after virtual communications but the intention was not for potential conjugal, though they may find themselves in that boat. BUT if there are any, I appeal to some inspired ladies to take this opportunity and privately communicate with me so that we can make it come true. and this is DAMN serious
 
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
 
@ Kiuno, ndio ukome kutafuta vivuli vya watu online, wa mtaani wamekushinda unaona bora ukimbilia online maana itakuwa vigumu kujua tabia yako....

wanaotafuta wachumba online wote wanamatatizo ya akili na kimwili plus tabia zao ni mbovu mbovu.
 
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta

Pole mwaya....:jaw:
 
Du! kwa hiyo ushaliwa tgo weye.....
 
haya tena makubwa !:mmph:
 
Wanasema..., "Even the Best Friend was Once a Stranger"......, Online watu wanakuwa on their best behaviour inakuwa risky kuingia kwenye mtandao kwa kutafuta mchumba, lakini unaweza ukapata mchumba online baada ya kukutana na mtu online mkajuana na kujenga urafiki..., Online inakuwa kama ice breaker, lakini mnajuana zaidi offline na kukuza relationship.

The "ONE" anaweza akapatikana popote pale iwe online, kanisani au sokoni, lakini kumjua the "ONE" you need more than an exchange of messages
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom