Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Ni vema kujadili jambo kwa mtazamo uliodhahiri na sio kutumia hisia na jazba za ushabiki.

Manyanya ameikosea jamii kwa kutoa kauli za hovyo ndani ya Bunge na mbele ya wananchi wa Tanzania kwa kumuhukumu Dr. Ulimboka kuwa ni Hitler wakati hakuliangalia hilo jambo kwa urefu na mapana yake. Kwa tukio hilo Manyanya amefanya kosa la kuhukumu wenzie kwa masilahi yake binafsi na chama chake cha Nyinyiem!

Tukija kwenye suala la CV yake, hilo nitalieleza ifuatavyo:

Katika mfumo wetu wa elimu tunaweza kupata wahandisi kwa njia mbili, moja ni kupitia Form4, Form6, BSc. Engg. Na njia ya pili ni Form4, FTC, Adv.Diploma.

Wote waliomaliza kozi zao ktk mfumo huo wanaitwa wahandisi kwa mujibu wa sheria ya ERB ya 1997 na mabadiliko madogo yaliyofanyika mwaka 2007. Ndani ya hiyo kuna madaraja ya wahandisi ikianza na wahandisi wahitimu mpaka wahandisi washauri. Kwa ujumla wake wote ni wahandisi.
 
Tofautisha kada za uhandisi ndipo ueleweke.............Huyo atakuwa Graduate Technician Engineer
 
Hiyo ya vitu maalum tu.
Ndio maana bwabwabwa bila kufikili.

Naomba mungu siku wa fute kabisa hii ya ss, maana hawa wanaingia kwa ushabiki zaidi na si kuangalia mambo kwa pande zote.
Na ndio wanao mponza ras wetu kwa kufanya na kuzungumza vitu visivyo na mshiko.
 
Huyu Mama anasema amesoma DIT ADE mwaka 1987-1992 (Yaani Miaka 7). Lakini ukiingia kwenye website ya DIT Dar es Salaam Institute of Technology inasema hivi

The Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) is located in the Dar es Salaam city centre, at the junction of Morogoro Road and Bibi Titi Mohamed Street. Historically, DIT was established in 1997 by the Act of Parliament, "the DIT Act No.6 of 1997" to replace the Dar es Salaam Technical College, which had a long history of technical training in Tanzania.

Halafu hapa chini panasema hivi

The position of DTC in the provision of higher technical education was consolidated in 1991 when the corresponding Advanced Diploma in Engineering (ADE) programmes replaced the Diploma in Engineering (DE) courses

Dah Fundi Stella Manyanya kwa nini wajiita Mhandisi?
 
Huyu Mama anasema amesoma DIT ADE mwaka 1987-1992 (Yaani Miaka 7). Lakini ukiingia kwenye website ya DIT Dar es Salaam Institute of Technology inasema hivi

Halafu hapa chini panasema hivi

Dah Fundi Stella Manyanya kwa nini wajiita Mhandisi?

Huyu mama unafiki unamponza sana,alikuwa anawekwa kwenye kundi la wanawake mashujaa Tanzania ila tokea amezawadiwa Ukuu wa Mkoa na Jk amejisahau kabisa na kuanza kuvuruga.Ukiona mtu anajisifia kwa elimu aliyonayo hapo lazima kuwe kunakasoro.Huwa watu wa namna hii efficient ni kidogo sana, sasa wanajaribu kuwaaminisha watu kuwa wao wanauwezo mkubwa tofauti na uhalisia kwa kujitapa na vyeti vyao.
 
Sio Engineer huyo, msidhalilishe fani wakuu.

Hawa ndio ma-engineer mchundio tuwakutao makazini wakiwa wamejibandika u-engineer...no engineering degree, no engineering profession. Period!
 
Hii CV ya uongo. Miaka hiyo hapa Tanzania kulikuwa hakuna chuo kinaitwa DIT, kama huyo mwenye CV anaona mi nasema uongo atuwekee cheti chake cha FTC na ADVANCED DIPLOMA chenye kuonyesha DIT. Inamaana iyo Advanced Diploma alisomea kwa miaka 6? Labda kila mwaka alikuwa anarudia mwaka! Ndio CV ya Mh. Technician Eng. Manyanya

Tofautisha kada za uhandisi ndipo ueleweke.............Huyo atakuwa Graduate Technician Engineer

Ni kweli, huyo ni Technician Engineer
 
GENERAL
Salutation
Honourable

Member picture
First Name:
Stella
Middle Name:
Martin
Last Name:
Manyanya
Member Type:
Special Seat
Constituent:
No Constituency
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 77605, Dar es Salaam
Office Phone:
+255 787 050050
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
smanyanya@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 August 1962

EDUCATION

School Name/Location

Course/Degree/Award

Start Date

End Date

Level
Maguu Primary School, Mbinga

Primary Education

1970

1975

PRIMARY
Songea Girls' Secondary School

Secondary Education

1976

1979

SECONDARY
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)

Full Technician Course (FTC)

1980

1983

CERTIFICATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT)

Advance Diploma (Electrical Eng.)

1987

1992

ADV DIPLOMA
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway

PGD (Electric Power Distribution System)

1995

1996

POSTGRADUATE
University of Dar Es Salaam (UDSM)

Post Graduate

2005

To Date

POSTGRADUATE
Nambingi Primary School, Mbinga

Primary Education

1969

1970

PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY

Company Name

Position

From Date

To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Special Seat

2005

2015
TANESCO
Head of Department (Engineer - Regional Level)

1993

2005
Pugu Kaolin Mines Ltd Kisarawe (STAMICO)
Electrical Technician

1983

1987

POLITICAL EXPERIENCE

Ministry/Political Party/Location

Position

From

To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - National Operation Committee (Parents)

2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - National Executive Committee (NEC)

2007
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - UWT, Ruvuma

2005
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member - Economic Committee

2003
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Member

1997

To Date

PUBLICATIONS

Description

Date
S.M. Manyanya: Reinforcement of Distribution Network in Kariakoo area, Dar es Salaam
1996
S.M.Manyaya: Challenges Facing Enterpreneurs in Mbinga, Dar Es Salaam.
2007
S.M.Manyaya: The Effectiveness of Enterpreneurship Incubators in fostering income generating activities, Dar Es Salaam.
2009
S.M.Manyanya: Mimba za Utotoni ni kikwazo cha Maendeleo ya Wanawake, Mtanzania Gazeti 19, Songea
2009
S.M.Manyanya: Wajasiriamali wapewe elimu kujikomboa kiuchumi, (Majira), Songea

[/QUOTE]
 
Fundi mchundo per se. No wonder anaweza kuamka akaongea utumbo hadharani. akaunga mkono ukatili dhidi ya mtoto wa mwanamke mwezie! nadhani hajaolewa pia na kama kaolewa hana hata mtoto wa kusingiziwa. Rukwa kaeni chonjo Engineer huyoooooooooooooooooooooo!! JK kawapa jembe la kiwango!
 
Ni kweli, huyo ni Technician Engineer

Haswaaa; Stella Manyanya ni Graduate; Technician (Fundi mchundo): Engineer, Politician, soon to be Doctor! Indeed a jack of all trades BUT a master of NONE; CCM oyee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
One could tell from her Bungling and Rumbling and melancholy in parliament the other day! God save Our country.
 
You can only use title 'Engineer' upon being registered by the Engineers Registration Board after successfully meeting laid down procedures among them, your level of engineering qualifications, experience after graduation, passing board exams, report submitted showing experience and whether it merit being registered, etc,. Given the trend set by politician in acquiring academic titles like Doctor so and so without entering a class, I won't be surprised by the title she has been given!
 
Zipo grade mbili za usajili wa Engineers

1. Engineer grade; Must be a holder of degree certificate from recognized universtity. Engineer grade inayo viwango vitatu vya engineers.
-registered graduate Engineer
-Registered Engineer
-Registered consulting Engineeer

2. Technician Engineer grade; must be holder of higher national diploma or above. Technician Engineer grade inayo viwango viwili vya technician Engineers

-Registered graduate Technician Engineer.
-Registered Technician Engineer

Relation kati ya engineer na techncian?
Engineers mainly work at conceptual level,technician wapo closer zaidi to actual works. Mfano:

Engineer=Doctor.
Technician=Medical Assistant.
 
Technician=Assistant Medical Officer sounds better!.
 
tuacheni izo publications alizo fanya nizakihandisi kwli? mbona tunachekeshana wakati watu tunataka tuwe siriasi ili tukomboe nchi. anaujuzi gani wa ujasiriamali hadi kupublish paper ya ujasiriamali? au ametuandikia aliyokuwa akiandika kwenye magazeti sehemu ya barua za wasomaji? kama ni hivyo wakina kubenea na MMK wanaweza jaza server nzima ya jf kwa kulist mambo waliyoandika. sometimes jf inanifanya niwe na hasira!! ngoja niende kwenye jokes na MMU
 
Back
Top Bottom