And none of these subjects count in admissions to higher education! What is the worry now?
But my Islams friends, when you discriminate yourself the society will do just that to you! When you brandish yourself in a unique attire amidst several other beliefs but pursuing same mission like university education, you only telling the others that you are different and you need to be treated differently! The reason tribalism disappeared in Tanzania was mainly due to the fact we ignored its existence and insisted on Swahili as common language- but the tribes did not die, they are there and custoums are flourishing! I do not see reasons for showing off as means of upholding ones beliefs in the Almighty God!
Kaka hujaelewa mchezo ulivyoenda.
Masheikh walisahihisha wakaenda zao,
Kazi ya ku- compile ni ya NECTA, na hapo ndipo mchezo ulipochezeka!!
Wewe na wale waliochangia kwa aina yako hawaelewi kitu.
Islamic Knowledge inasaidia kama mtu anataka kusomea "Sharia" - kaulize.
Pengine ni mkakati wa kupunguza wajuvi wa Sharia ili vitu kama mahakama ya Kadhi viendelee kua ndoto.
Ila tu kwa msioamini hii issue mtakuja kuamini tu. Chanzo changu cha habari kinasema huenda matokeo yaliyochakachuliwa yakakarekebishwa kwenye internet. Yaani kukawa na matokeo tofauti kati ya Vitabuni na Internet.
Msioamini nawaambia kua LAKUM DIN KUM WALIYA DIN
Kama hakuna ushaidi ningependekeza Mods wampatie huyu muanzisha hii thread BAN iliyoenda shule
Habari ambazo nimezipata kutoka katika Chanzo nachokiamini ambacho kina uhusiano na Baraza la Mitihani (NECTA) ni kua ulikuwepo mkakati wa kuwafelisha wanafunzi wa Form six waliofanya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE ambao matokeo yao yametoka hivi karibuni lakin mkakati huo UMEKWAMA.
Kukwama huko kwa mkakati huo kunakuja huku matokeo yakiwa yashatoka, na kuna habari kua kwa mara ya kwanza katika historia ya Board, wanafunzi hao wa kiislam watapewa upya matokeo yao badala ya yale ya awali ambayo iligunduliwa "yamechakachuliwa"
Uchakachuaji huo umekuja kwenye somo la "Islamic Knowledge" ambalo kawaida hua Lina "paper" 2.
Kuna tetesi kua Katika usahihishaji wa somo hilo, uchakachuzi umefanyika kwa kujumlisha paper zote mbili lakin "wastani" ukapatikana kwa kuchukua jumla ya alama na "kugawa kwa 3" jambo ambalo limepelekea wastani uwe mdogo kuliko uhalisia.
Hii imekuja baada ya kutopatikana angalau A moja tu.
Simply ukipata 80 na 82 wastani utakuja 81 tu.
But kama jumla (162) inagawanywa kwa 3 badala ya 2 ni wazi kua wastani utashuka kua 54 badala ya 81 (27 less).
Mnaweza msiamini but ndo ukweli wenyewe huu!!
Swali la kizushi. Islamic knowledge inasahishwa na mapadre na wachungaji?
Wao wamezoea kuchanganya haki na batili ! Ndo maana wako bize kuziharibu ishara ! Wana uwezo mpaka wa kufuta 'maneno' ya Mwenyezi Mungu wakaweka yakwao !.Binadamu tunapenda kuchukia kitu tusichokijua,lakini kwa hakika, haki,haitangamani na batili! Mungu anajua..