Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
mimi ndio mtoa mada YPlus
Huwa naogopa sana kutoa mada nisiyokuwa na ushahidi nayo,kwa hili nawahakikishia ni kweli kwa asilimia zote,nimehangaika sana ku upload hii kitu bado sijafanikiwa lakini nashukuru mpaka sasa ninesha wapatia watu kwa njia ya cd na pale kambini cdm cd zinagawiwa kwa kila anaye hitaji,bado naendelea na zoezi la kuupload hadi nifanikiwe,nitatoa link hapa.
Haya matusi ya Mh Lucinde sio siri nawahakikishia mtayasikia tu labda msifuatilie ila ninauhakika kila sehemu Tz hii yatafika.
Mkuu tunasubiri, mi kwa upande wangu nataka kuona video yenye kipande ambacho mtukanaji anatamka kuwa, Mh Lema 'alifirwa' alipokuwa gerezani. Na watu wanasikia kwenye mkutano wa hadhara.