Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Mimi huwa sisahau...Juzi tu hapa uli-post hivi:

Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel mapnz yapo kwel hapo,?

Hebu tueleze ndiye huyu au mwingine............au ulikuwa na relation mbili kwa wakati mmoja?
 
:biggrin1: pole...hivi kuna wanawake wa kibongo ambao wametulia yani yuko na mmoja na ndio huyo huyo hakuna wa pembeni
 
Lohh, Smile...

Umenifanya nicheke peke yangu.... Lohhh!!!!!! Hata kama ningelikuwa mie, ningelisikitika sana.

Mfano unakuta umeandikwa "Kibamia" au "One minute...." if not "Dhaifu".
ahahaaaa hii kali au kifo cha mende
 
[QU[/B]OTE=Smile;4142037]eheheee King'asti bwana bado upo na wazungu ?mimi nilikua natania tu mi flavour zangu black....wewe wa kwako kakuserve nani...
Hahaha, kanisave mission impossible. Namuendea bagamoyo wknd nitakupa feedback[/QUOTE]ahahaaa mi mission accomplished..
 
Kunahaja ya kupata pressure hapo au kuomba ushaur akati everything is in black and white?we chagua kua mwerevu(achia ngazi)au mjinga(baki kwenye mtandao),bt usijiulize tuko wangap,maana hutopata jibu hadi yesu arudi!
 
si bora wewe ame ku save jina la rafki yake mi kuna dem kani save Fundi wa majeneza yaani nilichoka.
 
VAN I mtenda akitendewa huona kaonewa. Tabu yetu wanaume tuliumbwa kutosema kila kinachotutokea, ila tunaona makubwa zaidi yako.

Mara ngapi tumeseviwa na mademu kwa majina kama: *****, atm langu, uncle, zembe, nk. hatusemi?
 
hyo ni suprise ya nguvu..,kunasomethng behind the scene c bure!! ma dia hawa wanaume wanapenda kuplay wiz people's heart c wa2.
 
jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa

huyo jamaa ana mke wewe ni hawara ,tia akili.
 
nimemuuliza though tumeongea kifup,amenambia eth alitaka aone/anipime ntareact vp nkiona vle

Kwahiyo alijua lazima utaona? huyo anakusuga tu mdogo wangu, we endelea tu kupoteza muda wako bure utakujaangukia pua.
 
Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa[/QUOTE]
Bora mie nilisoma mapema alama za nyakati...........................
 
Hahahaha! Wilfred ama Hamisi?
Pole mwaya, samahani kicheko kimeniponyoka. 1+1=11 (source: ODM, 2010). Ji-edit jina lako uandike atm, ama dobi afu muachie simu yake hapo.

Hah King'asti nimekumiss ujue kha!
Aksante kwa ushauri murua mpenzi kweli umetoa somo hata kwangu mie mama kupanick maana ingekuwa mie bwana yule angekuja na kukuta kitanda chote kimejaa machozi maana binti wa kike nimejaaliwa machozi niinama kidogo tu hayo..............

Nimejot kwenye dayari yangu!
 
Back
Top Bottom