Mmmh wanaume mtatuua mwaka huu katika mapenz

Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.

Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!

I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
k thnx kwa ushaur ntafanya hvyo
 
Sasa binti,presha inapanda kwa sababu gani?Unataka kubishana na ukweli?Hebu fikiria mtu anakusevu kwa jina la hovyo,tafsiri yake ni kuwa anakuona wa hovyo pia. . . . . . . . .Usishindane na ukweli dada ukubali nawe utakuwa huru.Wakati mwingine ukigundua ndani mwako kuna nyoka usipande presha,furahi kwa kumjua adui aliyekua karibu kukudhuru!
 
unaweza kukuta umesaviwa kutokana na nature ya k yako...eheheee
ukukita chemchem..au bwawa ,,or beseni unalo....dah
yn we acha tu nimeishiwa poz mwenzenu,sa hz naitwa bby bby kibao hapa+kupigiwa cmu kla baada ya 10 min nabembelezwa nielewe
 
jina la hovyo,tafsiri yake ni kuwa anakuona wa hovyo pia. . . . . . . . .Usishindane na ukweli dada ukubali [/QUOTE]cshindan na ukwel ila nimepigwa butwaa kuona kuwa kumbe nilikuwa naibiwa mawazo coz mapenz niliyokuwa naonyeshwa aisee ithougt tht i waz th onl 1 for hm xo lazma prsha inipande.
 
jina la hovyo,tafsiri yake ni kuwa anakuona wa hovyo pia. . . . . . . . .Usishindane na ukweli dada ukubali
cshindan na ukwel ila nimepigwa butwaa kuona kuwa kumbe nilikuwa naibiwa mawazo coz mapenz niliyokuwa naonyeshwa aisee ithougt tht i waz th onl 1 for hm xo lazma prsha inipande.[/QUOTE]

Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
 
Halafu umesema alikua anakuonesha mapenziwakweli,dada,hivi mtu mpaka useme anakuonesha mapenzi ya kweli,anakua amekufanyia nini?Je,mapenzi ya kweli ni nini?
 
Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga![/QUOTE]mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa
 
Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa[/QUOTE]KUWA MAKINI...HUWA TUNAUMIZWA NA WALE TULIOWAPENDA NA KUWAAMINI..HUNA CHAKO HAPO KWA KWELI....
 
nimeupenda sana ushauri wa king'ast lol ingawa uko ki joke hoke but umenivutia sana. Yani save jina jingine ... ambalo siku ukimpigia atashangaa sana tena ikiwezekana akienda job umtext kwa sms nzuri tu... afu akicheki jina full kizunguzungu. Lengo hapa ni ili atambue kuwa umejua... FINALLY... shost akili kumkichwaaaa.
 
Last edited by a moderator:
Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa[/QUOTE]

Hebu jibu swali langu la pili kwanza!
 
Back
Top Bottom