Mkutano wa CCM Kata ya Tindigani aibu tupu! Watawaliwa na matusi badala ya sera

Status
Not open for further replies.

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Slaa, akiendelea kudai eti CHADEMA wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga. Wanatembea na waraka wanaodai ni wa CHADEMA kukiri kushindwa chakustajabisha mgombea wao Siyoi kapewa 10dk kuongea.

katika huo mkutano wengi walikuwa CHADEMA na kikundi kidogo cha wana-CCM waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwa ujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.

Mytake:
CCM kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu.
 
sasa mjomba ulitegemea waseme nini? miaka 50 sasa watu hawana maji wala umeme basically huna cha kuwaambia zaidi ya kuwaitisha watu ili uwaeleze namna unavyomchukia slaa utafikir yeye ndiye aliwazuia kuleta maendeleo.
 
Mtu akilaaniwa na damu ya wananch ni lazima aropoke matusi!hv cv ya nchemba magamba ikoje ikoje?ccm hawana sera zaid ya matusi na kejeli
 
sasa mjomba ulitegemea waseme nini? miaka 50 sasa watu hawana maji wala umeme basically huna cha kuwaambia zaidi ya kuwaitisha watu ili uwaeleze namna unavyomchukia slaa utafikir yeye ndiye aliwazuia kuleta maendeleo.

well said mkuu!jamaa wameshikwa pabaya.
 
kama kawaida ya kampeni za CCM kutawaliwa na matusi bila sera yakiongozwa na Mwigulu eti anasema kama akiulizwa hapa duniani ataje mtu mmoja anayemchukia basi ni Dr.Silla,akiendelea kudai eti cdm wamefulia sababu kikwete amekataa ushoga.wanatembea na waraka wanaodai ni wa cdm kukiri kushindwachakustajabisha mgombea wao sioi kapewa 10dk kuongea. katika huo mkutano wengi walikuwa cdm na kikundi kidogo cha wanaccm waliogawiwa vitambaa ili washangilie kwaujumla wananchi wamesikitishwa na matusi yaliyokuwa yakitolewa na viongozi wa ccm.
Mytake: ccm kwisheni wameishiwa sera wamebaki na matusi tu.

Ndio maana wenye akili hatushangazwi na mashambulizi ya Manyang'au dhidi ya Rais mtarajiwa Dr Slaa hapa jamvini.Ni watu maalum wametumwa hapa jamvini
 
ccm matusi ndiyo walichobakiza na fitina zisizo na maana
 
Ningemshangaa Nchemba asingema anamchukia Dr. Slaa.
Yeyote anayewalamba miguu Mafisadi lazima atamchukia Dr. Slaa na CDM.
 
Anamchukia Dr Slaa kwa sababu alishawashitua makada wa CCM kulinda wake zao sasa jamaa hana ujanja kil akienda kwa makada hali mbaya wewe unafikiri kitendo hicho ni kidogo kwa fisimaji kama Mwigulu?
 
Yaan makada wa ccm wanamgwaya Dr. Mpaka basi........
Mytake:
"If u cannot fight him,join him"
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.
 
Yeye aendele kuomba mungu wabunge wafe ajipachike umeneja aendele kugawa virus kwa hela ya chama cha magamba.
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

dr kawahi kusema wewe ni mzinzi? Alisema lini? So unamtumia dr kama kichaka cha wewe kuendelea kuwachemba wake za watu? We jamaa akili zako zinahesabika yani hakuna kitu kichwani humo!
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

we mwigulu mbona humsemi wasira uliyenae aliyempachika house girl mimba au ana makinda shuga mumy?au silaa tuu ndio unamuna na boss aliyeza na miss tz wa miaka ile!! We unajua.
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Mwigulu acha ubishi wa kizee wewe hamkuwa tindigani?swala la kata siyo issue hapa.swala la sila kuwa na uhusiano na huyo mwanamke linawahusu nini wameru?swala la nasari kuwa analisha mbwa wa mzungu linawahusu nini wameru?mbona maji marefu ni mganga wa kienyeji....umeishiwa sera na utachangia kiasi kikubwa kummaliza sioi.yaan wewe ndiyo unaongea kuliko mgombea bora ungekuwa unaongea point unaongea vumbi tu
 
Kuna kata 17 Arumeru hakuna kata inaitwa KATA YA TINDIGANI. MIMI SIJASEMA NAMCHUKIA NIMESEMA NAMDHARAU. MIAKA 69 ANA MCHUMBA NA AMEZAA NAE HALAFU ANASEMA MWIGULU MZINZI. YULE ALIYEZAA NAYE AMFUNGA NAE NDOA? AFANYAE MAPENZI NA MWANAMKE AMBAYE HAJAFUNGA NAE NDOA ANAFANYA UZINZI.

Slaa anazini kwa mujibu wa sheria za nchi..

Anatakiwa adharauliwe na kupuuzwa...sijui utaiga nini kutoka kwake..lol..

Kanisani (muasi), uraiani (wake za watu), chamani ubabe na ubinafsi..
 
Mzee! Pole pole.This is too high to deliver.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom