Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..

Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..

Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..

Wwe nae wa kujilinganisha na Dr huoni hata haya kumtukana ivo mwisho wenu unakaribia jua tu kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha tafuteni pa kutokea maana anguko lenu laja tena li mlangoni kwenu poleni wajina wa magamba
 
vc3.jpg
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.

6.+Lusinde+akiwachana+CHADEMA+kwenye+ngome+inayodaiwa+yao+Maji+ya+Chai.jpg

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde 'akiwachana' CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Maji ya Chai ambako inasemekana ni ngome ya chama hicho
4.+Khadika+Kopa+akitumbuiza+na+TOT+kwenye+mkutano+wa+Maji+ya+Chai.jpg

Mwimbaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) Khadija Kopa akihamasisha kwa wimbo wakati wa mkutano huo Maji ya Chai
2.+Mwigulu+akimnadi+Sioi+Maji+ya+Chai+ambako+inadaiwa+kuwa+ngome+ya+Chadema.jpg

Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
3.+Mashabiki+wa+CCM,+wakishangilia+wakati+wa+mkutano+Maji+ya+Chai.jpg

Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo.
 
we mwigulu mbona humsemi wasira uliyenae aliyempachika house girl mimba au ana makinda shuga mumy?au silaa tuu ndio unamuna na boss aliyeza na miss tz wa miaka ile!! We unajua.

msimsahau na makamba(yusuph) alimjaza mimba mwanafunzi akatimua mbio kwenye fani yake ya ualimu miaka hiyooo!
 
vc3.jpg
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari
Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akiomba kura kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Maji ya Chai jimboni humo, jana. eneo hilo linadaiwa kuwa ndiyo ngome ya CHADEMA.

6.+Lusinde+akiwachana+CHADEMA+kwenye+ngome+inayodaiwa+yao+Maji+ya+Chai.jpg

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde 'akiwachana' CHADEMA kwenye mkutano uliofanyika Maji ya Chai ambako inasemekana ni ngome ya chama hicho
4.+Khadika+Kopa+akitumbuiza+na+TOT+kwenye+mkutano+wa+Maji+ya+Chai.jpg

Mwimbaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) Khadija Kopa akihamasisha kwa wimbo wakati wa mkutano huo Maji ya Chai
2.+Mwigulu+akimnadi+Sioi+Maji+ya+Chai+ambako+inadaiwa+kuwa+ngome+ya+Chadema.jpg

Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi Sumari kwenye mkutano huo.
3.+Mashabiki+wa+CCM,+wakishangilia+wakati+wa+mkutano+Maji+ya+Chai.jpg

Wafuasi wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano huo.

Kweli watu wamewachoka yaani pamoja na uwepo wa TOT lakini pipoz wamekacha?what a kufulia!
 
Huwezi kunilazimisha kumheshim padri mzinzi. Nami sipo kuwafurahisha CDM. Tar mosi tunachagua kati ya amani ya yesu ccm na vurugu za shetan. Najua arumeru wachamungu watachagua amani yaani ccm. Wana cdm wasio penda ukweli wakinishambulia ni sawa tu wala sihitaji sifa zao. Ni kama vile shetani akinisifia sio jambo la kufurahia. Kulala chumba kimoja na wanaume ndio utamaduni niliokulia tuna nyumba ya wanaume. Huwezi kunipangia kusafiri na mke wangu ubunge sio wa familia yeye naye ana kazi yake. Hii kazi ya kufikiria kwa kutumia kamasi badala ya ubongo na kujiita great thinker tabu kweli.

Mdogo wangu Nchemba,
Nakushauri ujaribu kujenga hoja badala ya kuporomosha matusi yasiyomsaidia mwananchi wa kawaida, Rais Clinton alikiri kutembea na Monica lakini leo hii Clinton ni miongoni mwa watu wanaoheshimika duniani. Tunachotaka kutoka kwa kiongozi wetu ni uwezo wake wa kuzitambua changamoto zetu na kuzitafutia majibu, tunapenda pia kiongozi wetu awe mfano wa kuigwa lakini pia hatuwezi kufungwa na historia yake ambayo kamwe haiwezi kubadirika.
Dr. Slaa aliwahi kuwa Padri wa Kanisa Katoliki, huu ni ukweli ambao hauna mjadala, Kanisa Katoliki linawaruhusu mapadri wake kuacha kuwa mapadri pale wanapoona kuwa hawawezi tena kuendelea kuishi kulingana na mafungo ya upadri, huu pia ni ukweli uliodhahiri. Kama alivyo mtu yeyote mwingine Dr Slaa ana uhuru wa kuchagua maisha anayoyapenda, na aliutumia uhuru huo kuamua kufuata taratibu za kanisa lake kuacha upadri!
Alipoacha alikutana na mwanamke akakaa naye kwa muda, Rose Kamili, akaona hawaivi na wakakubaliana kuachana, katika safari ya maisha baadaye akakutana na mwanamke mwingine, Josephine, wakakubaliana kuishi pamoja na wanaendelea kuishi hivyo hadi hapo itakapokuwa vinginenvyo.
Sitaki kuamini hakuna kiongozi wa CCM anayeishi na vimada nje ya ndoa yake halali, pia sitaki kuamini kuwa mwanamke uliye naye wewe ndiye pekee anayekujua, kwa maana hiyo hauna uadirifu wa kumunyooshea Dr Slaa kwa kuishi na Josephine. Mimi si ubavu huo.

Tunategemea kutoka kwa kiongozi mkubwa kama wewe utuambie sera za Chama na mikakati ya kututoa hapa tulipo.

Chama chako kimeshindwa na kwa kukumbatia watu wa aina yako hakitaweza kuwa na uwezo wa kuzitatua changamoto zinazowakabili watanzania.
  1. Miji inaendelea kukua bila kuwa na mipango miji inayoweza kukabiliana na ukuaji huu,
  2. Watanzania wanaendelea kuuwawa (ajari za barabarani, risasi za polisi, risasi/mapanga ya majambazi) bila majibu yanayostahili kutoka kwenye serikali ya chama chako
  3. Misitu inazidi kuteketea kwa ukosefu wa nishati mbadala ambayo itawawezesha watanzania kuepukana na matumizi ya mkaa,
  4. Ukame unazidi kuwa mkubwa kila mwaka unaopita kutokana na 3 hapo juu na hakuna jitihada zozote za serikali kukabiliana na changamoto za ukame
  5. ...... need I say more??
 
Huwezi kunilazimisha kumheshim padri mzinzi. Nami sipo kuwafurahisha CDM. Tar mosi tunachagua kati ya amani ya yesu ccm na vurugu za shetan. Najua arumeru wachamungu watachagua amani yaani ccm. Wana cdm wasio penda ukweli wakinishambulia ni sawa tu wala sihitaji sifa zao. Ni kama vile shetani akinisifia sio jambo la kufurahia. Kulala chumba kimoja na wanaume ndio utamaduni niliokulia tuna nyumba ya wanaume. Huwezi kunipangia kusafiri na mke wangu ubunge sio wa familia yeye naye ana kazi yake. Hii kazi ya kufikiria kwa kutumia kamasi badala ya ubongo na kujiita great thinker tabu kweli.

Bwana awajua walio wake na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.
 
Bossi Inasemekana Igunga uliachiwa mke na jamaa baada ya kukufumania na ukamlipa 2m je uko tayari picha zikipatikana ziwekwe jamvini?

Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
 
Bossi Inasemekana Igunga uliachiwa mke na jamaa baada ya kukufumania na ukamlipa 2m je uko tayari picha zikipatikana ziwekwe jamvini?

kumbe hazipo ndio zinaenda kutafutwa?

give credit where credit is due, huyu bwana nimesoma nae mlimani, alikua ni mtu mwenye maadili sana na pia extremely bright, hata majibu amekua akitoa humu ndani yanaoensha ni mtu yuko na akili nzuri, mara nyingine watu wanamshmbulia kwamba kaongea povu kumbe wanashindwa tu kuelewa alichosema, na hili si tatizo lake, tatizo la huyu jamaa ni kwamba yuko katika chama kibaya lakini yeye binafsi ni mtu intelligent na ni natural leader.

kabla hamjaanza kunishambulia, mie si kada wa ccm
 
Mzee! Pole pole.This is too high to deliver.

Nchemba wewe unadhamana ndani ya chama chako, na katika haya yote unayoyasema, unafikiri ni lipi kati ya sera za chama chako unazisimamia? Au ni lipi kati ya hayo litawaletea watu wa Arumeru maendeleo? Kuishi kwingi ni kujifunza jifunze kuleta maendeleo na si matusi!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom