Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Hahahah dah!!

Ushauri toka kwa ODM...... Zingatia alichokuambia King'asti hap juu.

Mungu akuhurumie na akuongoze katika njia zako!

Amen!!

mstari wa moyo.........."ikumbuke ahadi uliyomwambia mtumishi wako ya kwamba umemtumanisha na hii ndiyo faraja siku ya taabu yake ya kwamba ahadi yako imemuhuisha."
amen
 
Khaaaa! Amina sista MariaKlara wa Shirika la moyo Mtakatifu wa Yesu. Msalimie sista AnithaYosefu

Nakupendaje?
 
asante sana kwa upendo wako wa dhat kwangu mzee mwenzangu wa baraza. nawe pia ubarikiwe sana kwa kuitimiza ahadi yako kwa Mungu kama alivyoagiza kusudi uwe na amani na furaha katika maisha yako yote.
 
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name

Kumbe sio mara yako ya kwanza kuchokonoa simu yake sio?
 
yap ila leo nilichokonoa kwa bahat mbaya najuta.

Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.

Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!

I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
 
ndo ujue kuwa kwishney.....
Hebu pekua vizuri hiyo
simu lazima utakuta kuna mtu kasaviwa wify, ila usizimie tu

-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
 
Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.

Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!

I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
bora uwe peke yako wallah...ni upuuzi
 
Ivi ukiwa mbali nani anamfanyia Massage. ? Haina Shida Hao wanakusaidia kulea Mume,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
Hiyo mwanzoni ni lini?
Mwanaume ukimpenda sana ujue ataku disappoint tu hasa kama hukai naye!PASUA KICHWA TU!
Huyo hakufai...anza mbele! Utapata wa kukufaa!
 
ma dearest jua kabisa kama ni distance relationship nijibu maswali haya b4 sijaanza kukanseli
-how often do you go or visits you?
- mnamahusiano ya muda gani?
-mmewah kudefine terms and conditions za future yenu?
-mwanzoni alikuwa amekusave kwa jina gani?
-alikuomba ukamtembelee au ulimsuprise? jibu maswali haya kisha nitarudi tena

Mahusiano ya mbali kwa mbali ni utata mtupu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom