Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
234
Previously:
Huyo Mama kila wakati Jina lake lazima atangulize Engineer manyanya kwenye jina lake.

Je, amefanya project au uvumbuzi gani mkubwa zaidi ya kusoma kwenye makaratasi?

Namshauri ajiite mwanasiasa. Uhandisi wake ameufanyia kazi gani zaidi ya kukariri? Aibu tupu.

Sihoji kwanini/amewezaje kuwa Mbunge kwa kuwa elimu sio kigezo cha mtu kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa Mbunge. Maswali yangu ni haya hapa chini?

1. Engineers ambao ni members hapa JF nisaidieni, kwa utaratibu wa taaluma yenu ni mtu mwenye qualifications zipi anaitwa Engineer (Eng).

2. Kwa waliosoma/wanaosoma UDSM, hiyo postgraduate ambayo Mhe anasoma kwa miaka sita ni yakitu gani hapo Mlimani?

Mwishi nimependa publications za Engineer...LoL

Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourable
Member picture
First Name: Stella
Middle Name: Martin
Last Name:Manyanya
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 77605, Dar es Salaam
Office Phone: +255 787 050050
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: smanyanya@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 August 1962

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Maguu Primary School, Mbinga
Primary Education
1970
1975
PRIMARY
Songea Girls' Secondary School
Secondary Education
1976
1979
SECONDARY
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)
Full Technician Course (FTC)
1980
1983
CERTIFICATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)
Advance Diploma (Electrical Eng.)
1987
1992
ADV DIPLOMA
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway
PGD (Electric Power Distribution System)
1995
1996
POSTGRADUATE
University of Dar Es Salaam (UDSM)
Post Graduate
2005
To Date
POSTGRADUATE
Nambingi Primary School, Mbinga
Primary Education
1969
1970
PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat
2005
2015
TANESCOHead of Department (Engineer - Regional Level)
1993
2005
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO)Electrical Technician
1983
1987

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Operation Committee (Parents)
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee (NEC)
2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UWT, Ruvuma
2005
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Economic Committee
2003
Chama Cha Mapinduzi (CCM)Member
1997
To Date

PUBLICATIONS
Description
Date
S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam1996
S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.2007
S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.2009
S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea2009
S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea2009

Huyu, sio mhandisi, yeye in trainee! ila kajipachika na kujilazimisha kaka mwenyekiti wake anavyongangania kujiita Dkt kwa honorary!
 
Hata siasa yake ni ya kishamba sana,anapenda kulazimisha siasa na kusahau kuwa siasa ni sanaa...politics=creativity+convincing,kuongea aggressively does not imply making politics,i think she definitely qualifies for physic applications rather than artistic!
 
I know her very well; she is but none.
 
Wanaudhi sana hawa watu, Na huu mtindo wa kutanguliza fani mtu aliyosomea umeshamiri sana siku hizi. Utakuta Mhasibu flani, adv. flani, eng. so and so.....like we care to know what the fcuk you went to school for.

Hahahah!! Guys...!! Why so much hatred!! She is a registered engineer and has worked for over 15yrs in that capacity as a mains engineer @ TANESCO

Yeah nobody gives a flip wether we did study medicine or social sciences, but the Eng title is earned and not given in honoraria (sp) so let the lady be!

Ah! I forgot! Ni mimi 'Mhandisi' mwandamizi wa mifumo na njia kuu za umeme...mpo hapo?
 
kumbe na wewe ni muhandisi hewa, alipata advance diploma pale D.I.T,amefanya kazi for only four years pale (stamico) kisarawe mine na alikua mbovu sana ndio maana akakimbilia siasa pia ana post graduate ya makaratasi,umenisoma.
 
Tuache majungu,Taaluma yake inampa heshima kuwa eng.sio lazima ugundue vitu,unaweza kuwa eng.na usifanye taaluma yako,labda una matatizo binafsi na huyu mtu,ukweli stella ni engineer,labda utuambie sifa za eng.ni zipi then tuambie kwanini stella sio eng.Unless utakuwa upuuzi tu.
 
Nadhani umefilisika kifikra na kimtizamo, taaluma ya uhandisi haiwezi kuwa bila ku practice, huwezi kujiita mhandisi wakati unacheza ngoma,huo ni ufahamu potofu wa sisi waafrika.
 
What is Engineering?
Engineering is the practical application of science and math to solve problems, and it is everywhere in the world around you. From the start to the end of each day, engineering technologies improve the ways that we communicate, work, travel, stay healthy, and entertain ourselves.
Engineers are problem-solvers who want to make things work more efficiently and quickly and less expensively. From computer chips and satellites to medical devices and renewable energy technologies, engineering makes our modern life possible. In particular, electrical engineers and computer engineers have a wide range of study options and career paths that let them design, build, and manage those ideas into reality.
 
Lakini mbona zamani kwenye miaka ya 70, 80, na hadi 90 huu mtindo haukuwepo. Kwa nini sasa hivi umeshamiri?
 
what is engineering?
engineering is the practical application of science and math to solve problems, and it is everywhere in the world around you. From the start to the end of each day, engineering technologies improve the ways that we communicate, work, travel, stay healthy, and entertain ourselves.
engineers are problem-solvers who want to make things work more efficiently and quickly and less expensively. From computer chips and satellites to medical devices and renewable energy technologies, engineering makes our modern life possible. In particular, electrical engineers and computer engineers have a wide range of study options and career paths that let them design, build, and manage those ideas into reality.
all right.
 
Siasa za huku kwetu tumeguza ni elimu. Watu wanadhani mwansiasa mzuri ni yule mwenye elimu fulani ya juu ndio maana unaona wengi wanahangaika kujitambulisha kwa elimu zao.

Ni sababu hiyo hiyo ndio maana unaona hata wakishakuwa ma dk na maprof badala wafanye mambo ya maaana kwa taaluma zao wanakimbilia siasa.

kumbe na wewe ni muhandisi hewa, alipata advance diploma pale D.I.T,amefanya kazi for only four years pale (stamico) kisarawe mine na alikua mbovu sana ndio maana akakimbilia siasa pia ana post graduate ya makaratasi,umenisoma.

I have noted that, since you started this thread you think u are right, well you are not !

Eng Manyanya upgraded her credentials and gained that certification, she has been instrumental in capital engineering works e.g Survey electrification etc

She has worked in that capacity for over 10 years, I know her technical work and that's why am commenting in that line, her siasa career is not for me to discuss here

But the fact that u dispute this just bcoz u r inclined to ur own perveted(sp) ideas on who she really is I stand again to challenge you on it! She is an engineer and registered with ERB as 'proffesional'
Upo hapo ?

Sick scheming mind!

Mhandisi!!
 
Mhandisi Nsiande ahsante kwa ufafanuzi uioutoa japo kwa ufupi lakini wenye mantiki.

Kuna baadhi ya watanzania wamekuwa na kasumba ya kudharau taaluma za wenzao, na bahati mbaya sana unakuta mtu wala hana taarifa sahihi na kamilifu juu ya elimu ama taaluma ya mtu lakini anakurupuka tu na kuja kumshambulia pasipo na facts.

Stella Manyanya ni mhandisi aliyebobea kwenye taaluma yake, amefanya kazi kwa muda wa kutosha, zaidi ya miaka 10 kwenye fani sio haba.
Hebu tuachane na hizi chuki na husda za kirejareja, kama una personal comflict mtafute mmalizani sio kuja kujaribu kumchafua Eng. Manyanya.
 
Hizi personal jealousy sasa, nani kakwambia kujiita Engineer mpaka upractise au uvumbue? Kama ana degree ya Engineering mwacheni ajiite.
 
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY
 
Ahsante sana utingo kwa kutusaidia japo kwa ufupi wasifu wa Eng. Manyanya kielimu.

Sasa asije tena Ghani akabisha kwamba huu wasifu si wa Eng. Manyanya!!! kila kitu bongo ni uchakachuaji hadi elimu na taaluma za watu tunataka kuzichakachua!!
 
Ndio mana spika Sitta alimuweka kwenye kamati ya uchunguzi wa Richmond kwa sababu ya weledi wake katika masuala ya umeme..
 
Back
Top Bottom