Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
Miaka hiyo ilikuwa DTC...hivi hii DIT imeanza mwaka gani?.
Ni vema kujadili jambo kwa mtazamo uliodhahiri na sio kutumia hisia na jazba za ushabiki.
Manyanya ameikosea jamii kwa kutoa kauli za hovyo ndani ya Bunge na mbele ya wananchi wa Tanzania kwa kumuhukumu Dr. Ulimboka kuwa ni Hitler wakati hakuliangalia hilo jambo kwa urefu na mapana yake. Kwa tukio hilo Manyanya amefanya kosa la kuhukumu wenzie kwa masilahi yake binafsi na chama chake cha Nyinyiem!
Tukija kwenye suala la CV yake, hilo nitalieleza ifuatavyo:
Katika mfumo wetu wa elimu tunaweza kupata wahandisi kwa njia mbili, moja ni kupitia Form4, Form6, BSc. Engg. Na njia ya pili ni Form4, FTC, Adv.Diploma.
Wote waliomaliza kozi zao ktk mfumo huo wanaitwa wahandisi kwa mujibu wa sheria ya ERB ya 1997 na mabadiliko madogo yaliyofanyika mwaka 2007. Ndani ya hiyo kuna madaraja ya wahandisi ikianza na wahandisi wahitimu mpaka wahandisi washauri. Kwa ujumla wake wote ni wahandisi.
engineer lazima uwe registered na ERB vp,Manyanya kasajiliwa mpaka anajiita Engineer?
The Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) is located in the Dar es Salaam city centre, at the junction of Morogoro Road and Bibi Titi Mohamed Street. Historically, DIT was established in 1997 by the Act of Parliament, "the DIT Act No.6 of 1997" to replace the Dar es Salaam Technical College, which had a long history of technical training in Tanzania.
The position of DTC in the provision of higher technical education was consolidated in 1991 when the corresponding Advanced Diploma in Engineering (ADE) programmes replaced the Diploma in Engineering (DE) courses
Huyu Mama anasema amesoma DIT ADE mwaka 1987-1992 (Yaani Miaka 7). Lakini ukiingia kwenye website ya DIT Dar es Salaam Institute of Technology inasema hivi
Halafu hapa chini panasema hivi
Dah Fundi Stella Manyanya kwa nini wajiita Mhandisi?
Hii CV ya uongo. Miaka hiyo hapa Tanzania kulikuwa hakuna chuo kinaitwa DIT, kama huyo mwenye CV anaona mi nasema uongo atuwekee cheti chake cha FTC na ADVANCED DIPLOMA chenye kuonyesha DIT. Inamaana iyo Advanced Diploma alisomea kwa miaka 6? Labda kila mwaka alikuwa anarudia mwaka! Ndio CV ya Mh. Technician Eng. Manyanya
Tofautisha kada za uhandisi ndipo ueleweke.............Huyo atakuwa Graduate Technician Engineer
GENERAL | ||
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Stella | |
Middle Name: | Martin | |
Last Name: | Manyanya | |
Member Type: | Special Seat | |
Constituent: | No Constituency | |
Political Party: | CCM | |
Office Location: | P.O. Box 77605, Dar es Salaam | |
Office Phone: | +255 787 050050 | |
Ext.: | ||
Office Fax: | ||
Office E-mail: | smanyanya@parliament.go.tz | |
Member Status: | Current Member | |
Date of Birth | 4 August 1962 |
EDUCATION | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
Maguu Primary School, Mbinga | Primary Education | 1970 | 1975 | PRIMARY |
Songea Girls' Secondary School | Secondary Education | 1976 | 1979 | SECONDARY |
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) | Full Technician Course (FTC) | 1980 | 1983 | CERTIFICATE |
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) | Advance Diploma (Electrical Eng.) | 1987 | 1992 | ADV DIPLOMA |
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway | PGD (Electric Power Distribution System) | 1995 | 1996 | POSTGRADUATE |
University of Dar Es Salaam (UDSM) | Post Graduate | 2005 | To Date | POSTGRADUATE |
Nambingi Primary School, Mbinga | Primary Education | 1969 | 1970 | PRIMARY |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From Date | To Date |
The Parliament of Tanzania | Member - Special Seat | 2005 | 2015 |
TANESCO | Head of Department (Engineer - Regional Level) | 1993 | 2005 |
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO) | Electrical Technician | 1983 | 1987 |
POLITICAL EXPERIENCE | |||
Ministry/Political Party/Location | Position | From | To |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - National Operation Committee (Parents) | 2010 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - National Executive Committee (NEC) | 2007 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - UWT, Ruvuma | 2005 | |
Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - Economic Committee | 2003 | |
Chama Cha Mapinduzi (CCM) | Member | 1997 | To Date |
PUBLICATIONS | |
Description | Date |
S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam | 1996 |
S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam. | 2007 |
S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam. | 2009 |
S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea | 2009 |
S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea | 2009 |

Ni kweli, huyo ni Technician Engineer
Technician=Assistant Medical Officer sounds better!.Zipo grade mbili za usajili wa Engineers
1. Engineer grade; Must be a holder of degree certificate from recognized universtity. Engineer grade inayo viwango vitatu vya engineers.
-registered graduate Engineer
-Registered Engineer
-Registered consulting Engineeer
2. Technician Engineer grade; must be holder of higher national diploma or above. Technician Engineer grade inayo viwango viwili vya technician Engineers
-Registered graduate Technician Engineer.
-Registered Technician Engineer
Relation kati ya engineer na techncian?
Engineers mainly work at conceptual level,technician wapo closer zaidi to actual works. Mfano:
Engineer=Doctor.
Technician=Medical Assistant.