MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

Status
Not open for further replies.
hawezi kufanya hivyo

hii ni mbinu ya zamani sana yenye lengo la kuwatia hofu walimu kwamba eti kiongozi wao kasaini kuingia kwa job

hakuna kitu walimu kazeni buti......hii nchi ni yetu sote na lazima ni ni haki yetu sote kufaidi keki ya taifa kwa usawa

aluta continua walimu
 
Kumbe habari leo....hili ni gazeti ambalo huwa sithubutu hata kuangalia heading zake
 
Katibu wa CWT ni kada wa ccm na hayupo kazini kwani ameteuliwa kwenye tume ya katiba kwenda kulinda maslahi ya magamba kule!! Angekuwepo angevuruga mgomo huu kama kawaida yake huko nyuma.
 
Gazeti la habari leo-la serikali Dhaifu....!
Mi naamini wamezingua tu hili gazeti,naamini kwenye hiyo shule hayupo pekee,naomba anaefanya kazi na MKOBA shule moja atuambie kuwa jamaa alifika...Gazeti la uhuru na habari leo waache usanii..Waalimu waendelee kukaza tu.
"Vox populi,Vox dei"

Habarileo na Uhuru ni kama toilet paper.
 
Jamaa msanii sana.

kwangu mimi serikali ndio ya kisanii kwa nini waende mahakamani wakati wao ndio waajiri wameshindwa kutoa maamuzi ...nimemsikiliza ghsia ,mulugo na waziri mwenye dhamana wote wanaongea tofauti

 
kibaraka wa ccm huyu.
Anauza haki za walimu na kuweka ajira zao rehani

bujibuji hata wewe? Mkoba na rais wa walimu, hawajibiki kwa serikali, anawajibika kwa walimu. Sasa hicho kitabu cha mahudhirio alichosaini ni cha cwt au cha serikali? Kama cha serikali, anafundishia shule gani?

Hata wewe bujibuji?
 
Walimu na police ambao ndio wafanyakazi duni hapa tanzania, tayari jana wamepata salio lao. Kilichoongezeka kwenye mshara ni 38,000/- kwa walimu wa cert. Na polisi. Kinacho niacha hoi, polisi anayepata sawa na mwalimu anampiga mkwara daktari na mwalimu wake. Huwa sina mbavu kabisa
 
mbona bro uli yupo private na anaongoza madakitari? si lazima awe mwl wa serikali
 
Ni kichekesho police kuwazarau walimu,mwl ni proffessional police ni uwezo wa kuhimili mazoezi ccp tu hakuna taaluma kule,ndio maana hata la saba wanaenda jeshi,bt si ualimu.mwl akifukuzwa anaweza kwenda private but police ataenda kuwa mgambo kwenye makampuni ya ulinzi.
 
wewe leta propaganda zako walimu tumetulia kwa nyumba, tunachat ma facebk, tunapitia majukwaa mbalimbali kama hili hatuna habarii waambie hao wanaopitisha form za kusain wazilete mahome kwetu......nabado tunawauliza madent Jk si aliahid kuwajengea maabara za kisasa shule za kata sa zimejengwa? unazan wanajbu nini?...........kaseme kwa baba
 
aliyeandika hii post anamaanisha nini maana MKOBA hafundishi au alikuwa na agenda ya siri. watu kama hawa sio wa kuwavumilia maana ni mawakala wa watu husika.ni vema kuweka taarifa zilizo sahihi hususan katika mambo muhimu kama hili la mgomo wa walimu. MGOMO WA WALIMU ARUTA KUNTINYUWAAAA.


MARA KIMENUKA SANA TU KAKAKAA.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom