Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Van l

Member
Jan 20, 2012
74
12
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
 
ma dearest jua kabisa kama ni distance relationship nijibu maswali haya b4 sijaanza kukanseli
-how often do you go or visits you?
- mnamahusiano ya muda gani?
-mmewah kudefine terms and conditions za future yenu?
-mwanzoni alikuwa amekusave kwa jina gani?
-alikuomba ukamtembelee au ulimsuprise? jibu maswali haya kisha nitarudi tena
 
I guess kakusave as "Rashidi fundi bomba" usihofu ndo janja zetu wanaume hizo na hapo ujue ukiwa mbali unasaidiwa kama dawa.
 
Kila kitu kipo wazi jua kuna mtu anakusaidia ukiwa haupo,ndo tabia ya wanaume malaya hiyo unaweza kuta umeseviwa scania au bajaji! Pole mwayego!
 
ma dearest jua kabisa kama ni distance relationship nijibu maswali haya b4 sijaanza kukanseli
-how often do you go or visits you?
- mnamahusiano ya muda gani?
-mmewah kudefine terms and conditions za future yenu?
-mwanzoni alikuwa amekusave kwa jina gani?
-alikuomba ukamtembelee au ulimsuprise? jibu
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
 
Mungu amuhurumie katika uzinzi wake na kumsaidia eeh?
Babu bana, furahi dei umeamka na hangover za furaha! Hebu pata morning glory kwa hisani ya Miss Judith,lol

Hahahah dah!!

Ushauri toka kwa ODM...... Zingatia alichokuambia King'asti hap juu.

Mungu akuhurumie na akuongoze katika njia zako!

Amen!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha! Wilfred ama Hamisi?
Pole mwaya, samahani kicheko kimeniponyoka. 1+1=11 (source: ODM, 2010). Ji-edit jina lako uandike atm, ama dobi afu muachie simu yake hapo.
kwa hyo hlo tatizo ni spesho kwa mtu mmoja tu?nipo seriuz huo mda wa kukopy na kupaste cna kaka.
 
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
Hatua ya kwanza alikusave kwa kutumia romantic name, hatua ya pili ametumia jina la rafiki yake, hatua ya tatu ataku-delete au atatumia: msumbufu
 
Bibie gfsonwin hapo juu. Pokea salamu za dhati toka kwa ODM.

Ujumbe; Kulala si kufumba macho, huwa unalala sangapi na leo ni jumangapi?

Swali la leo: Umemsevu ODM kwa jina gani kwa foni yako?

nashukuru sana Asprin.
leo ni siku ya j1-alhamis.

Binafsi miye huwa silalagi na niko hivyo tu, bukini, mbuni, samaki, nguruwe, ng'ombe mbuzi, kuku mabata maji bustani watoto wafanyakazi vyote nitavimuduje kama nikilala? maisha ya kijijini magumu sana heri nyie mkaao town, huko kujipamba, na kupanda magari kwend job na kunywa bia ndio kazi.

wewe itabidi nikusave gari la taka
 
Last edited by a moderator:
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name

ushauri wangu siyo kila kulia ni kuomboleza, ama siyo kila kucheka ni kufurahi.
 
Mungu amuhurumie katika uzinzi wake na kumsaidia eeh?
Babu bana, furahi dei umeamka na hangover za furaha! Hebu pata morning glory kwa hisani ya Miss Judith,lol

Oh! Thanks my King'asti

Yes!! Glory To God!!

Afu nna kesi na wewe!
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sana Asprin.
leo ni siku ya j1-alhamis.

Binafsi miye huwa silalagi na niko hivyo tu, bukini, mbuni, samaki, nguruwe, ng'ombe mbuzi, kuku mabata maji bustani watoto wafanyakazi vyote nitavimuduje kama nikilala? maisha ya kijijini magumu sana heri nyie mkaao town, huko kujipamba, na kupanda magari kwend job na kunywa bia ndio kazi.

wewe itabidi nikusave gari la taka
Khaaa! Ntakusemea kwa mkoloni wangu hapa.....

"thought takes man out of servitude into freedom"
 
Back
Top Bottom