Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
Wewe binafsi unaamini nini kuseviwa jina tofauti? Lakini pia umeulizwa maswali ya msingi na gfsonwin labda pia tusaidie kujibu hayo. Lakini pia haya mambo ya kushikiana simu nayo hayako sawa, napata wasiwasi kuamini kama kweli ulikuwa unatafuta simu yako kama ambavyo umesema.
 
Last edited by a moderator:
Wewe binafsi unaamini nini kuseviwa jina tofauti? Lakini pia umeulizwa maswali ya msingi na [MENTION=80923]gfsonwin[/M napata wasiwasi kuamini kama kweli ulikuwa unatafuta simu yako kama ambavyo umesema.
tht z the truth..an' by the way kla m2 huwa yupo huru na cmu ya mwenziye.
 
pole sana kwa hilo lililokupata, mi nakushauri vuta subira halafu umuulize umenisave vp kwa phone yako then utaona atakavyojibu ukiona anakuwa mkali au analeta porojo kibao ujue mko wengi so ujue kuwa ww ni sexmate wake tu na hakuna lolote kwa baadae
 
nimemuuliza though tumeongea kifup,amenambia eth alitaka aone/anipime ntareact vp nkiona vle
 
Pole mdada ila mi nazidi kuamini kuwa trust nothing suspect everything inahusika sana katika mapenzi! Kama vipi edit jina lake kwenye simu yako, andika 'SPEAR PART' alafu fanya juu chini ili nae aone ulivyomsave, kwi kwi kwi!
 
Lohh, Smile...

Umenifanya nicheke peke yangu.... Lohhh!!!!!! Hata kama ningelikuwa mie, ningelisikitika sana.

Mfano unakuta umeandikwa "Kibamia" au "One minute...." if not "Dhaifu".

unaweza kukuta umesaviwa kutokana na nature ya k yako...eheheee
ukukita chemchem..au bwawa ,,or beseni unalo....dah
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
Ulitaka kuseviwa nani,sweety,honey au?Imetafuna kwako!!!
 
"Long Distance" By Brandy or Bruno Mars.

There's only so many songs that I can sing to pass the time.
And I'm running out of things to do to get you off my mind (oh whoa).
All I have is this picture in a frame (oh ah),
that I hold close to see your face everyday.

With you is where I'd rather be,
but we're stuck where we are.
It's so hard, you're so far..
This long distance is killing me.
I wish that you are here with me,
but we're stuck where we are
it's so hard, you're so far..
This long distance is killing me.

It's so hard, it's so hard, where we are, where we are, you're so far.
This long distance is killing me.
It's so hard, it's so hard, where we are, where we are, you're so far
(so hard, so hard, where we are, where we are, your so far).
This long distance is killing me. .........

Last edited by a moderator:
Afadhali mimi nimemsave Mrs.alafu linalofuata ni jina la ukoo wetu,akiniuliza kwanini umenisave hivyo namwambia ndio nimeshakuingiza kwenye ukoo hivyo kabla sijakuoa,akiniuliza demu mwingine namwambia huyo(niliyemsave kwa jina la ukoo)ni mke wa baba yangu mdogo au vyovyote vile ili mradi aamini tuu!!!
 
[QU[/B]OTE=Smile;4142037]eheheee King'asti bwana bado upo na wazungu ?mimi nilikua natania tu mi flavour zangu black....wewe wa kwako kakuserve nani...[/QUOTE]
Hahaha, kanisave mission impossible. Namuendea bagamoyo wknd nitakupa feedback
 
Last edited by a moderator:
hata jina langu pia lingefaa zaidi.
Embu fuatilia vizuri unaweza ukagundua kuwa hilo jina la rafiki yake alilokusave,unaweza ukagundua kuwa huyo rafiki yake ndio mtu anayempenda kuliko waote chini ya hili jua,ndio maana kakusave hivyo akifananisha upendo wako na wa huyo rafiki yake,alafu sikuzote ukitaka uonekane malaya mfikirie mabaya mpenzi wako hii ni kwa wote(wake kwa waume)Utaanza fanya malipizi tuu,unatakiwa umfikirie mema mpenzi no matter what!!!!
 
Lohh, Smile...

Umenifanya nicheke peke yangu.... Lohhh!!!!!! Hata kama ningelikuwa mie, ningelisikitika sana.

Mfano unakuta umeandikwa "Kibamia" au "One minute...." if not "Dhaifu".

hahahaha Bro Sikonge yaani nimecheka utadhani nakuona teteteteteh....duniani kuna vituko...
 
Last edited by a moderator:
MWINGINE ALIKUTA KASEVIWA JOSEPHATI FUNDI MAJENEZA MANZESE TEHETEHE KAZI KWELI KWELI,MIE NILIJISAVE MWENYEWE SITAKI SHARI NIKAANDIKA JINA LANGU NA UBINI WAKE nivea ulimboka hahahahah
 
Back
Top Bottom