Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

Man Ngosha,

Watafute forever products, wana dawa ya kusukutulia meno inauzwa 13,000/- ukitumia hiyo, jina lako itakuwa historia. Kwani uko wapi tukuunganishe na hao jamaa?

Kama uko mwanza, duka lao ni moja tu, lipo PPF gorofa ya tano karibu na mzunguko wa samaki.
Nimetumia dawa ya meno ya Aloe maumivu yakaondoka kwa muda. Vipi mkuu unanishauri niendelee kutumia au?
 
Mimi meno huwa yananiuma Sana yani sio moja Wala mawili nikisema nikang'oe basi nitabaki nitabaki kibogoyo

Sasa nilishauriwa nikiswaki niwe natumia dawa ya new Angola au Colgate
Ndio nazotumia mpka leo na meno yameacha kuniuma
 
Back
Top Bottom