Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Wagalati hawajui kuwa "Madrasa" ni Shule, pia hawajui kuwa "Alif" ni A, "Bee" ni B, "Lam" ni L ! Wapo wapo tu, kazi yao mapokeo tu !Kwa taarifa yako Wapemba wanazaana wengi na wanasomesha sana kama hilo haulijui nenda UD utaona,pia Waislam kusoma ni jambo la lazima kwetu kama tulivyoamuliwa na Mwenyezi Mungu hivyo wewe ukisema Waislam hawasomi sijui unatoa wapi hizo taarifa zako tunakushangaa! Jambo lolote kwetu sie Waislam ukiambiwa ni FARDH ni kuwa hauna wajibu wa kuliacha na ukiliacha basi unapata dhambi ndivyo lilivyo suala la Elimu kwetu ila nyie msio Waislam mnatutangazia kuwa sie ni VILAZA hatuna elimu nawaomba muelewe kuwa hizo falsafa zenu haziko sahihi!