Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Kwanza, ungeweza tu ukaandika kwa lugha ya Kiswahili na pili, ukalipatia jina la Dr. Slaa, labda ungeeleweka zaidi. Lakini kama ilikuwa lazima utumie ung'eng'e, nitakusaidia kidogo. (tilia maanani unapoweka vituo)

Noted!
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

Mkuu inaelekea jamaa wakali kwa wake zao mpaka asa hv haujapata wa kuzn naye. Kuna hoja nyng znatolewa lakn hujibu, ya uzinzi imekugusa sana mkuu. Fanya mambo yako ya ajabu unayofanya iramba tafuta wanaume wanne mlale.
 
Aliwahi kusema Rafael Bentez, we were good friends until when we started winning then Jose Morinho stated changing his mind. Leo ni haki kusema January lakini najua siku ukikutana nae jukwan yaleyale. Ni furaha tu kuwa anamaono na yuko sekretarieti ya ccm wala hajaachwa nyuma
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

OK The true color is coming out of him now! Katika red hapo Mmmmhhhh!
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

Hili la kulala na washikaji mbona halijakaa vizuri mh.yaan kitanda kimoja mnalala wawili?kwani mnapiga story usiku kucha?kwanini msikae mahali mkaongea then kila mtu akalale kivyake?au mfumo wa chuo wa kubebana umekuasiri?duh!pipoz 4 one room?tena with ur status?
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Nami nakuchukia kwa kuwa mwngo. Umelidanganya taifa kuwa unaitwa Mwiguru Mchemba, wakati hilo siyo jina lako. Umewadanganya wananchi wa Iramba wakakupa ubunge. Umeidangamya BOT ikakupa kazi wakati hukuwa na sifa. Umechakachua majina.
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

This was expected out of you Mwigulu, Utajifanya leo humfahamu huyu binti ambae sasa hivi ameolewa na amefunga ndoa tar 17/12/2011 kwenye kanisa la lutheran la msalaba mrefu ,ameolewa na amebadili jina na anaitwa Irene kwa sasa.Kanusha pia kwamba Mazala hafahamu nyendo zenu na huyu binti.Mwigulu,there is no way unaweza kukubali kwa sababu ulidhani hakuna watu wanaokuona.Wakati wewe uko stanley,nilikua kwenye hoteli hiyo hiyo.Wewe ni mzinzi mkuu,unamdanganya mke wako.
 
Inawapa shida kweli kwenye vyeti hamnipati, na kwenye uzinzi sipo na jina mbona jina sio issue unasema naitwa lameki nani amekataa si ndio hilo liko kwenye vyeti vyangu what is so strange. CCM inashinda
 
Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..

Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..

Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..

Dr. Slaa alipanda kisimbani kujibu hizi shutuma. Mahakama ikaona kuwa hana hatia, sasa mnapotumia hiyo scandal kama point ya kuombea kura hamuoni kwamba mkiitwa wendo wazimu itakuwa mtu hakosei. We naona una n.y>e~g/e na dr wa ukweli.
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

Duuh we noma,mi nilidhani unalala na wake za watu tu,kumbe unalala hadi na wanaume wa watu.
Kweli una kipaji cha ngono
 
Inawapa shida kweli kwenye vyeti hamnipati, na kwenye uzinzi sipo na jina mbona jina sio issue unasema naitwa lameki nani amekataa si ndio hilo liko kwenye vyeti vyangu what is so strange. CCM inashinda

Mwigulu@Sidhani kama ni ethics kwa mtu kama ww ambaye ni kiongozi wa kitaifa wa chama kikongwe Barani Afrika kujibishana na wapiga kura wako!Ulichokitolea ufafanuzi kuhusu uzinzi unaotuhumiwa mm binafsi nimeridhika hasa kile kipengele ulichotuambia damage ya madai haya sio kubwa!

Nakushauri majibu yako yametosha jiandae sasa na kampeni za Arumeru!by the way if i'm not out of topic;ilikuaje kompyuta ifanye makosa ya kuongeza vituo 55 Arumeru lkn isifanye kosa hata kwenye kata moja kuvipunguza?Ilikuaje basi kompyuta ipatie sawia kabisa kila kitu kwenye kata moja tu anayotoka Nasari wa CHADEMA na kata zingine 16 ikosee?
 
This was expected out of you Mwigulu, Utajifanya leo humfahamu huyu binti ambae sasa hivi ameolewa na amefunga ndoa tar 17/12/2011 kwenye kanisa la lutheran la msalaba mrefu ,ameolewa na amebadili jina na anaitwa Irene kwa sasa.Kanusha pia kwamba Mazala hafahamu nyendo zenu na huyu binti.Mwigulu,there is no way unaweza kukubali kwa sababu ulidhani hakuna watu wanaokuona.Wakati wewe uko stanley,nilikua kwenye hoteli hiyo hiyo.Wewe ni mzinzi mkuu,unamdanganya mke wako.

Mbona hata huyo mkewe watu wanatafuna kama kawa?
 
Kumbe uko nyuma ya habari mkuu..

Wanafunzi wote 20 waliofukuzwa kwasababu za udini na chuki za wakristo kwa waislamu wameruhusiwa kufanya mitihani na mwalimu mkuu amechukuliwa hatua za kinidhamu (in fact amehamishwa shule effectively)..

Ama kuhusu madrasa wataenda tu mkuu kusoma elimu ya dini wajibu kwa muislam mwanamke na mwanamume..hofu ondoa inaweza kuwa pakistan, india, arabuni, misri etc..

Ungemalizia kusema ukweli kuwa wale wanafunzi waliofukuzwa waligoma kufanya mitihani. Usipotoshe umma wale wanafunzi walifukuzwa mazima, wakaandaliwa wafanye kama private candidates, wakaenda misikitini wakakutana na maimamu maimuna wakawashawishi wagomee mitihani ndo ikala kwao. Yule mkuu wa mkoa mwenye tuzo ya PAPA bado anakamua kama kawa na ameapa kudeal na kundi la wahuni kama wale watoto wasiofunzwa na mama zao. Pia huo msikiti walioulilia ujengwe shuleni wameambiwa MARUFUKU. Watu wanataka kula kitimoto kwa raha sio kwa bugudha za majini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom