Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Mkuu wangu Mtanzania punguza nondo wakati mwingine usiwe unatoa majibu mazito kama haya kumbuka kuna vijana wengi humu JF wamejifunzia siasa humu JF.

Historia za siasa za Tanzania zimeanzia Chadema utakapomwambia mambo ya mwaka 1976 ni kumuonea bure kutoka na umri wake.

JF Daima.

Pamoja sana!mwelekeo wako ni mzur sana 'kujivua gamba na kuvaa gwanda'!karibu kijana uwe mpambanaji km wenzako,eg milya and etl.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Mtanzania punguza nondo wakati mwingine usiwe unatoa majibu mazito kama haya kumbuka kuna vijana wengi humu JF wamejifunzia siasa humu JF.

Historia za siasa za Tanzania zimeanzia Chadema utakapomwambia mambo ya mwaka 1976 ni kumuonea bure kutoka na umri wake.

JF Daima.

Anatoa majibu ya kijinga nawe kwa ujinga wako unashangilia!!

Majibu kama hayo na kuhalalisha uvunjaji wa katiba ya nchi ndio kumetufikisha hapa tulipo!!

Nyie endeleeni na ujinga wenu kwani mahaba yenu kwa chama chenu yamewapofusha!!
 
Nasdaz, umeandika maneno mengi badala ya kunyoka kwenye pointi yako......Kuhusu swala la chadema kutokufika kusini ilikuwa ni makubaliano ya chadema na CUF, kuwa CUF kwa kipindi hicho ilikuwa inakubalika sana pwani basi wao wachukue maeno hayo wakiwa na maana kamawakichukua pwani na CHADEMA wakachukua bara basi wange waondoa CCM kiurahisi bahati mbaya sana CUF wamewa sariti chadema, lakini kwasasa chadema inajipanga kuingia mikoa yote ya pwani siku si nyingi....Nimekuwa nikikusoma siku nyingi sana kuna kipindi huwa unaonyesha mahaba na chama cha mapinduzi na kuna wakati huwa neutral sijui ndiyo dalili za kujivua gamba....Karibu sana Chadema

Mh! CDM tatizo niwabinafsi na waroho wa madaraka. Isingekuwa uroho wao basi upinzani ungekuwa kitu kimoja. Na hasa kale kagamba kakanisa walikokavaa ndio noooma! Hivyo kutokana na gamba la kanisa pwani na kampeni zao lazima waloe. CUF inaamka na kurejesha makali yake!
 
Malumbano ya kuwa CDM haiendi mikoa mingine ni potofu. Kwanza huu sio wakati wake.

Kwani Ritz ulikuwa na ratiba ya mikutano ya CDM kwa mwaka huu?

Nyie ndio mnaoifanya CDM ionekane ni ya maeneo fulani tu!! Nakubali kwamba thread hii si mahala pake, lakini makosa wa MODS wa hapa JF ambao huwa wanaamisha Threads na kuziunganisha na zingine bila kuangalia Contents za Main Threads....kutokana na itilafu hiyo, unakuta mtu anaamini yupo kwenye thread fulani yenye dhima fulani kumbe tayari imeshahama na kuunganishwa na thread zenye (may be) the same Key Words but diffrent Contents!
 
Kamanda mbowe amewatuliza wananchi waliokuwa wanashaka na Olemilya na amesema kuwa CDM ni Chama makini kwahiyo kitamuadilisha Ole milya na wote wanaovua magamba na kuhamia CDM. Mbowe amesema kuwa hata baadhi ya wabunge wa CDM walihamia toka CUF, TLP, CCM lakin waliweza kuwafunza, alitoa mfano wa Wenje kuwa alitoka CCM. Kuhusu Usukaj wa Baraza la Mawazir Kamanda Mbowe amesema kuwa J.k amevunja katiba na kulidharau bunge baada ya kuteua wabunge na muda mchache kuwapa uwaziri na kuwataka waanze kazi bila kula kiapo Cha ubunge. MBOWE ameahidi kuwa atapanga upya baraza lake ili wakiingia bungeni wapinge uvunjaji huo wa katiba aliofanya J.K. Katika hatua nyingine kamanda wa anga alitoa taarifa kuwa wapo wabunge wa CCM 70 Walio mfuata kufanya booking ya nafasi za uongozi na hata katika baraza jipya linalo apishwa juma tatu Takribani mawaziri 9 wamemfuata wakitaka kufanya booking. Mwisho kamanda mbowe alifanya harambee na akakusanya zaid ya mil 1 ambayo itatumika kuendeleza Mv4change Umasaini
 
Mh! CDM tatizo niwabinafsi na waroho wa madaraka. Isingekuwa uroho wao basi upinzani ungekuwa kitu kimoja. Na hasa kale kagamba kakanisa walikokavaa ndio noooma! Hivyo kutokana na gamba la kanisa pwani na kampeni zao lazima waloe. CUF inaamka na kurejesha makali yake!

Kwanin mlale wakati nchi inatakiwa kukombolewa!achen unafiki,mmeshakufa!mfu hawezi amka tena mpaka milele!mapambano bado yanaendelea!vaa gwanda bana!ishara ya uzalendo na upambanaji.
 
Jamani acheni propaganda za kusema CDM haifiki maeneo mengine... mbona tunafika Serengerema, Shinyanga, Mbeya Songea, Dar, Dodoma, Singida, na hata Iringa? tatizo ni kwamba huko tukifika watu wa huko si watu wakutoa update coz labda mitandaohaiko huko au watu hawajahamasika katika kutoa data mitandaoni... Next week tunaelekea Mtwara Lindi, Tandahimba na maeneo mengine ya kusini.. sasa mseme hatifiki huko.. wakati hamtoi update mtandaoni.. Mfano leo Wenje alikuwa Temeke Dar lakini sijui kama hizi update watu wamezipata au lah!
Tatizo ni kupashana habari kunachelewa kuhusu mikutano yetu.....
Tusilaumiane juu ya Arusha..

Nani ulitaka atoe update?! CCM, CUF au CDM wenyewe?! Look, mie nipo Temeke na ndio kwanza nakusikia wewe kwamba WEnje leo alikuwa TMK...unamaanisha TMK kama TMK au TMK kama wilaya?!
 
Kwanin mlale wakati nchi inatakiwa kukombolewa!achen unafiki,mmeshakufa!mfu hawezi amka tena mpaka milele!mapambano bado yanaendelea!vaa gwanda bana!ishara ya uzalendo na upambanaji.

Pakitokea watu kama nyinyi kumi tu, halafu mkapata madaraka kwenye chama, then CDM is dead!
 
Mkuu wangu Mtanzania punguza nondo wakati mwingine usiwe unatoa majibu mazito kama haya kumbuka kuna vijana wengi humu JF wamejifunzia siasa humu JF.

Historia za siasa za Tanzania zimeanzia Chadema utakapomwambia mambo ya mwaka 1976 ni kumuonea bure kutoka na umri wake.

JF Daima.

Mkuu Ritz,
Tupo hapa kuelemishana na hasa ndilo lilikuwa lengo kuu la JF ya Great Thinkers. Werevu wanajifunza na kuelemika, wajinga wanatukana na kubaki na ujinga wao mpaka siku wanapoadhirika kwa ujinga huo.
 
You're talking like u're immature in politics....Jokakuu, u're not that immature bana!!! What (assume) kama watu wa huko hawana mwamko?! Should you leave them kwavile hawana mwamko?! come on chuck!

NasDaz,

..kwanini watu wa kusini kama wewe ambao mna mwamko msianzishe harakati huko Kusini halafu CDM wakawaongezea nguvu?

..juzi hapa tumesikia jamaa wa Same Kilimanjaro ambako ni ngome ya CCM wanaomba viongozi wa CDM wawapelekee kadi na bendera ili kuitambulisha CDM ktk maeneo ya Same.

..usitegemee Nassary na Lema waje wakuletee ukombozi kusini. hao hawawezi kufanya kazi nzuri kuwashinda nyinyi wenyeji wa kusini ambao mnaelewa mila na taratibu za kwenu.
 
Ali Hassan Mwinyi - Wizara ya Afya Tanzania 1972 mpaka 1975
Ali Hassan Mwinyi - Wizara ya Mali asili na utalii Tanzania 1982 mpaka 1983.

Ahmed Hassan Diria - Wizara ya habari na Utangazaji Tanzania - 1989 mpaka 1990.

Unataka niendelee!!!!

Two wrongs do not make a right!

Hatuwezi kufanya makosa kwa sababu tu huko nyuma watu walifanya hivyo hivyo! Uelewa wa watu mwaka 1972 na hata 1990 unaweza kuwa mdogo, sasa hivi tatizo ni nini? hawaelewi katiba? au watu wanaendesha nchi ni kwa "mazoea?
 
Mh! CDM tatizo niwabinafsi na waroho wa madaraka. Isingekuwa uroho wao basi upinzani ungekuwa kitu kimoja. Na hasa kale kagamba kakanisa walikokavaa ndio noooma! Hivyo kutokana na gamba la kanisa pwani na kampeni zao lazima waloe. CUF inaamka na kurejesha makali yake!

kwa kuwa chadema inaenda kushika nchi ndo waunganishe vyama.....! its too late... M4C ndo inashika hatamu
 
Shida mnaanzisha thread halafu kuleta updates hamleti mkitegemea wengine wafanye hivyo! Kama huwezi kuleta updates pamoja na picha tafadhali kaa pembeni waachie wenye nia na uwezo wafanye hivyo. Hata thread yenyewe maelezo nusu nusu - hayajitoshelezi. Ungekuwa serious ungetueleza yafuatayo:- - Muonekano na matayarisho hapo uwanjani kwa ujumla yakoje hadi sasa - bendera za chama, majukwaa, vikundi vya ngoma, dansi, n.k. - Viongozi gani wanatarajiwa kuwepo kwenye huo mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k. - Viongozi gani mpaka sasa wameshawasili au wako maeneo ya mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k. - Mwitikio na hamasa ikoje - waliovalia mavazi na nembo zingine za chama, gari ya matangazo, vipeperushi, mabango, n.k. -Jamaa wa intelijensia vipi? Wameshaanza kuranda randa maeneo ya karibu, migari yao ya kuwasha, n.k. - Ni mambo gani hasa makubwa yanayotarajiwa kujiri katika mkutano wa leo - wengine tunasikia kuna maelfu ya wana-CCM watakaorudisha kadi; Je, ni kweli? n.k. Halafu, kwa taarifa yako sio "Mpango" ni "Operesheni".
Je Mhe. JK na WanaCCM wanaona haya? Nchi inaenda kwa Magwanda.
 
Kwenye masuala ya msingi tuache ushabiki. Tangu baada ya uchaguzi mkuu 2010, viongozi wakuu na wabunge wa CHADEMA wameenda Kanda ya Ziwa na kanda ya kaskazini mara ngapi?
Kwa nini hawajaenda kanda ya kusini hata mara moja? Kanda ya ziwa na Arusha, Mbeya na Iringa CHADEMA wana msingi na mtaji mzuri wa kisiasa, sasa watawanyike na maeneo mengine kama kanda ya kusini, kanda ya kati na kanda ya pwani yaani LINDI, MTWARA, TANGA, nk!
 
"ndugu wana Arusha kuanzia Leo natangaza Kuwa Tanzania kuna Jamhuri huru ya watu wa MERU. Mimi ndiyo Rais wa watu wa MERU na Lema ndiyo waziri mkuu. Tunamwambia kikwete Kuwa tuna andaa utaratibu wa kumpiga marufuku Kuja Arusha, tutaziba njia zote asije huku." Joshua Nassari , MB Arumeru Mashariki
 
JK atakuwa anatafuta msiba uko wapi akapunguze mawazo coz hata wazungu washamjua huko kwao hana la muhimu analofuataga
 

Shida mnaanzisha thread halafu kuleta updates hamleti mkitegemea wengine wafanye hivyo! Kama huwezi kuleta updates pamoja na picha tafadhali kaa pembeni waachie wenye nia na uwezo wafanye hivyo. Hata thread yenyewe maelezo nusu nusu - hayajitoshelezi. Ungekuwa serious ungetueleza yafuatayo:-

- Muonekano na matayarisho hapo uwanjani kwa ujumla yakoje hadi sasa - bendera za chama, majukwaa, vikundi vya ngoma, dansi, n.k.
- Viongozi gani wanatarajiwa kuwepo kwenye huo mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k.
- Viongozi gani mpaka sasa wameshawasili au wako maeneo ya mkutano - viongozi wa wilaya, mkoa, taifa, madiwani, wabunge, n.k.
- Mwitikio na hamasa ikoje - waliovalia mavazi na nembo zingine za chama, gari ya matangazo, vipeperushi, mabango, n.k.
-Jamaa wa intelijensia vipi? Wameshaanza kuranda randa maeneo ya karibu, migari yao ya kuwasha, n.k.
- Ni mambo gani hasa makubwa yanayotarajiwa kujiri katika mkutano wa leo - wengine tunasikia kuna maelfu ya wana-CCM watakaorudisha kadi; Je, ni kweli? n.k.

Halafu, kwa taarifa yako sio "Mpango" ni "Operesheni".

Tumshukuru hata kwa hicho alichoweza kulingana nan uwezo na uelewa wake maana hata hivyo siyo haba kaka
 
Back
Top Bottom