Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.

Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!

I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!

mmmh kaushauri kazuri sana!!!tatizo ataweza? maana atapandisha magadhabu yake aanze kumwaga maji hovyo chumbani, atupetupe nguo na kama kuna laptonga mezani basi atataka akapige chini kapasuke mmm mweehhh!!!
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa

Jamani mko wengi!!idadi ya mwanaume 1 kwa wanawake 4!!sasa tufanyeje hawa wengine watapataje huduma mweeeeh!!wahurumieni na wenzenu wapate huduma nao eeehh!!mipododo/mipipi iko michache jamani na nyie mko wengi !!
 
Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa[/QUOTE]
Bora mie nilisoma mapema alama za nyakati...........................
 
Najaribu kufikiria sipati jibu; huyo mwanaume ni mwanaume wa aina gani.

Navyojua ukifikia kuseviwa jina la hajabu ni kwamba wewe tayari ni spare, na kuna anayeogopa kumuumiza na si wewe.

Sasa nimeshangaa unavyosema anakubembeleza umsamehe; umsamehe ili iweje na kuna anayempenda zaidi yako?

Plausible explanation ni kuwa:
Inawezekana wewe uko vizuri kikazi au kipesa, ndio maana anakuganda na si kwa sababu anakupenda; yuko kimaslahi. Wanaume wa hivyo wanazidi kuongezeka siku hizi. Ndio maana mabinti wenye pesa sana hawaolewi kwani wanaume wanawatumia na wao wanakuja lijua hilo.

Na kama ni kweli huko fresh basi usishangae hata anafikia kukuoa pamoja na yote haya kwani anahitaji mshiko wako, ila hataacha kukuchiti.

Kama hayo ya juu si sahihi basi ni just a player na anapenda kumiliki wanawake zaidi ya mmoja na hayuko tayari kukupoteza kirahisi.

Mimi nadhani japo ni ngumu kufanya maamuzi magumu, lakini ukiyafanya haraka yanaweza kukupa chance ya kuwa huru na kuangalia ustaharabu mwingine.
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa

Anakupenda sana huyo kuwa kasevu kwa jina la rafiki yake. Hebu iangalie tena hiyo cm utakuta majina kama bosi, mama. mpwa n.k. Hao wote wako kwenye mtandao wenu.
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa

Kwani mumeo? kama wewe unaweza kuzini nae kwanini asiweze kuzini na wengine? FIKIRI!
 
Sio wanaume wote wana tabia kama huyu wa kwako
Usitake kujipigia pasi hapa wanaume wote tupo hivyo,tena na ndio tunazidi kuwa hivyo ili wakome kutuletea maringo,and they should know that they are more than number!!!
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
you is not performing to his satisfaction. if you still need him then you should pull up your socks, work hard madam!espacially when you don't live together, man is no wood eeh!!!!!!!!!
 
Najaribu kufikiria sipati jibu; huyo mwanaume ni mwanaume wa aina gani.

Navyojua ukifikia kuseviwa jina la hajabu ni kwamba wewe tayari ni spare, na kuna anayeogopa kumuumiza na si wewe.

Sasa nimeshangaa unavyosema anakubembeleza umsamehe; umsamehe ili iweje na kuna anayempenda zaidi yako?

Plausible explanation ni kuwa:
Inawezekana wewe uko vizuri kikazi au kipesa, ndio maana anakuganda na si kwa sababu anakupenda; yuko kimaslahi. Wanaume wa hivyo wanazidi kuongezeka siku hizi. Ndio maana mabinti wenye pesa sana hawaolewi kwani wanaume wanawatumia na wao wanakuja lijua hilo.

Na kama ni kweli huko fresh basi usishangae hata anafikia kukuoa pamoja na yote haya kwani anahitaji mshiko wako, ila hataacha kukuchiti.

Kama hayo ya juu si sahihi basi ni just a player na anapenda kumiliki wanawake zaidi ya mmoja na hayuko tayari kukupoteza kirahisi.

Mimi nadhani japo ni ngumu kufanya maamuzi magumu, lakini ukiyafanya haraka yanaweza kukupa chance ya kuwa huru na kuangalia ustaharabu mwingine.

Boooooooooooonge la wazo nyumba kubwa ila wadada wanaojitambua hapo mia mia na hawezi kukuelewa kama ikimtokea kitu kama ya huyu alieta hii thread......

.........WHENEVER YOU DO ANYTHING REMEMBER YOUR AIM.........
 
Last edited by a moderator:
Unajua watu wengi sana wake kwa waume wanafanya mistake ya kupoteza muda na watu wasiowapenda; na wengine wengi tu wanafikia mpaka kuolewa au kuoa watu ambao si right kwao. There is someone for everyone; tusilazimishe mapenzi.

Leo hii ni relationship tu mtu anakukana afu unataka kumsamehe; akikuoa si ndio hao wanaoficha pete zao za harusi.

Mimi sijisifu kuwa nina mume mwaminifu kwani nitakuwa nausemea moyo; ila nina uhakika I am the number one even after 8 years of marriage. Kama kuna wengine basi watakuwa wanaifuata kwa mbaaali hawanifikia hata nusu. Lol.

Kuna siku nilienda na mume wangu kutafuta barua ya serikali za mitaa ili ku update particulars za Bank. Wakasema wanahitaji picha; nkamwambia mume wangu mi sina, inabidi nikapige. Akasema uwa natembea na picha zako kwenye wallet yangu. Nilijisikia fahari sana. Sasa kama ningekuwa nimeolewa na mtu ambaye kwenye simu ananisave Chakubimbi kabla ya ndoa, leo hii angetembea na picha zangu (na wanae) kwenye wallet?

Sitaki kumkatisha tamaa mtoa mada ila wengi wanaolialia kwenye ndoa dalili huwa wanaziona kabla hawajaolewa wanazipotezea. Chapa lapa kuna anayeshathili kuwa na wewe atakaye kuona malkia.

Endelea Kunipa raaaaaaaaaaaaha nyumba kubwa kwa ma-post yako ya ukwengaaaaa......100% EXPERIENCE IS BETTER THAN PROFESSIONAL
 
Last edited by a moderator:
Huyo anatakiwa awekewe mziki wa brandy kama ringtone kila akupigiapo.

BRANDY LYRICS

phone.gif
Send "Almost Doesn't Count" Ringtone to your Cell
phone_flip.gif

"Almost Doesn't Count"

Almost made you love me
Almost made you cry
Almost made you happy, baby
Didn't I didn't I
You almost had me thinkin'
You were turned around
But everybody knows
Almost doesn't count

Almost heard you saying
You were finally free
What was always missing for you, baby
You'd found it in me
But you can't get to heaven
Half off the ground
Everybody knows
Almost doesn't count

I can't keep on lovin' you
One foot outside the door
I hear a funny hesitation
Of a heart that's never really sure
Can't keep on tryin'
If you're looking for more
Than all that I could give you
Than what you came here for

Gonna find me somebody
Not afraid to let go
Want a no doubt be there kind of man
You came real close
But everytime you built me up
You only let me down
And everybody knows
Almost doesn't count

Maybe you'll be sorry
Maybe you'll be cold
Maybe you'll come runnin' back, baby
From the cruel cruel world
Almost convince me
You're gonna stick around
But everybody knows
Almost doesn't count

So maybe I'll be here
Maybe I'll see ya around
That's the way it goes
Almost doesn't count
 
Huyo jamaa yako tu ndiyo hajatulia;kama vipi mchane halafu uje kwa sisi ambao tunatulia na mtu mmoja mpaka mwenyewe anapojisikia kuondoka/kubwaga manyanga.
 
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa

Fanya mpango uolewe upate mme wa kwako ambaye utakuwa na haki zote za kumdhibiti. Huyo unayejidai eti mko kwenye "long distance relationship" ni wa wote kwa sasa.Wewe ukisha toa ile huduma ya ndoa ukiondoka tu anakuja mwenzako naye anatoa huduma kama au zaidi ya hiyo ya kwako. My advice: stop being cheap you are more wothy than that.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom