Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Anaanza kwa kutambulishwa kuwa anaitwa Mh Lusinde.Mbumbe wa Mtera alimaarufu kwa jina la Kibajaj...



1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Naomba mniwie radhi sana maana najua haya matusi yatawakwaza wengi lakini tupo kwenye mpango wa kuhakikisha Audio na Video zake zinaenea Nchi nzima tuijue CCM ya leo

Nawasilisha.

Mkuu, kamwe sintoamini hayo uliyoyaorodhesha hadi niione hiyo video au walau niisikie hiyo audio.
Kweli mtu anayeitwa mheshimiwa mbunge anaweza kutamka maneno machafu kama hayo!!!?????
If ever it's true, then only in Tanzania that this can happen!
 
To proof otherwise chungulia kwenye youtube lusinde ccm matusi.

Ni nini kinachogomba kuitupia hiyo video hapa, video ambayo mtu katoa hayo matusi yaliyoandikwa hapo juu, matusi ambayo hata mods wameyawekea nyota nyota. Samahani mods, iacheni kama jinsi ilivyo hapa. Ni kweli huyu mbunge alitamka kwenye mkutano wa hadhara kuwa, mbunge Lema alifirwa alipokuwa gerezani. Hii inaingia akilini kweli?
 
Mkuu hii ni kweli au? Kama ccm wameamua kucheza siasa hizi basi hatuna tena chama ila chuo cha matusi! Hizi ni siasa gani? Tume ya uchaguzi iko wapi, kwa nini isikemee hili jambo?

ndio kirefu cha CCM nini?
 
Kama ni kweli kaongea hayo maneno basi huyu jamaa akili yake itakuwa na matatizo..

Ni bora mjinga mwenye dharau kuliko mjinga mwenye matusi.
 
mkuu kama kuna ushahidi wa hayo yaliosemwa tafadhali harakisha kuuweka hapa.. Wont comment anythin mpaka niuone ushahidi..
 
Kama ni kweli kaongea hayo maneno basi huyu jamaa akili yake itakuwa na matatizo..

Ni bora mjinga mwenye dharau kuliko mjinga mwenye matusi.

Mkuu tumeambiwa kuwa kuna video na audio zitamwagwa hapa. Tunasubiri kwa hamu hiyo video, vinginevyo ushabiki wa aina hii. Haupendezi kuwekwa hadharani hivi, watu wafanye kampeni kwa propaganda na mipasho ya kawaida ambayo tumeshaizoea. Lakini si kwa mpango huu.
 
Mkuu tumeambiwa kuwa kuna video na audio zitamwagwa hapa. Tunasubiri kwa hamu hiyo video, vinginevyo ushabiki wa aina hii. Haupendezi kuwekwa hadharani hivi, watu wafanye kampeni kwa propaganda na mipasho ya kawaida ambayo tumeshaizoea. Lakini si kwa mpango huu.

Ngoja tusubiri hiyo video mkuu.
 
Hii itaenea kila kona,kwa njia yeyote.

Mkuu! Hata hapa JF ni kona pia. Wewe ndiye umetuletea huu uzi. Mbona unarudi mikono mitupu na kuleta kwaya kuwa hii itaenea kila kona kwa njia yoyote! Kwani wewe umeyatoa wapi haya? Acha sarakasi mzee, ngonjera haisaidii hapa. Tuletee huo mchapo kwa picha na sauti ili tujue huyu jamaa tutampa adhabu gani.
 
Mkuu! Hata hapa JF ni kona pia. Wewe ndiye umetuletea huu uzi. Mbona unarudi mikono mitupu na kuleta kwaya kuwa hii itaenea kila kona kwa njia yoyote! Kwani wewe umeyatoa wapi haya? Acha sarakasi mzee, ngonjera haisaidii hapa. Tuletee huo mchapo kwa picha na sauti ili tujue huyu jamaa tutampa adhabu gani.
Mtampa adhabu gani wewe na nani?
 
Inasikitisha sana kuona wanaopaswa kujenga Tanzania ndio wanaoibomoa kama wabunge wa staili ya Mh. Lusinde. Kuwa mheshimiwa lazima ujiheshimu vinginevyo ukifanya matendo yasiyo ya heshima ukiwa mheshimiwa unakuwa umejivua heshima au kuji-heshimua. Lusinde anajulikana kama mpuuzi fulani hivi, hata kujiita bajaji ni uthibitisho wazi wa 'infiriority complex'. Sasa TZ haiwezi endelezwa na watu wanaoamini hawawezi lolote ila wanaona uchungu kujua kuwa kuna wengine wanaweza.

Mkanda wa video wa matusi ya Lusinde uwekwe hadharani ili baada ya uchaguzi watu wote tujue udhalimu wa makada hao wa ccm walioingia kwa kuhonga na sasa watatoka kwa kuhongwa wao wenyewe.
 
MBUNGE wa Jamhuri ya Muungano aongee vitu kama hivi?Mm nitakuwa"Tomaso"kwenye maandiko ya kwenye bible kwa KUTOAMINI hadi nione audio za Lusinde akitamka haya matusi yasiyoandikika!

Tunasubiri mkuu;tupe ushahidi
 
Tatizo laknake huy kijana ni shule,ni std 4 huyu,mchinja Ng'ombe na mmiliki wa Bucha leo hii anakua MP,kwa hyo hili ni shule,nitatizo la elimu ndogo ya huyu bwana mdogo
Mkuu wangu tatizo la huyo dogo siyo shule kwani watu wangapi hawajui kusoma wala kuandika na hawajawahi soma shule yeyote lakini wana busara na hekima ya hali ya juu! Huyu ni kichaa! Anayemruhusu kusimama mbele ya watu na kuongea matusi yote haya ni mpumbavu!
 
Nina mashaka makubwa kama kweli kiongozi anaweza kupanda jukwaani na kutamka maneno kama hayo. Huo ni uwongo wa hali y juu kwa mleta maada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom