Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Kirilorigin well said jamaa ameboa mbaya hata hao waliogawiwa vitambaa wamechukizwa wamejuta kupoteza muda wao kuja kushuudia matusi kutoka kwa mb na mtunza fedha wa chama.
Mkuu kesho makamanda wapo tindigani hapana kosa

Kwa wazo langu tatizo la ccm ni kushindwa kuisimamia kooni serikali hadi weakness zikaonekana mitaani, na sasa la msingi ni kuwapoza watu kwa kuwaeleza jinsi watu wachache walivyokiharibia na kushusha hadhi ya chama, na ueleze mikakati ya jinsi ccm kama kiranja wa serikali italeta badiliko hapa jimboni ikibidi kwa kiapo. Lakini badala yake muda mwingi mnazunguka na maneno dhaifu eti asiyemchagua Siyoi ana mimba kama mliyokwisha wapa mimba cdm in 2010, sasa huko mmehama kwa cdm mmeanza kuwatusi wapiga kura wanaume wa Meru.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ndg yangu unatumia gazeti la tanzania daima kama ushahidi. Huo uzushi kumbe sio kosa lako bali ni chanzo cha habari. I say and re say that was politics nothing like that happened ingekuwa vyema mtu aseme aliyeona hata mazingira mbona wakuu mnaamini sana hisia ila hamtaki kuamin kuwa slaa anazini na mtoto toka kwa mke wa mtu mmemwona. Hivi kwa akili zenu ningetaka kufanya hivyo hivi kweli ningefanya jukwan kweli.
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.
Mkuu, heshima kwako. Majibu haya hayaoneshi hata chembe kwamba yametolewa na graduate wa chuo kikuu cha D'salaam tena wa masters degree. Haya ni majibu ya akina mama wapika vitumbua waliobanwa na maisha magumu yaliyosababishwa na serikali mbovu ya chama chako CCM. Kwani uzinzi wako wewe utawanufaishaje wapiga kura wa Arumeru mashariki?kiongozi wa elimu yako anatakiwa atoe uchambuzi wa matatizo ya wananchi halafu atoe njia ya kuondokana nayo sio hizi pumba ulizozitoa hapa. Shukuru tu kuwa mtandao wa JK unakubeba, la si hivyo hufai kwa lolote labda huo uzinzi unaojivunia.
 
Ndo ninavyosikia huwa ukiuwa mtu lazima kuropoka kabla ya kupoteza maisha kwahiyo kama kafikia stage ya kuropoka atapotea muda si mrefu

NCHEMBA

WEWE NI HOPELESS ....DUNIA IMEKUJAA ROHONI...SOMA HAPA UNIELEWE ZAIDI ..Galatia 5:19-20..

kwaheri
 
Mimi sihalalishi hayo. Unasema amesema lini jibu amesema king'ori pia maji ya chai na kwingineko. Sasa mwenye mke au girlfriend wake ambaye anaushahidi kuwa aliwahi kuniona naye ataje jina na eneo aliponikuta tuache uzushi na chuki za siasa. Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili angalia slaa ana mchumba amezaa nae na alikuwa mkee wa mtu. Hapo kweli unayejibu kama network iko sawa unaona slaa ni wakupanda jukwan na kusema mwigulu mzinzi. Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.
Wewe mchovu, twambie chama chako kinafanya nini kuondoa au kupunguza mfumko wa bei, haya ya kitandani hayatusaidii wa Tanzania, we vipi?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Bora umekiri kuwa wewe ni mzinzi...well said mzee wa Igunga.Huku bado ujapata wa kutoka nae? ila uwe makini na watu wa Arumeru ni hatari watakupoteza.
 
Wewe hufai hata kuwa mwanafunzi wangu nawe unasema. Bangi kitu kibaya sana. Lete ajenda tukate issues uone. Mtoto wa primary hawezi kusahihisha mitihani ya chuo kikuu. Kuna swali gani hapo linahitaji majibu ya chuo. Nani amekwambia nagombea ubunge arumeru.
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Kwa hiyo kama Dr Slaa ana zini nje ya ndoa ndiyo ikawa ruhusa kwako na ww kuzini Igunga na mke wa kada wenu?

This is too low from you na naanza kuamini sasa kuwa ukijunga CCM akili yako inakuwa PUNGUANI automatically maana Mwigulu wa Ilboru sio huyu tuliyekuwa tunamfahamu kwa kufikiri vyema!
 
Wewe hufai hata kuwa mwanafunzi wangu nawe unasema. Bangi kitu kibaya sana. Lete ajenda tukate issues uone. Mtoto wa primary hawezi kusahihisha mitihani ya chuo kikuu. Kuna swali gani hapo linahitaji majibu ya chuo. Nani amekwambia nagombea ubunge arumeru.
Bora hata ungeficha jina lako kama wabunge wenzio wasio na busara wanavyofanya! Ukitumia jina lako halisi unatakiwa ujibu hoja kama uliyeenda shule na sio huu utoto unaouonesha hapa! mtu mzima hovyooooooo!!!!!!!
 
Wewe hufai hata kuwa mwanafunzi wangu nawe unasema. Bangi kitu kibaya sana. Lete ajenda tukate issues uone. Mtoto wa primary hawezi kusahihisha mitihani ya chuo kikuu. Kuna swali gani hapo linahitaji majibu ya chuo. Nani amekwambia nagombea ubunge arumeru.

Mwigulu,

..inasemekana mgombea wenu hajajiandikisha kupiga kura Arumeru.

..inasemekana amejiandikisha kupiga kura Masaki, Dar-Es-Salaaam.

..je, habari hizi ni za kweli???

..pia kwanini hamuongelei sera za chama chenu mmebakia kurusha vijembe vya ndoa za watu?

..unajua wengine wenye umri mkubwa kidogo tunaona haya ni mambo ya ajabu kidogo kufanywa na CCM. tumekua tukiitambua CCM as a party of ideas.
 
Mimi nina mke wa ndoa na watoto wawili[/B] . Mseme slaa kwa hilo bibilia haibadiliki afanyae mapenzi na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa ANAFANYA UZINZI NA AZINIE NA MWANAMKE NI NJINGA KABISA. SASA HUYO MZEE KILA SIKU ANAZINI.

Tuhuma za KUZINI ni tuhuma mbaya sana kwa binadamu hasa kama HUJAFANYA DHAMBI HII;lkn magaezti mengi sana wakati wa uchaguzi wa Igunga yaliandika tena bila kuficha majina kama MWIGULU KAKAMATWA ANAZINI NA MKE WA KADA MWENZAKE lkn hadi leo hujawahi yapeleka mahakamani magazeti hayo ukasafishike!

Mwanasiasa mwenye cheo cha kitaifa kama Mwigulu anaambiwa waziwazi na magazeti kama UNAZINI na yeye anakaa kimywa lkn leo anakuja kusema JF kuwa hajafanya uzinifu?JFhaitakusafisha Mwigulu nenda mahakamani!Why mnaogopa sana Mahakama?
 
Utwa lilino malafyale. Umenukuu kitu nusu sina maana angalia majibizano yalikuwaje tokea mwanzo. For it adds nothing, for you seems not read to take the cralifications stay on what you believe and make a critical assessment on what do you achieve by so believing. I though, umhimu wa jamvi ni kufafanua mambo kwa ukweli na mwenye ukweli atoe kumbe yaleyale.
 
Ndg yangu unatumia gazeti la tanzania daima kama ushahidi. Huo uzushi kumbe sio kosa lako bali ni chanzo cha habari. I say and re say that was politics nothing like that happened ingekuwa vyema mtu aseme aliyeona hata mazingira mbona wakuu mnaamini sana hisia ila hamtaki kuamin kuwa slaa anazini na mtoto toka kwa mke wa mtu mmemwona. Hivi kwa akili zenu ningetaka kufanya hivyo hivi kweli ningefanya jukwan kweli.

Mwigulu kwanza kabisa nataka niweke sawa nilichoandika hapa hakina connection yoyote na tanzania daima ni mkutano uliofanyika tindigani maji ya chai! Swala la uzinzi wa Dr. Silla unawahusu nini wanameru?hivi ukisema dr.silla ni mzinzi unamjenga sioi?jibu pia yale maswali yangu basi mkuu!
 
Ya slaa nilikuwa najibu aliyosema juu yangu nadhan pata kwanza hayo uone kama yana tija kwa arumeru na kama inamjenga mgombea wake. Ila ukilenga upande wangu tu kuwa hamjengi sioi tutaona tar mosi. Maswali nimeshajibu
 
Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..

Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..

Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..
Topical, tangu mumewauza wale watoto wa kiislam pale Ndanda sijasikia mnampango gani wa kuwasidia ingalau wafanye mitihani mwakani kama watahiniwa wa kujitegemea, au ule mpango wa kuwapeleka madrasa Pakstani ndio umeiva?
 
Baridiiiiiii tar mosi nina uhakika na nitakuwa na skafu shingoni na kwenye mikono yote miwili nikishangilia. Unatamani sana nipate aibu lakini sio arumeru labda jua litokee magharibi kwenda mashariki
 
Utwa lilino malafyale. Umenukuu kitu nusu sina maana angalia majibizano yalikuwaje tokea mwanzo. For it adds nothing, for you seems not read to take the cralifications stay on what you believe and make a critical assessment on what do you achieve by so believing. I though, umhimu wa jamvi ni kufafanua mambo kwa ukweli na mwenye ukweli atoe kumbe yaleyale.

Mwigulu jibu hoja acha kutoa povu!mbona mengine utaki kufafanua?
Uwezi kufanya ligi na Dr. Silla mwigulu amekuacha mbali sana we size yako ni kibajaji lusinde period
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom