Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Unajua watu wengi sana wake kwa waume wanafanya mistake ya kupoteza muda na watu wasiowapenda; na wengine wengi tu wanafikia mpaka kuolewa au kuoa watu ambao si right kwao. There is someone for everyone; tusilazimishe mapenzi.

Leo hii ni relationship tu mtu anakukana afu unataka kumsamehe; akikuoa si ndio hao wanaoficha pete zao za harusi.

Mimi sijisifu kuwa nina mume mwaminifu kwani nitakuwa nausemea moyo; ila nina uhakika I am the number one even after 8 years of marriage. Kama kuna wengine basi watakuwa wanaifuata kwa mbaaali hawanifikia hata nusu. Lol.

Kuna siku nilienda na mume wangu kutafuta barua ya serikali za mitaa ili ku update particulars za Bank. Wakasema wanahitaji picha; nkamwambia mume wangu mi sina, inabidi nikapige. Akasema uwa natembea na picha zako kwenye wallet yangu. Nilijisikia fahari sana. Sasa kama ningekuwa nimeolewa na mtu ambaye kwenye simu ananisave Chakubimbi kabla ya ndoa, leo hii angetembea na picha zangu (na wanae) kwenye wallet?

Sitaki kumkatisha tamaa mtoa mada ila wengi wanaolialia kwenye ndoa dalili huwa wanaziona kabla hawajaolewa wanazipotezea. Chapa lapa kuna anayeshathili kuwa na wewe atakaye kuona malkia.

Umekata point isipokuwa tu hapo kwenye pete. Siku hizi pete siyo kinga tena. Ukivaa pete za ndoa unavutia watani za jadi wengi zaidi kwa hiyo kuna waheshimiwa wanazivaa hata kama hawana wake. Sijui ladies mmekuwaje siku hizi.
 
mapenzi kweli kizungumkuti. mimi wa kwangu alizua ugomvi kisa sijam save darling, baby, sweetheart, etc etc... nilim save kwa jina lake tu. eti kwanini yeye kanisave kama honey, mimi mimem save kwa jina lake. Yaani ilikua ugomvi mpaka sasa haujaisha vizuri. Aso na hili ana lile. Pole Van l, hiyo ni ishara kua mko lukuki.
 
Back
Top Bottom