Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Mifumo ya elimu nchi hii ilikuwa inagongana!!

Ili kupata Injinia mzuri aliyeiva ni lazima apikwe toka mapema

Utaratibu wa kuwa na Technical Secondary school kama Ifunda,Tanga,Moshi na Mtwara hatimae Mazengo ulikuwa mzuri,wafaulu wa shule hizo pure za ufundi walijiunga na vyuo vya ufundi kama Dar Tech,Arusha Tech ama Mbeya Tech kwa mafunzo ya Full Technician Certificate kwa miaka 3

Baada ya hapo ndipo hujiunga na Advanced Diploma kwa miaka 3 tena ambayo ni Equivalent na B Eng lakini bado mamlaka hizo hizo zinazotoa Elimu haziitambui hiyo kama degree

Je degree ya engineer ni kusoma PCM then Form 6 then University?
Huyu aliyegonga nyundo na kushika bisibisi na spana toka form one hadi Technical Collegge miaka sita bado sio Engineer?

Poor Tanzanians

Tunashindaniana vyeti na sio weledi!!

Huu ni ukweli mchungu kwa kweli Example mtu katoka Tech school kaanza kujua ufundi kidato cha pili then tech college 3 years then Advance diploma 3 yrs mtu yuko katika field almost 10 yrs utamfananisha na Pcm ambae amesoma five na six bado amemaliza six hajui hata course gani ataenda soma university haya kafata upepo kazama electrical yuko shallow theoretically na practically ndo ovyo kabisa bado anakutana na madesa ya FOE au COET miaka minne katika field ...utamfananisha na huyu alie anza technical inshu form two ..Wangapi wamepitia PCM ambao wanajiona academics na wamefanya kipi kwanza kazi hawawezi pili Hakuna hata research wanazofanya za kuleta positive things ni kujivunia tu na kutapiana vyuo walivyosoma
 
Back
Top Bottom