Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
23,950
131,282
Assalaam

Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino,

Jino ni la juu,linaumaga natumia dawa linatulia lakini leo hapana,limesimamia ukucha

Jino limeanza kuuma tokea saa nne usiku hadi mida hii halitulii,

Nimetumia chumvi kusukutua ni kama nimechochea maumivu,

Dawa nilizotumia ampiclox pmj na paracetamol,vigo doctor,

Nilishauriwa pia niwe natumia dawa ya meno ya colgate max,

Hapa linauma nahisi joto nahisi baridi,sijielewi naona hapakuchi.
 
Pakikucha, nenda hospital waliangalie lipo hatua ipi. Kisha dokta atakushauri. All in all, usiling'oe, mwambie akufanyie root canal then utaendelea kulitumia bila shida yoyote.

Pia pole kwa hayo maumivu, natumai uliweza kupata usingizi.
 
Back
Top Bottom