Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

wabongo tunamatatizo sana, kwa kuwa wewe hujasoma au umesoma na hujui kuitetea fani yako hakumfanyi aliyesoma na anayejua kuifanya kazi yake awe unavyotaka wewe.....
haijalishi awe amefanya project moja au 100, ukiwa injinia ni injinia tu kama alivyo daktari au mwalimu...
 
kumbe na wewe ni muhandisi hewa, alipata advance diploma pale D.I.T,amefanya kazi for only four years pale (stamico) kisarawe mine na alikua mbovu sana ndio maana akakimbilia siasa pia ana post graduate ya makaratasi,umenisoma.

Uyo fundi mchundo sio kila aliesoma vitu vifafanavyo na uhandisi ni eng. wengine toka tumalize tupo kwenye field na licence za kupractice lakini atujiiti hivyo!

Na tupo professional registered!
 
Huyo Mama kila wakati Jina lake lazima atangulize Engineer manyanya kwenye jina lake,Je amefanya project au uvumbuzi gani mkubwa zaidi ya kusoma kwenye makaratasi, namshauri ajiite mwanasiasa, uhandisi wake ameufanyia kazi gani zaidi ya kukuriri, aibu tupu.
Ni wivu wa kike!
 
Mhandisi Nsiande ahsante kwa ufafanuzi uioutoa japo kwa ufupi lakini wenye mantiki.

Kuna baadhi ya watanzania wamekuwa na kasumba ya kudharau taaluma za wenzao, na bahati mbaya sana unakuta mtu wala hana taarifa sahihi na kamilifu juu ya elimu ama taaluma ya mtu lakini anakurupuka tu na kuja kumshambulia pasipo na facts.

Stella Manyanya ni mhandisi aliyebobea kwenye taaluma yake, amefanya kazi kwa muda wa kutosha, zaidi ya miaka 10 kwenye fani sio haba.
Hebu tuachane na hizi chuki na husda za kirejareja, kama una personal comflict mtafute mmalizani sio kuja kujaribu kumchafua Eng. Manyanya.

ameajiriwa kwa muda wa kutosha; any any engineering system design?:pound:
 
kumbe na wewe ni muhandisi hewa, alipata advance diploma pale D.I.T,amefanya kazi for only four years pale (stamico) kisarawe mine na alikua mbovu sana ndio maana akakimbilia siasa pia ana post graduate ya makaratasi,umenisoma.

wakati anaingia kwenye siasa katokea TANESCO Mikocheni kama Mains Engineer!
 
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY
Thanks Utingo,
so Manyanya bears one of those so called 'equivalents'!
No wonder why she exhibits all the elements of intellectual/conceptual emptiness.
My understanding engs. must undergo a four year (Tanzania) full time graduate training course. FTCs holders or finally being awarded a diploma (doesn't matter advanced one) one is simply a qualified 'fundi mchundo', period
 
Lakini mbona zamani kwenye miaka ya 70, 80, na hadi 90 huu mtindo haukuwepo. Kwa nini sasa hivi umeshamiri?
nadhan nchi yetu unaijua vema...mtindo huu umeshamiri kwa sababu na mainjinia wameshamiri...70s hatukuwa na mainjinia wengi..
 
Uyo fundi mchundo sio kila aliesoma vitu vifafanavyo na uhandisi ni eng. wengine toka tumalize tupo kwenye field na licence za kupractice lakini atujiiti hivyo!

Na tupo professional registered!
basi ndugu hujiamini, kama ni injinia unastahili kujiita hivyo na unapaswa uitwe hivyo na watu kila waitapo jina lako....injinia faita, dokta faita, prof faita nk...
 
Wahandisi wote wanatanguliza shule yao kwenye majina yao kwa hiyo sio huyo Mama tu, hatahivyo, kutanguliza kwake jina hakuna madhara kwa mtu yeyote. Sasa hebu onyesha wewe inakudhuru nini kama akkitwa au akijiita Engineer Stela Manyanya. Kama angekuwa anatumia hilo jina kufisadi, sawa ingekuwa vibaya. Lakini kama ni jina tu, mwache Mama wa watu achape kazi.
 
University of Dar Es Salaam (UDSM) Post Graduate 2005 To Date POSTGRADUATE
Trodheim Technical Collage (NTNU) Norway PGD (Electric Power Distribution System) 1995 1996 POSTGRADUATE
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Advance Diploma (Electrical Eng.) 1987 1992 ADV DIPLOMA
Dar Es Salaam Institute Technology (DIT) Full Technician Course (FTC) 1980 1983 CERTIFICATE
Songea Girls Secondary School Secondary Education 1976 1979 SECONDARY
Maguu Primary School Primary Education 1969 1975 PRIMARY

Ah, kumbe sasa unaweza kuongea. No research no right to speak.
 
I have noted that, since you started this thread you think u are right, well you are not !

Eng Manyanya upgraded her credentials and gained that certification, she has been instrumental in capital engineering works e.g Survey electrification etc

She has worked in that capacity for over 10 years, I know her technical work and that's why am commenting in that line, her siasa career is not for me to discuss here

But the fact that u dispute this just bcoz u r inclined to ur own perveted(sp) ideas on who she really is I stand again to challenge you on it! She is an engineer and registered with ERB as 'proffesional'
Upo hapo ?

Sick scheming mind!

Mhandisi!!

Babu nadhani umevamia mada bila kujua ni nini hasa kinachojadiliwa,hujasema lolote zaidi ya kujitangaza ni engineer, for my side wakati nachukua my first degree pale mlimani B.sc in electro-mechanical engineering vilaza wengi walikua na tabia ya kuji advertise kila mahali anataka aitwe mhandisi,mhandisi wa kweli lazima uwe umefanya vitu vinavyo onekana angalia europe tofauti na sisi watanzania tunafikiri ukisha graduate basi ni mhandisi.umenisoma, i think your thinking ability is very low.
 
Thanks Utingo,
so Manyanya bears one of those so called 'equivalents'!
No wonder why she exhibits all the elements of intellectual/conceptual emptiness.
My understanding engs. must undergo a four year (Tanzania) full time graduate training course. FTCs holders or finally being awarded a diploma (doesn't matter advanced one) one is simply a qualified 'fundi mchundo', period

Kama hiki ndicho kiwango chako cha uelewa wa mambo basi nchi hii imepata hasara kujitahidi kukupatia elimu lakini hukuweza kupambanua masuala!!Kama hujui kwamba ndani ya nchi hii ya Kambarage unaweza kupata degree ya uhandisi kwa muda wa chini ya miaka minne, rudi kwenye makabrasha, ama vipi kama mambo hayapandi mtembelee dr. ndodi akupe aktiveta!!!

Si ajabu hata hiyo elimu aliyonayo wewe hugusi hata kidogo lakini kwa sababu ya ama ufinyu wa uelewa ama dharau ama wivu unajifanya kumpondea.
 
Moja, Mwaga ushahidi ndugu siyo longo longo tu, au kwa kuwa mmezoea mambo ya hapa uswahilini (serikali yenu) Tanzania ambapo takriban kila kitu kinafanyika bila kufuata viwango stahiki mnadhani dunia yote ni hivyo. hakuna shortcut ya kuwa qualified engineer isipokuwa fundi mchundo.
Mbili, Siku nyingine unatakiwa kusoma na kutafsiri maana ya maneno kabla ya kujibu. Hivi ulielewa (Tanzania) ilimaniisha nini katika post yangu?
karaga bao.
 
Majibu yako hayako mbali, soma hapa;

Ni vizuri mkajifunza kuheshimu taaluma za wenzenu ili nanyi mheshimiwe, hii maneno mbofumbofu mnayoleta haa inaonyesha kwamba mnamchukia dada wa watu bure.

Is engineering desig a function of employment?
Waache wahandisi watasanifu michoro, an mafundi mchundo watumie michoro iliyosanifiwa kujenga.
Kwa vigezo vyote Stella Manyanya ninayemfahamu ni fundi mchundo, period!
Tuheshimu taaluma za watu:pound:
 
Mimi nadhani Fundi mchundo ni yule mwenye Full Technician Certificate peke yake, huyu naona ana Advanced Diploma In Electrical Engineering kwa maana hiyo ni Engineer huyu!.
 
Hii CV ya uongo. Miaka hiyo hapa Tanzania kulikuwa hakuna chuo kinaitwa DIT, kama huyo mwenye CV anaona mi nasema uongo atuwekee cheti chake cha FTC na ADVANCED DIPLOMA chenye kuonyesha DIT. Inamaana iyo Advanced Diploma alisomea kwa miaka 6? Labda kila mwaka alikuwa anarudia mwaka! Ndio CV ya Mh. Technician Eng. Manyanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom