CCM ina hazina kubwa sana ya vijana mahamu, Mtanzania Ndg. Benedict Faustine Kikove Mshauri wa Maswala ya Siasa na Mahusiano kwa Umma Ubalozi wa Japan

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE

Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya awali.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuja kwako kuomba kura yako ya NDIYO ili niweze kupata ridhaa ya kuwakilisha chama chetu CCM katika kuwania nafasi hii ya Ubunge wa Afrika Mashariki na hatimaye kuwakilisha Taifa letu la Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.

Ninaomba kura yako; Ninaomba unishike mkono; Ninaomba univushe- ili tuwe na uwakilishi makini na thabiti katika EALA.

WASIFU WANGU KWA UFUPI

Mimi ni Mtanzania; Kijana wa Chama Cha Mapinduzi mwenye umri wa miaka 34.

ELIMU

- Masters of Arts in Public Administration (UDSM)
- PGD in Management of Foreign Relations (CFR)
- BA in Political Science and Public Administration (UDSM)

UZOEFU WA KAZI

- 2013 To date: Senior Political and Public Relations Advisor, Embassy of Japan

2011-2012: Program Associate, Youths Development, United Nations Population Fund

UZOEFU WA UONGOZI
2012 todate: Vice Chairperson, United Nations Association of Tanzania

2018- 2022: Member of Board, Tanzania Scouts Association

2016- 2022: Board Member, Msichana Initiative

2011- 2014: Vice President, AfriYAN

2010-2013: Board Member, EAC Vision Group

2009- 2011: Chaiperson, Youths of United Nations Association of Tanzania

2009- 2011: Speaker, Dar es Salaam Youths Parliament

2008: President, Eastern Africa Model UN General Assembly

2007: President, Tanzania Model UN General Assembly

MAFUNZO YA KIMKAKATI

  • Certificate in Directorship - IoDT (2020)
  • Certificate in Economic Diplomacy- CFR (2017)
  • Global Leaders Development Program- Japan (2014)
  • Young Leaders Training Progam- FES (2011)
  • East African Uongozi Institute- UDSM (2010)
  • Communications for Governance, Reuters International (2009)

UZOEFU WA KIMATAIFA

  • Participated, Facilitated and Addressed a number of international forums regionally and globally including
  • 2018 EAC Heads of States Summit - Dar es Salaam
  • 2019 UN Plennary Assembly on SDGs - New York.
  • 2017 African Leaders Forum- Pretoria
  • Tokyo International Conference on African Development
  • 2010 World Economic Forum, Dar es Salaam
 
Attachments

  • IMG-20220910-WA0040(1).jpg
    IMG-20220910-WA0040(1).jpg
    77.7 KB · Views: 7
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE

Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya awali.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuja kwako kuomba kura yako ya NDIYO ili niweze kupata ridhaa ya kuwakilisha chama chetu CCM katika kuwania nafasi hii ya Ubunge wa Afrika Mashariki na hatimaye kuwakilisha Taifa letu la Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.

Ninaomba kura yako; Ninaomba unishike mkono; Ninaomba univushe- ili tuwe na uwakilishi makini na thabiti katika EALA.

WASIFU WANGU KWA UFUPI

Mimi ni Mtanzania; Kijana wa Chama Cha Mapinduzi mwenye umri wa miaka 34.

ELIMU

  • Masters of Arts in Public Administration (UDSM)
  • PGD in Management of Foreign Relations (CFR)
  • BA in Political Science and Public Administration (UDSM)

UZOEFU WA KAZI

- 2013 To date: Senior Political and Public Relations Advisor, Embassy of Japan

2011-2012: Program Associate, Youths Development, United Nations Population Fund

UZOEFU WA UONGOZI
2012 todate: Vice Chairperson, United Nations Association of Tanzania

2018- 2022: Member of Board, Tanzania Scouts Association

2016- 2022: Board Member, Msichana Initiative

2011- 2014: Vice President, AfriYAN

2010-2013: Board Member, EAC Vision Group

2009- 2011: Chaiperson, Youths of United Nations Association of Tanzania

2009- 2011: Speaker, Dar es Salaam Youths Parliament

2008: President, Eastern Africa Model UN General Assembly

2007: President, Tanzania Model UN General Assembly

MAFUNZO YA KIMKAKATI

  • Certificate in Directorship - IoDT (2020)
  • Certificate in Economic Diplomacy- CFR (2017)
  • Global Leaders Development Program- Japan (2014)
  • Young Leaders Training Progam- FES (2011)
  • East African Uongozi Institute- UDSM (2010)
  • Communications for Governance, Reuters International (2009)

UZOEFU WA KIMATAIFA

  • Participated, Facilitated and Addressed a number of international forums regionally and globally including
  • 2018 EAC Heads of States Summit - Dar es Salaam
  • 2019 UN Plennary Assembly on SDGs - New York.
  • 2017 African Leaders Forum- Pretoria
  • Tokyo International Conference on African Development
  • 2010 World Economic Forum, Dar es Salaam
VIJANA wa CCM hawana tofauti wote ndio wale wale Wasome au wasisome Makonda Sabaya Heri james Kihongosi Hapi na wengineo
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE

Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya awali.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuja kwako kuomba kura yako ya NDIYO ili niweze kupata ridhaa ya kuwakilisha chama chetu CCM katika kuwania nafasi hii ya Ubunge wa Afrika Mashariki na hatimaye kuwakilisha Taifa letu la Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.

Ninaomba kura yako; Ninaomba unishike mkono; Ninaomba univushe- ili tuwe na uwakilishi makini na thabiti katika EALA.

WASIFU WANGU KWA UFUPI

Mimi ni Mtanzania; Kijana wa Chama Cha Mapinduzi mwenye umri wa miaka 34.

ELIMU

- Masters of Arts in Public Administration (UDSM)
- PGD in Management of Foreign Relations (CFR)
- BA in Political Science and Public Administration (UDSM)

UZOEFU WA KAZI

- 2013 To date: Senior Political and Public Relations Advisor, Embassy of Japan

2011-2012: Program Associate, Youths Development, United Nations Population Fund

UZOEFU WA UONGOZI
2012 todate: Vice Chairperson, United Nations Association of Tanzania

2018- 2022: Member of Board, Tanzania Scouts Association

2016- 2022: Board Member, Msichana Initiative

2011- 2014: Vice President, AfriYAN

2010-2013: Board Member, EAC Vision Group

2009- 2011: Chaiperson, Youths of United Nations Association of Tanzania

2009- 2011: Speaker, Dar es Salaam Youths Parliament

2008: President, Eastern Africa Model UN General Assembly

2007: President, Tanzania Model UN General Assembly

MAFUNZO YA KIMKAKATI

  • Certificate in Directorship - IoDT (2020)
  • Certificate in Economic Diplomacy- CFR (2017)
  • Global Leaders Development Program- Japan (2014)
  • Young Leaders Training Progam- FES (2011)
  • East African Uongozi Institute- UDSM (2010)
  • Communications for Governance, Reuters International (2009)

UZOEFU WA KIMATAIFA

  • Participated, Facilitated and Addressed a number of international forums regionally and globally including
  • 2018 EAC Heads of States Summit - Dar es Salaam
  • 2019 UN Plennary Assembly on SDGs - New York.
  • 2017 African Leaders Forum- Pretoria
  • Tokyo International Conference on African Development
  • 2010 World Economic Forum, Dar es Salaam
Mh!!!
 
Huyu mgombea angalau ana masuala mengi yaliyochapishwa ktk google na hivyo bunge letu la wananchi la senate JF tumjadili

1662810251650.png

Pacha: BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE

Source : https://www.un.org/africarenewal/author/benedict-faustine-kikove

Mwaka 2016 kutoka maktaba :

Untitled01
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida na Rais wa Heshima wa SWYAA chapta ya Tanzania akiwa ameshika Katiba ya SWYAA chapta ya Tanzania pamoja na Rais wa SWYAA chapta ya Tanzania, Benedict Faustine Kikove.
 
Unakuwaje Senior Advisor ukiwa na miaka 34 tena kwenye ubalozi muhimu kwa nchi kama wa Japan? Na usiniambie eti una experience, ipi? Ingekuwa mwaka 1965 ningeelewa ila siyo Tanzania hii ya leo.
 
Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Mimi; BENEDICT FAUSTINE
KIKOVE

Ninashukuru kwa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake, mama yetu mpendwa, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kunipendekeza kwenu kati ya wana CCM wengi wanaofaa kuwania nafasi hii kwa hatua hii ya awali.

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuja kwako kuomba kura yako ya NDIYO ili niweze kupata ridhaa ya kuwakilisha chama chetu CCM katika kuwania nafasi hii ya Ubunge wa Afrika Mashariki na hatimaye kuwakilisha Taifa letu la Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki.

Ninaomba kura yako; Ninaomba unishike mkono; Ninaomba univushe- ili tuwe na uwakilishi makini na thabiti katika EALA.

WASIFU WANGU KWA UFUPI

Mimi ni Mtanzania; Kijana wa Chama Cha Mapinduzi mwenye umri wa miaka 34.

ELIMU

- Masters of Arts in Public Administration (UDSM)
- PGD in Management of Foreign Relations (CFR)
- BA in Political Science and Public Administration (UDSM)

UZOEFU WA KAZI

- 2013 To date: Senior Political and Public Relations Advisor, Embassy of Japan

2011-2012: Program Associate, Youths Development, United Nations Population Fund

UZOEFU WA UONGOZI
2012 todate: Vice Chairperson, United Nations Association of Tanzania

2018- 2022: Member of Board, Tanzania Scouts Association

2016- 2022: Board Member, Msichana Initiative

2011- 2014: Vice President, AfriYAN

2010-2013: Board Member, EAC Vision Group

2009- 2011: Chaiperson, Youths of United Nations Association of Tanzania

2009- 2011: Speaker, Dar es Salaam Youths Parliament

2008: President, Eastern Africa Model UN General Assembly

2007: President, Tanzania Model UN General Assembly

MAFUNZO YA KIMKAKATI

  • Certificate in Directorship - IoDT (2020)
  • Certificate in Economic Diplomacy- CFR (2017)
  • Global Leaders Development Program- Japan (2014)
  • Young Leaders Training Progam- FES (2011)
  • East African Uongozi Institute- UDSM (2010)
  • Communications for Governance, Reuters International (2009)

UZOEFU WA KIMATAIFA

  • Participated, Facilitated and Addressed a number of international forums regionally and globally including
  • 2018 EAC Heads of States Summit - Dar es Salaam
  • 2019 UN Plennary Assembly on SDGs - New York.
  • 2017 African Leaders Forum- Pretoria
  • Tokyo International Conference on African Development
  • 2010 World Economic Forum, Dar es Salaam
We una shida,bata utakula tu,kama ukiwa na miaka 25 tu ulikuwa tayari umeajiliwa wizara ya mambo ya nje,tena ubalozini!!aaaah wewe ni mtoto wa mkubwa bila shaka,at 25 watu ndio wanamaliza vyuo,wewe tayari bila uzoefu upo ubalozini!!!nji hiiii noma sana!!!
 
Huyu dogo akitulia atafika mbali sana! Shida yake ni utoto mwingi sana nakupenda maisha ya haraka sana! Namfahamu toka anasoma Mtakuja Primary pale Kunduchi! Secondary Visiga na Mzumbe! UDSM na Chuo cha diplomasia pale kurasini! Na tumekua nae kitaa pale Kunduchi Mtongani! Nina historia nae ndefu sana! Long story short story ni mchumia tumbo tu kama walivyo wengine
 
Back
Top Bottom