the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,101
- 350
Habari zenu wana JF,
Mimi ninasumbuliwa na maumivu ya jino kwa muda mrefu sasa,nimevulia kwa muda mrefu tatizo hili japo wengi wananishauri niende kwa doctor nikang'oe jino!!Je kuna dawa yeyote ya kutibu jino bila kung'oa? Saidia mimi,nateseka sana hasa wakati huu wa baridi!
Mbarikiwe sana!
Nawasilisha!
Pole mkuu,nimesumbuka sana na matatizo ya meno kwa muda mrefu.kuna dawa imewahi kunisaidia sana meno yakaacha kuuma ila matundu yamebaki, maana yalitoboka. dawa ipo dukani inaitwa TOUCH AND GO, it's a toothache solution. Ukikosa huko uliko nishitue.