Josephat Sanga
Senior Member
- Aug 29, 2016
- 151
- 97
Huu ni moja ya mpango kazi wa mradi wa Tushirikishane uliopo katika jimbo la nzega mjini.
Tarifa za maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya Daktari zipo kiongozi endelea kufuatulia mijadala yetu utaziona asante kwa kuwa pamoja basi katika mjadala huu wa Tushirikishane katika jimbo la nzega mjiniTunaona maendeleo ya maji, shule, na stand vipi kuhusu nyumba ya Daktari mbona tarifa za maendeleo hatuzioni
Suala usemalo kuhusu maji ni kweli kiongozi Kuna baadhi ya maeneo upatikanaji wa Maji bado ni tatizoMaendeleo ni mazuri tunashukuru leo kupata majibu kwanini zabuni ilitanganzwa Mala ya pili, kitu kingine suala la maji tatizo nini maana mashine zipo tunaona machujio tunayaona kama tatizo ni miundombinu ya mitaani kwetu uku ibalisheni basi maana mabadiliko kwenye vyanzo vya maji tunayaona tuwape hongera kwa hilo lakini mtaani uku maji baadhi ya maeneo maji bado tatizo
Tunashukuru kwa mawazo yako kiongozi tutalifanyia kazi suala hiliHabari ya asubuhi, niwape pongezi sana kwa maendeleo ya kazi hizi. Pili huko nyuma nilizungumzia suala la kupanda miti hasa na sasa tunaona maji yameanza kupatikana. Je kuna plan yeyote ya kupanda miti hapo stendi mpya au katika shule na zahanati zinazoboreshwa. Hiyo stendi inaonekana kama jangwani kabisa na jua linachoma sawa sawa vipi idara ya misitu na mji wanajishughulisha kufanya mji uonekane green. Nafikiri kipindi hiki cha mvua ni kipindi kizuri cha kupanda miti na gharama ya mche mmoja wa mti haizidi shs 2000/=. Dar inabadilika kwa sababu wanapanda miti huko msiwe watazamaji tu, jaribuni kuiga mambo mazuri pia.