Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

HII lugha unayotumia si ya mbungeni.

Wanyeremba wanategemea wambulu (Iraqw) kupata kibarua, ili kuendesha maisha yao.

CCM ina washabiki wengi Iramba lakini hali ya wanyeramba ni mbaya.

Halafu unakuja na lugha chafu kwa wenye heshima kama Dr Slaa.

Huna heshima, usiwadalilishe unaowaongoza.
 
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Slaa, akiendelea kudai eti CHADEMA wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga. Wanatembea na waraka wanaodai ni wa CHADEMA kukiri kushindwa chakustajabisha mgombea wao Siyoi kapewa 10dk kuongea.

katika huo mkutano wengi walikuwa CHADEMA na kikundi kidogo cha wana-CCM waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwa ujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.

Mytake:
CCM kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu.

.
Eti hao ndio vijana wanaolilia uongozi. Kafieni mbali enyi wahuni wa ma-night club.
.
 
Kweli Nchemba huna hata akili.
Kwani unapomshambulia Dr. Slaa yeye ndiye mgombea Arumeru?

Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.
 
Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
 
Mwigulu acha ubishi wa kizee wewe hamkuwa tindigani?swala la kata siyo issue hapa.swala la sila kuwa na uhusiano na huyo mwanamke linawahusu nini wameru?swala la nasari kuwa analisha mbwa wa mzungu linawahusu nini wameru?mbona maji marefu ni mganga wa kienyeji....umeishiwa sera na utachangia kiasi kikubwa kummaliza sioi.yaan wewe ndiyo unaongea kuliko mgombea bora ungekuwa unaongea point unaongea vumbi tu

Kama ume messup kata ni Uzalendo kuadmit badala ya kuleta porojo nyingi.Issue ni eneo linalobeba tukio plus tukio sasa kama utasema eneo siyo issue maana yake nini? Thanks Mwigulu amekosoa na kuadmit tukio japo your reported speech imekuwa contrary to the reality other wise nilikuwa naidust as a cooked story or third part story.
 
Maji yakizidi unga utakunywa hata uji, tatizo kubwa zaidi ni unga kuzidi maji!! Dalili mbaya kwa magamba
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Nimekusikiliza pale tindigani viwanja vya sabato kubali ubadilike nafasi uliyo nayo ktk nchi na chama haiendani kabisa na maneno unayoyaongea. Kikubwa kinachoniudhi ni usemi kwamba tukichagua Chadema tusahau maendeleo, swali ni je hii nchi ni mali ya kwako? Na je serikali ilipokubali vyama vingi ilikuwa ni zuga kwamba ccm ndiyo Tanzania? Na je mpangilio wa maendeleo unaenda tu kwa majimbo ya ccm? Kama ni hivyo hatuna sababu ya kuwa na siasa.
 
Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..

Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..

Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..

Tropical hizo attack mnazo mfanyia Dr. Silla mkijua mnambomoa kumbe ndiyo mnamjenga.imani aliyoijenga kwa wananchi ni kubwa sana na hili ndicho kitu kinachowasumbua vichwa ccm.ila mnasahau kuwa mambo mengine ni "karizima" siyo sawa na mvuto wa mapete ya sheikh yahaya.
 
Nimekusikiliza pale tindigani viwanja vya sabato kubali ubadilike nafasi uliyo nayo ktk nchi na chama haiendani kabisa na maneno unayoyaongea. Kikubwa kinachoniudhi ni usemi kwamba tukichagua Chadema tusahau maendeleo, swali ni je hii nchi ni mali ya kwako? Na je serikali ilipokubali vyama vingi ilikuwa ni zuga kwamba ccm ndiyo Tanzania? Na je mpangilio wa maendeleo unaenda tu kwa majimbo ya ccm? Kama ni hivyo hatuna sababu ya kuwa na siasa.

Kirilorigin well said jamaa ameboa mbaya hata hao waliogawiwa vitambaa wamechukizwa wamejuta kupoteza muda wao kuja kushuudia matusi kutoka kwa mb na mtunza fedha wa chama.
Mkuu kesho makamanda wapo tindigani hapana kosa
 
Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.

Mwigulu mbona unakwepa kujibu maswali mengine?
 
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Slaa, akiendelea kudai eti CHADEMA wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga. Wanatembea na waraka wanaodai ni wa CHADEMA kukiri kushindwa chakustajabisha mgombea wao Siyoi kapewa 10dk kuongea.

katika huo mkutano wengi walikuwa CHADEMA na kikundi kidogo cha wana-CCM waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwa ujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.

Mytake:
CCM kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu.

Hiyo yote inatokana na kukosa sera, yeye kama anamchukia dr. Slaa kwani yeye nani anampenda?
 
sasa mjomba ulitegemea waseme nini? miaka 50 sasa watu hawana maji wala umeme basically huna cha kuwaambia zaidi ya kuwaitisha watu ili uwaeleze namna unavyomchukia slaa utafikir yeye ndiye aliwazuia kuleta maendeleo.

Mkuu una zinga la like yangu kwavile kwa bahati mbaya natumia simu, ila nimelipenda sana jibu lako na pia limekwa fupi na clear
 
Kumbe upo?juzi asb tumepishana huna Bendera watoto wa CDM wanakumwaga kamasi narudi juma 3
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.
 
Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
Mke wa kada mwenzako ni aibu kwa kweli, nasikia jamaa mkamtuliza kwa 6M.
TIMU ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeingia katika msukosuko mkubwa wa chini kwa chini baada ya kiongozi mmoja mwandamizi anayeongoza kampeni hizo (jina tunalihifadhi) kudaiwa kufumaniwa na mke wa mtu, Tanzania Daima limebaini.

Habari za uhakika ambazo gazeti hili limezipata kutoka vyanzo vya kuaminika katika Ofisi Ndogo za CCM Makao Makuu jijini Dar es Salaam na kutoka Igunga zinaeleza kuwa tukio hilo limesababisha kujeruhiwa vibaya kwa mwanamke huyo.

Ofisa mmoja wa juu wa CCM aliyezungumza na Tanzania Daima kwa sharti la jina lake kutoandikwa gazetini alisema sakata hilo lilianza baada ya mume wa mwanamke anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kigogo huyo anayeongoza kampeni za chama hicho kuvamia chumba ambacho watuhumiwa hao walikuwamo na kuanza kumwadhibu mkewe kwa kipigo.

Kwa mujibu wa ofisa huyo, wakati vuta nikuvute kati ya mke na mume ikiendelea chumbani, kigogo huyo wa CCM alifanikiwa kutoroka na kuwaacha wanandoa hao ambao wote wawili ni makada wa CCM wakiendelea kupambana.

Habari zinaeleza kwamba mtafaruku huo ulimsababishia mwanamke huyo aliyekuwa miongoni mwa kundi la mabinti wapatao 10 wanaotumika kuhamasisha kwenye kampeni hizo majeraha makubwa yaliyomlazimisha apelekwe hospitalini kwa ajili ya matibabu.

Chanzo kingine cha kuaminika cha habari kililieleza gazeti hili kwamba kabla ya kwenda hospitalini, mwanamke huyo alilazimika kupita katika kituo cha polisi cha Igunga ili akapatiwe fomu maalum ya idhini ya matibabu (PF3).

Inaelezwa kwamba mara baada ya kufikishwa kituoni hapo na wasamaria wema, mwanamke huyo (jina tunalo) alitakiwa kwanza kulitaja jina la mtu aliyemsababishia majeraha hayo na akajikuta akipata wakati mgumu kumtaja mumewe.

Habari zinaeleza kwamba taarifa za tukio hilo zilipofika katika ofisi za CCM wilaya ya Igunga, maofisa wa chama hicho waliingilia kati na kuamua kulizima jambo hilo chini kwa chini ili kuepukana na hatari ya kuvuruga kampeni nzima za ubunge cha chama hicho.

“Ni kweli tumepokea habari za kusikitisha kuhusu kiongozi wetu mmoja wa juu katika kampeni kukumbwa na kashfa ya kufumaniwa na kusababisha mwanamke aliyadaiwa kuwa na uhusiano naye kupata kipigo kikali kutoka kwa mumewe ambaye pia ni kada maarufu wa chama chetu Igunga,” alisema ofisa mmoja wa juu wa CCM aliyezungumza na gazeti hili.

Hata hivyo, ofisa huyo alisema uchunguzi walioufanya awali kuhusu tukio hilo umebaini taarifa za kigogo huyo wa CCM kuwa na uhusiano usiofaa na mke wa mtu zilivujishwa na kundi la vijana wengine wa kiume walio katika timu hiyohiyo ya kampeni ya CCM ambao ndiyo waliopenyeza taarifa hizo kwa mume wa mwanamke anayetuhumiwa.

Wakati chama hicho kikihaha kulifunika sakata hilo ili lisivuje, viongozi wake waandamizi walipata wakati mgumu kumnadi mgombea wao, Dk. Peter Kafumu, kwenye ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika Kata ya Nyandekwa, katika jimbo la Igunga.
 
Mtu akilaaniwa na damu ya wananch ni lazima aropoke matusi!hv cv ya nchemba magamba ikoje ikoje?ccm hawana sera zaid ya matusi na kejeli

Ndo ninavyosikia huwa ukiuwa mtu lazima kuropoka kabla ya kupoteza maisha kwahiyo kama kafikia stage ya kuropoka atapotea muda si mrefu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom