MALI YA BABA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 459
- 119
Kama kweli Mkoba kasaini itakuwa bonge ya komed,na itabidi apigwe mawe kwa usaliti wake
Kama kweli Mkoba kasaini itakuwa bonge ya komed,na itabidi apigwe mawe kwa usaliti wake
Gazeti gani maana tuwe specific.
Gazeti la habari leo-la serikali Dhaifu....!
Mi naamini wamezingua tu hili gazeti,naamini kwenye hiyo shule hayupo pekee,naomba anaefanya kazi na MKOBA shule moja atuambie kuwa jamaa alifika...Gazeti la uhuru na habari leo waache usanii..Waalimu waendelee kukaza tu.
"Vox populi,Vox dei"
Jamaa msanii sana.
mgomo wa kisanii, ijumaa shule zinafungwa. !!!!!
kibaraka wa ccm huyu.
Anauza haki za walimu na kuweka ajira zao rehani
Gazeti gani maana tuwe specific.