Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.
Utwa lilino malafyale. Umenukuu kitu nusu sina maana angalia majibizano yalikuwaje tokea mwanzo. For it adds nothing, for you seems not read to take the cralifications stay on what you believe and make a critical assessment on what do you achieve by so believing. I though, umhimu wa jamvi ni kufafanua mambo kwa ukweli na mwenye ukweli atoe kumbe yaleyale.

Ndipo kikolo Mwigulu@Libel and nd slander laws zitakulinda kwenye kesi kama hii hasa kama hujatenda tuhuma hizi.Nakushauri ili kulinda heshima yako kwa nn usiende mahakamani kuyashtaki magazeti yaliyokuandika kuwa ULIZINI IGUNGA na wakati mwenyewe unasema hujafanya hivyo kwa sababu ww ni mme tena mwenye bahati ya kuwa na watoto 2?

Inaniwia vigumu kujua kwa nn viongozi wa CCM huwa wanasema tu Dr Slaa ni muongo hata kama katupasha habari nzito sana juu yao lkn katu huwa hamuendi mahakamani kumshtaki ?[REF:Orodha ya mafisadi Mwembeyanga na tuhuma kuwa Ridhiwan Kiwete ni bilionea akitumia mgongo wa baba yake kujilimbikizia mali,na tuhuma kuwa Mwigulu alizini Igunga]

Mwigulu nijibu tafadhali;kwa nn Dr Slaa akiwaambia wazi tuhuma nzito kama hizi hamuendi mahakamani?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
You are comparing two diffent things. Hata kunilinganisha tu umeonesha capacity yangu bila kujua. Slaa is above 65 am below 40 jiulize ktk umri wake nitakuwaje na katika umri wangu slaa alikuwaje. Ulikuwa unamjua slaa hata kwa povu kama la kwangu ktk umri wangu? You look too biased.
 
Tropical hizo attack mnazo mfanyia Dr. Silla mkijua mnambomoa kumbe ndiyo mnamjenga.imani aliyoijenga kwa wananchi ni kubwa sana na hili ndicho kitu kinachowasumbua vichwa ccm.ila mnasahau kuwa mambo mengine ni "karizima" siyo sawa na mvuto wa mapete ya sheikh yahaya.

This is the second if not third time unakosea jina la Slaa with wrong pronunciation of "Silla" these are two different names with different sounds and meaning.Are you real or exactly CDM Member who doesn't know the name of his second topmost leader in the party? This is typical ridiculous if not embarrassing.
 
Baridiiiiiii tar mosi nina uhakika na nitakuwa na skafu shingoni na kwenye mikono yote miwili nikishangilia. Unatamani sana nipate aibu lakini sio arumeru labda jua litokee magharibi kwenda mashariki

Mungu wa wote yupo, Mungu wa haki yupo, Yeye ndo anajua
 
Habari ya kwenda mahakamani ningekwenda lakini waulize wanasheria watakwambia hamna damage ya kiasi hicho zaidi ya humu jf. Pia sioni faida yake kwa kufanya hivyo.
 
Topical, tangu mumewauza wale watoto wa kiislam pale Ndanda sijasikia mnampango gani wa kuwasidia ingalau wafanye mitihani mwakani kama watahiniwa wa kujitegemea, au ule mpango wa kuwapeleka madrasa Pakstani ndio umeiva?

Kumbe uko nyuma ya habari mkuu..

Wanafunzi wote 20 waliofukuzwa kwasababu za udini na chuki za wakristo kwa waislamu wameruhusiwa kufanya mitihani na mwalimu mkuu amechukuliwa hatua za kinidhamu (in fact amehamishwa shule effectively)..

Ama kuhusu madrasa wataenda tu mkuu kusoma elimu ya dini wajibu kwa muislam mwanamke na mwanamume..hofu ondoa inaweza kuwa pakistan, india, arabuni, misri etc..
 
Habari ya kwenda mahakamani ningekwenda lakini waulize wanasheria watakwambia hamna damage ya kiasi hicho zaidi ya humu jf. Pia sioni faida yake kwa kufanya hivyo.

Mwigulu thibitisha kwamba wewe sio mzinzi ,manake hata kule Iramba na Singida mjini una kashfa ya kutembea na binti (Amina Rashid)-huyu binti anaishi eneo la mwenge singida.Umekua ukikutana nae mara nyingi pale Stanley Hotel.Pinga na hili,tukutajie tarehe na siku
 
Mwigulu,

..hata kama mtashinda the damage CCM is doing for this country is unimaginable.

..hivi kweli watu kama Stephen Wasira,Prof Maji Marefu, Aden Rage, sasa ndiyo wamekuwa face ya CCM?

..hivi hamna taarifa kwamba mahakama iliwahi kumhukumu Wassira kwa kutao rushwa ktk uchaguzi??

..Aden Rage naye si alifungwa jela akatoka kwa msamaha wa Raisi?

..nadhani sekretariet yenu imekosea sana kujiweka karibu na watu wa ajabu-ajabu kama Stephen Wassira, Aden Rage, etc.
 
You are comparing two diffent things. Hata kunilinganisha tu umeonesha capacity yangu bila kujua. Slaa is above 65 am below 40 jiulize ktk umri wake nitakuwaje na katika umri wangu slaa alikuwaje. Ulikuwa unamjua slaa hata kwa povu kama la kwangu ktk umri wangu? You look too biased.

Kama ulitambua hilo kuna haja gani ya kujibizana naye?
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.
Ndio mambo ya kuongea watu wa Chama tawala? Mnaitia aibu nchi!
Mwenzio Adam Malima wamempa discipline Morogoro bado wewe.
 
mh Mwigulu nina wasiwas na uwezo wako sana wa kujenga hoja, hiv unajua maana ya kuoa na kuolewa? kasome sheria ya ndoa, halaf hayo yanahusiana vipi na maendeleo ya jimbo la Arumeru mashariki? ccm imefikia mwisho wake na itakufa nanyi akina mwigulu na mafisadi wenzako
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri
 
Mkuu Nchemba nadhani kauli hizi za kumchukia Slaa nadhani sio za kwako. kam ni zako basi nadhani Siasa ni mchezo mchafu na unaondoa dignity ya mtu. Mwigulu ninayemfaham wa mazengo Complex si huyu wa CCM. You a going too low brother japo najua unapigania mkate wako wa kila siku kwa kupigania usiyoyaamini.
 
Habari ya kwenda mahakamani ningekwenda lakini waulize wanasheria watakwambia hamna damage ya kiasi hicho zaidi ya humu jf. Pia sioni faida yake kwa kufanya hivyo.

Mwigulu,
Ninaamini ijapokuwa haukusomea Sheria,lakini wakati unasoma masomo yako ya Shahada ya Kwanza na hata Shahada ya pili ulisoma japo sheria ya "kurashia" na kule ulisoma topic iitwayo TORT LAW (Sheria ya Madhara) na ndani yake ulisoma TORT OF DEFAMATION.
Kwamba uliandikwa kwenye magazeti mwaka jana wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga ukituhumiwa kutembea na mke wa Kada mwenzako wa CCM, ni kashfa kubwa sana na kama ni 'damage', ni kweli imekuwa ni kubwa sana.
Ndiyo maana hata wakati imezungumzwa kwamba utakuwepo Arumeru kumnadi Siyoi, kulikuwa na maneno ya hapa na pale na minong'ono kwamba wameru wawafiche wake zao.
Na umekuwa talk of the town kutokana na kadhia na kashfa hii.
Kama ni kweli haukufanya(roho na nafsi yako ndiyo shahidi), kwa nini usiyashtaki magazeti hayo ambayo yamekushushia hadhi na heshima mbele ya watu waliyokuwa wanakuamini(hence the essence of the law of tort - defamation) ili heshima yako ikarudi kwa JAMII, CHAMA, FAMILIA na KANISANI kwako unakosali?

Kwamba Dr. W.P. Slaa alisema Maji ya Chai na wapi sijui kwamba wewe ni mzinzi nawe ukafika huko Tindigani na kuhit back, inauhusiano gani na ustawi na maendeleo ya wana Meru?Kwa mfano, Slaa angekuwa anatembea UCHI wa bila nguo, nawe unge-hit back na kutembea bila nguo?.

Utetezi wako hapo juu ni mwepesi mno kutolewa na mtu msomi na mwenye social status kama yako.

Hii inaonyesha aina ya viongozi tuliowaachia dhamana ya kuongoza nchi.
 
You are comparing two diffent things. Hata kunilinganisha tu umeonesha capacity yangu bila kujua. Slaa is above 65 am below 40 jiulize ktk umri wake nitakuwaje na katika umri wangu slaa alikuwaje. Ulikuwa unamjua slaa hata kwa povu kama la kwangu ktk umri wangu? You look too biased.
You must be kidding ndio maana watu wana doubt elimu yako japo wanajua ulisoma Mlimani na degree zako zote zinajulikana,lakini msomi kama wewe unadanganya umri wa Dr Slaa kwa sababu umesema unamchukia sana kuliko mtu yeyote duniani aligombea akiwa na 62 leo mara useme ana 85 pengine umeandika 69 lakini kichwani ukiwa na aim ya kumdhalilisha kwamba ni mzee Sata amechukia nchi huko Zambia 74 kwa hiyo unajisumbua nakukazana na umri .Miaka yako 40 haijakutosha kukufundisha kuwa mwanasiasa mwenye kutumainia kwa ujumla wewe nikishoio,unajipendekeza mtu anajua psychology ya wanasiasa atajua wewe unafanya mambo ya siasa kama msukule nikuonye tuu kwamba unachuja haraka sana kwa sababu hujulikani unasimamia nini wewe ni bendera fuata upepoMwanamke uliyelala naya igunga mambo mengi yalimtokea ikiwemo kupoteza mimba,mwanaume anayejulikana mbele ya jamii amepata kilema cha moyo kwa kufanyiziwa mke na kada mwenzake mbele ya makada wengine,hao hujawaomba msamaha kwa dhati nyoyo zao zinalia na wewe na ukumbuke amfanyiaye mwenziye vibaya naye yatamrudiKijana kwenye siasa uko kwenye mguu mbaya
 
Bitabo umeninukuu vibaya unafuata maneno yamtoa thread. Sijasema namchukia nimekwambia namdharau kwa kupanda jukwani na kuniongelea vitu vya uzushi na vitu ambavyo hana moral authority ya kuvisema
 
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Slaa, akiendelea kudai eti CHADEMA wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga. Wanatembea na waraka wanaodai ni wa CHADEMA kukiri kushindwa chakustajabisha mgombea wao Siyoi kapewa 10dk kuongea.

katika huo mkutano wengi walikuwa CHADEMA na kikundi kidogo cha wana-CCM waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwa ujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.

Mytake:
CCM kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu

Hilo sio jambo la ajabu kwa Chama Cha Malumbano(CCM) hawana sera, wamezidiwa, uzuni imewajaa, kushindwa kumewakabili, unafiriki wataacha sera za matusi??????

This is the second if not third time unakosea jina la Silaa with wrong pronunciation of "Silla" these are two different names with different sounds and meaning.Are you real or exactly CDM Member who doesn't know the name of his second top most leader in the party? This is typical ridiculous if not embarrassing.
Kwanza, ungeweza tu ukaandika kwa lugha ya Kiswahili na pili, ukalipatia jina la Dr. Slaa, labda ungeeleweka zaidi. Lakini kama ilikuwa lazima utumie ung'eng'e, nitakusaidia kidogo. (tilia maanani unapoweka vituo)
apolycaripto said:
This is the second if not the third time unakosea jina la Dr. Slaa, pronounced very differently from "Silla". These are two different names with different sounds and meanings. If you a bona fide member of Chadema, how come you dont know the name of the second top most leader of the party? This is not only ridiculous, it is embarrassing.
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

Kaka pumzika naona muda umekwenda, uliyotoa yametosha Mkuu. Chama kinatarajia ushindi wa kishindo maake naona kama akina mama mmewakamata kweli kweli. Hili ni tumaini la kura maake huwa hawapotezi shahada ya kupigia kura hawa na pia watunza ahadi sana.Sifa nyingine wako radhi kubana kwenye foleni mpaka watimize kwa maana ya "kuchukua na kuweka pwaa".I wish you all the best.
 
hata jina geni ndg lete details na hata amina mwenyewe na ajitokeze. Pili sijawahi kulala stanley hata mara moja tangu ijengwe na tangu nizailiwe. Kwa ufupi najua nawakera sana cdm ila kwenye uzinzi sipo na hawatanipata angalia aibu hiyo tangu utoto wangu sijawahi kuwa na mpenzi anaitwa amina rashidi na sijawahi kulala hata ile ya pekee yangu stanley. Pili iramba nikiwa ziara nina utaratibu wa ajabu kidogo huwa nachukua double nalala na washikaji wanne kupiga story tena sijawahi kulala hayo mahotel ya ghali hapo singida ndg ulizia vizuri utanikuta mzinga sgd au mapokezi misigiri

ndugu yangu ww angalau ni msomi bt why?..upeo wako unafanana kama sio kuzidiwa na kilaza L. Lusinde na mchawi majimarefu.

Nasikitika kuwa ccm yetu badala ya kuwa na vijana wenye muono chanya kama january makamba, kipaumbele mnapewa mtu kama wewe ambae ni "JANGA LA KITAIFA".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom