Mhandisi/Mwanasiasa Stella Manyanya

Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.

Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.

This year,we call a spade a spade,not a big spoon!

Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
 
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Wamezoea kujiita hivyo kwani wengine wanajiita maprofessor ingawa hawajapitia taaluma ya kufikia kiwango hicho cha elimu
 
Uko sahihi mzee wa Lumumba. Hata Engineers Registration Board ilikuwa na utaratibu tofauti wa kuwatambua na kuwasajili wahitimu wa stashahada ya juu ya uhandisi. Na kiutaratibu huwezi kuanza na Eng. Stella Manyanya kama sio Registered Professional Engineer- PEng(T).
 
Amekuwa akijitaja na kutajwa;kujiita na kuitwa kuwa ni Injinia/Mhandisi/Engineer. Kiukweli,kada huyu mkongwe wa CCM,mbunge mtarajiwa wa Mbinga Magharibi na mkuu wa mkoa wa Rukwa,si injinia.

Nyaraka za kitaaluma za Stella Manyanya zinaonesha kuwa Manyanya ana Stashahada ya Juu ya Uhandisi toka Dar Tech ambayo kitaaluma haimfanyi kuwa injinia. Hajawahi kupata shahada ya uhandisi popote pale.

This year,we call a spade a spade,not a big spoon!

Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam

Hivyo leo kweli umeamua.Na mie nitakusaidia hafai kuwa MBUNGE sababu amejipachika cheo in short amefoji tittle...............
 
Back
Top Bottom