MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

Status
Not open for further replies.
Wanaofundisha na MKOBA kama ni kweli kasaini aweke jamvini. Tunahitaji ukweli wa jambo hili
 
We lazima umetumwa na magamba au ww mwenyewe ni gamba. Maana mapovu yanakutoka kwa taarifa za tetesi! Kwa taarifa yako ìzo ni propaganda za magamba kuharibu mshìkamano wa walimu na viongozi wao ili kuathìri mgomo kwa faida yao. Soma kila habari hapa kwa jicho la tatu bwana. Vipi wewe?

Ulimbukeni mwingine wala hauna maana....next time kama hujui unachokiandika ni heri ukaa kimya kuliko kubwabwajabwaja!!
 
Siyo ya kweli. Mkoba hafundishi, ni mwajiriwa wa TTU, labda kama amesaini kuingia ofsini kwake. Hizi propaganda zitaisha lini? Walimu shirikianeni kutatua matatizo yetu badala ya kugawanyika.

Na ndio maana hata mwisho wa post yangu nikatilia shaka habari yenyewe!
 
ingawa kusaini na kufundisha ni vitu tofauti hakutakiwa kusaini maana aliwaambia walimu wasiende kazini au yeye kasainia home?
 
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.

Source: Magazeti asubuhi hii

Huu ni usaliti usio na kipimo,huyu mtu ni mnafiki na hatari sana kwa walimu wenzake.Walimu chukueni tahadhari na huyu mtu.
 
Hilo gazeti la ccm linajipendekeza lisifungiwe nalo! Siendi kazini mpaka warekebishe! Jk alisema mtu yeyote ni mwl! Mwambieni awalete hao wowote waje kufundisha!
 
mmetumwa na ccm kudanganya umma poleni kila mtu anaelewa haki yake siku hizi na kila mtanzania anajua ccm walivyo waongo wazushi na wala rushwa wakubwa hapa mmekosea hamumpati mtuQUOTE=Ritz;4345323]Jamaa msanii sana.[/QUOTE]
 
Kamanda ulieanzisha mada kuwa makini kama ccm wanakutuma waambie mwaka huu wakalete walim india hatusikii wala hatuelewi. Mkoba hajasaini popote nimetoka kuongea nae mda si mrefu na amedai msisikie wasemayo hao maboya
 
Kamanda ulieanzisha mada kuwa makini kama ccm wanakutuma waambie mwaka huu wakalete walim india hatusikii wala hatuelewi. Mkoba hajasaini popote nimetoka kuongea nae mda si mrefu na amedai msisikie wasemayo hao maboya
mkoba anatumiwa na ccm,na yeye anawatumia walimu !
 
Kiongozi wa chama cha walimu (CWT) ametajwa kuweka sahihi yake katika kitabu cha mahudhurio ili kuepuka adhabu. Huu ndio usanii wa walimu na mgomo wao feki.

Source: Magazeti asubuhi hii

Could be one of their strategies to avoid Mabwepande which could chop off CWT head!!
 
Hilo gazeti la ccm linajipendekeza lisifungiwe nalo! Siendi kazini mpaka warekebishe! Jk alisema mtu yeyote ni mwl! Mwambieni awalete hao wowote waje kufundisha!

Kwa madaktari nilisikia Iran ilijitolea sasa kwa waalimu vipi? Au mpango umekufa baada ya tankers kubainika kukwepa kibano cha Iran!!!
 
mgomo wa waalimu umepangwa ili kutuondoa katika matukio ya msingi yaliyotikisa nchi ambayo ni pamoja na...
mgogoro wa madaktari na serikali
kutekwa na kuteswa kwa Dr ulimboka
wahusika waliotajwa kuhusika na unyama aliofanyiwa Dr ulimboka
kuzama kwa meli ya segull
sera mpya ya mafao haswa kwa NSSF
toka lini walimu na serikali ya ccm wameanza kuhasimiana?
aliyekuambia miaka hii niile ya zamani nani? walimu wa ccm wote wameishakufa na kustaafu,
 
kama amesaini kitabu cha kuhuzulia cha CWT ni sahihi kwasababu chama hicho hakijagoma na kipokazini kama kawaida kusimamia walimu wagome vizuri kabisa na LIWALO LIWE.
 
nasikia amekanusha na kutishia kulipeleka gazeti la habari leo mahakamani.
Nasubiri hiyo kesi kwa hamu otherwise nitaendelea kumchukulia kuwa ni mnafiki anayetumiwa na serikali.
 
Hizo ni chachu za mafalisayo tu na mkwala wa mende.ilikuwagawa walimu wenye msimamo kuntu.walimu tuna paaaaa:flypig:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom