Josephat Sanga
Senior Member
- Aug 29, 2016
- 151
- 97
du mdau hii kitu siyo Hussen Bashe njoo usome hii kitu ukuElimu pia ni jambo mtambuka katika jimbo la nzega mjini, nimepata habari ambayo kidogo nimeona kwa mtazamo wangu haki haikutamalaki hata kidogo.
Nazungumzia wadau wa maendeleo hususan watumishi wa kata ya ITILO njia ya kuelekea Tabora mjini takriban km 3-5 hivi ambao huishi mjini na vituo vyao vya kazi vikiwa nzega mjini na wengi wao ni walimu.
Nazungumzia taarifa nilizopata pasi na shaka juu ya kota ya nyumba za WACHINA. Haiingii akilini kusikia/kuona kuna watumishi wa kata zingine wamepewa kipaumbele kuingia kwenye nyumba za kwa wachina wakati watumishi wa kata husika wameachwa watumishi wanaofanya kazi halmashauri na kwingine ndio wamejaa mule ndani.
Ingependeza kama wale walimu wa kata ile wangepewa wasogee karibu na kituo chao cha kazi na ikizingatiwa kota zipo kwenye kata yao. Penye ukweli uongelewe.
Kuna walimu wa Ijanija wanaishi mule na mmoja 'inasemekana' alikua anaishi pale shuleni kabisa lakini amepata nafasi kwa wachina na wa ITILO wanaishi mjini.
Mekanizim iliyotumika kugawa nyumba iligubikwa na rushwa na kujuana kwingi na viongozi wamebariki. Nasema hivyo kwasababu hakuna kigezo chochote kilichotumika na kibaya zaidi ilifanyika kwa siri na ilikua kipindi cha likizo kwa mujibu wa watoa taarifa.
Maajabu makubwa zaidi ni kusikia kuna waratibu na mameki wenzangu wanaishi kwa wachina. Kimsingi hawa ni watumishi ambao kwanza wamepewa usafiri na serikali, wana posho ya laki 250,000/= {laki mbili na nusu} na zingine za vikao wanavyokaa. Inawezekanaje wanakabe nafasi ambazo kama haki ingetendeka walimu ambao hawana motisha yoyote wa kata husika ndio walipaswa kusogezwa karibu na kituo cha kazi?
Nashauri hili litazamwe upya jamani na wahusika kama ni diwani kata ile na mtendaji wake wakae waone cha kufanya haijakaa sawa na inawapunguzia dhana ya uwajibikaji lakini pia viongozi wengine walitazame hili suala.
Mkurugenzi naamini limepitia ofisini kwake lakini hajafuatilia kwa kina kinachoendelea pale. Ukiritimba ni mkubwa sana.
Mwisho, walioko pale hawana huduma ya umeme na maji, wakipata ushauri na sapoti ya kufunga luku pale itapendeza kwani umeme upo lakini wachina wamediskonekti nyumba walizoingia. La maji nalo ni kubwa kidogo kwani ni la Nzega yote ispokua kwa pale kisima kitatatua changamoto hiyo.
Nimalize kwa kusisitiza watu wenye posho na usafiri wa serikali jamani wawaonee huruma wenzao tusiwe wabinafsi kiasi hicho. Tuwaachie watumishi kwanza wa kata husika wakae karibu na vituo vya kazi.
#naomba_kuwaslisha.
Wivu tu hakuna kingineElimu pia ni jambo mtambuka katika jimbo la nzega mjini, nimepata habari ambayo kidogo nimeona kwa mtazamo wangu haki haikutamalaki hata kidogo.