koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,484
- 4,393
Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE,hiki chuo kipo katika hospital ya rufa ya mkoa wa tabora almaarufu kama kitete hospital wanatoa course moja (dipromal in clinical medicine ).Mwanafunzi huyo alinipigia cm huku akinieleza kwa majonzi makubwa juu ya changamoto iliyo mkumba hapo chuo changamoto yake iko hivi,
Anaanza kwa kueleza Mim ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 niko muhula wa kwanza tulianza kwakufanya Continuous assessment za muhula huo wa kwanza ikiwemo (CAT1) na assignment za masomo yote 5 shida ilianza tulivo maliza kufanya Continuous assessment2(CAT2) shida ilijitokeza baada ya matokeo kutoka kwani ili uwe eligible kufanya mtihan wa mwisho ya end of semister inatakiwa hizo components zako uwe above 50 yan kuanzia assignment mpaka mitihan ila pia usipo kua above basi course work isome kuanzia 20. Ispokua kwa upande wa somo moja lijulikanalo kama Surgical specialties hili somo lina part inayo jitegemea ijulikanayo kama OSCE(Objective Structured Clinical Examination)hii ukipata chini ya 50 inakubd urudia muhulu somo zima,hivo basi baada ya kurudishiwa majib ya mitihan yote kunabadhi ya wanafunzi 5 hilo somo hawakuweza kufaulu ikaamuliwa warud nyumbani na kurejea tena mwaka huu mwezi wa 9 chuo kwa ajili ya kusoma upya hilo somo moja ,kama mjuavyo sikuzi mitihan ya ndani ya end of semister kwangazi ya dipromal hasa upande wa afya hua kunautaratibu wa mwangalizi kutoka nacte kuja kasimamia zoezi zima la miyihan(chief External ) anakua mmoja na jukum lake ni kukagua kama chuo kimefata utaratibu wote wa nacte lakin pia kama wanafunzi wako eligible kufanya mtihan wa mwisho naabada ya hapo hua wanatoa mkeka unao onesha kua wanafunzi hawa wanaweza kufanya mtihan wa mwisho. Baada ya kutoa huo mkeka ambao external ali uthibitisha ikaonekana wanafuzni wa 5 wa mwaka wa 3 hawawez fanya mthini wa mwisho kwakua wameshindwa kufikisha marks 50 kwenye mtihan wao surgical specialities upande wa OCSE na wanafunzi walio baki 85 wakawa eligible kufanya mtihan wa mwisho na kweli wakafanya mtihan bila changamoto yoyoye sasa basi hawa wanafunzi wa 5 mmoja wao alienda takukuru kushataki kua wanafunzi wamejiongeza marks kwenyo soma hilo la OSCE na wakati walivo kuja kugawa mwalim alifanya correction kwa wanafunzi wote ila bahati mbaya yeye hakuweza kufikisha marks50 na kitu kilicho pelekea yeye kuanza kulala mika kua amebaniwa kupewa marks hakubal kuondoka pekeyake chuoni lazima aondoke na watu hivo akapeleka case takukuru akilalamika kua wanafunzi wamejiongezea marks na akaorodhesha majina ya wanafunzi anao dai wamejiongeza marks na mimi nikiwa miongoni mwao walio tajwa, huyo mwanafunzi akawasilisha barua yake takukuru .Na takukuru wakaibeba case bila hata kufatilia kujua huyo mwanafunzi alie andika hayo malala miko ni mtu wa aina ipi? hua ni mtu wa kulalamika kwa kila kitu,na mambo mengine sita yataja ivo basi takukulu wakapeleka hayo malalamiko chuoni na chuo wakawaita wanafunzi walio tajwa ila wanafunzi walio fika ni 3 wengine wa3 hawakuweza kufika kwa sababu mitihn ilikua imeisha na watu walikua makwao ila hao walioenda waliku bado wako mazingira ya chuo walivo fika wakapewa vitisho na kuelezwa kuhusu hiyo case ila walikataa kuhusika kufanya hicho kitu wakakaguliwa mitihan yao bila kuwepo huyo muwakilishi wa takukuru na wakalazimisha kukatwa marks mimi nilikua kwenye kundi ambalo hawakuitikia huo wito sababu nilikua likizo tiyari nikawa niko nje ya mkoa wa tabora na mthian wangu umekaguliwa bila mimi kuwepo na wamekata marks ,sasa basi matokeo yametoka jana na nimeandikiwa Field CA REPERT MODULES na mkumbuke kua msimazim kutoka nacte alithibitisha kua niko eligible kufanya mtihan na nimefanya mtihan vizuri ila walim wameshusha marks yangu kutokana na hayo malalamiko ya huyo mwanafunzi kwenda takukulu.
1:Je takukulu inahusika na maswala ya kitaluma kulingana na hayo maelezo? Na kama hapo haiingii nifanye nini basi
1:Je nifanye nini basi niweze kushinda hii changamoto yangu ?nifate utaratibu upi ili niweze kushinda hii case?
2:Na je chief external akishakagua mitihani na kuipitisha na watu wakafanye end mwalim wa ndan ya chuo anaruhusiwa kwenda kufanya mabadiliko kwenye matokea ya nyuma ya mwanafunzi ?
4:mwalim amekuja kufanya mashahihisho mwenyewe afu case anapewa mwanafunzi
Msaada wenu wakuu ni muhim ili tuweze kumsaidia huyu kijana naomba maoni na ushauri wenu wakuu🙏
Nb:
Hiki chuo kinatoa kozi ya clinical medicine pekeyake ila naambiwa kua Accademic ni mfamasi yani(Bpharm ) nadhan watu wa afya mnaelewa kua siku zote clinical medicine hua wanasimamiwa na MD lakin kwatu wanao soma pharmacy hua wanasimamiwa na watu wenye bachelor's ya Pharmacy ila hapo tabora nitofauti that y matatizo kama haya yanaibuka mala kwa mala hapo chuoni