Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
unaparta div. 1 kwa alama
za dini? halafu unategemewa uje uwe mtaalam kwenye jamii? Mi nadhani
tujipongeze kwa kupata alama nzuri kwenye masomo yenye msaada kwa jamii
siyo haya ambayo hata kama utapata A, havina uhusiano wa kufika kwa
MUNGU.
Cha ajabu zaidi ni kwamba, islamic knowledge linafundishwa ktk shule ngapi nchi hii? Na ni kweli kwamba wanafunzi wote waisilam walifanya mtihani huu nchini!?
Hawa jamaa wangechomewa misikiti je kamayalivyochomwa makanisa?