Jino linanisumbua sana kwa sasa yaan kama mnavyojua maumiv ya jino usiku hakuna usingizi wala nn utafikiri godoro lina maji
Daah nlikua nahitaji kujua dawa ya jino tofaut na kulin'goa
Naomba nitafute kwa namba hii kama upo serious 0762843274NmetumiA huo unga wa tangawiz na chumvi jino ndo lmezid kuuma mziz mkavu maana jino langu limetoboka
DAWA YAKUTIBU MENO NA FIZI
1) Tangawizi ya unga unachanganya pamoja na chumvi kisha unapiga mswaki. Hii inaondosha maumivu ya kuumwa na meno na kuvimba na ufizi na pia kutoa meno harufu mbovu.
2) Maji ya moto na chumvi uwe unasukutuwa kwa mara 3 au 4 kwa siku. Hii inaondosha kuvimba na ufizi na maumivu makali ya meno.
3) Kutafuna karafuu pia inasaidia kuondosha maumivu na uvimbe na harufu.
Tumia mojawapo kati ya hizo Dawa hapo juu ukisha pona uje utupe feedback.
ukiwa na matatizo yako ya kibinafsi wasiliana na mimi kwa njia ya baruwa ya pepe email Address yangu hii
hapa fewgoodman@hotmail.com
weka unga wa karafuu kwenye sehemu iliyotoboka litatulia.NmetumiA huo unga wa tangawiz na chumvi jino ndo lmezid kuuma mziz mkavu maana jino langu limetoboka
Jino linanisumbua sana kwa sasa yaan kama mnavyojua maumiv ya jino usiku hakuna usingizi wala nn utafikiri godoro lina maji
Daah nlikua nahitaji kujua dawa ya jino tofaut na kulin'goa
weka unga wa karafuu kwenye sehemu iliyotoboka litatulia.