Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

mimi ndio mtoa mada YPlus
Huwa naogopa sana kutoa mada nisiyokuwa na ushahidi nayo,kwa hili nawahakikishia ni kweli kwa asilimia zote,nimehangaika sana ku upload hii kitu bado sijafanikiwa lakini nashukuru mpaka sasa ninesha wapatia watu kwa njia ya cd na pale kambini cdm cd zinagawiwa kwa kila anaye hitaji,bado naendelea na zoezi la kuupload hadi nifanikiwe,nitatoa link hapa.
Haya matusi ya Mh Lucinde sio siri nawahakikishia mtayasikia tu labda msifuatilie ila ninauhakika kila sehemu Tz hii yatafika.

Mkuu tunasubiri, mi kwa upande wangu nataka kuona video yenye kipande ambacho mtukanaji anatamka kuwa, Mh Lema 'alifirwa' alipokuwa gerezani. Na watu wanasikia kwenye mkutano wa hadhara.
 
Mkuu tunasubiri, mi kwa upande wangu nataka kuona video yenye kipande ambacho mtukanaji anatamka kuwa, Mh Lema 'alifirwa' alipokuwa gerezani. Na watu wanasikia kwenye mkutano wa hadhara.

wewe umeambiwa zitawekwa uvumilivu umekushnda mkuu,kuwa mpole usitake kudrive watu kama watoto
 
Mtaani kwenu hamna matahira mwenzetu? Kwani mnaishi nao vipi? Unawachukia kweli? Basi kama unawa ignore do the same to him
 
Nimefurahishwa na uwepo wake pamoja na lugha anazotumia! Si kwamba mimi ni mpenzi wa lugha za matusi bali kwakuwa inakuwa rahisi kwa watanzania kutambua ccm na serikali yake ni watu wa namna gani hivyo kurahisisha kazi ya wanamageuzi kuueleza umma, kama ikitokea chaguzi ndogo nyingine magamba wajue chati yao itazidi kushuka kwa mwendo huu labda mshauri atokee mbinguni.
 
Kale kajamaa ni katupu kabisa kichwani. Sijui hata kaliipataje hiyo nafasi ya ubunge. Anyway, pengine huko jimboni kwake kenyewe ndio the best!
 
Kale kajamaa ni katupu kabisa kichwani. Sijui hata kaliipataje hiyo nafasi ya ubunge. Anyway, pengine huko jimboni kwake kenyewe ndio the best!

Walilichoka tinga tinga, kumbe wakapa kibajaji
 
Du? Hivi tunawapa watu machizi watuongoze.Nafikiri kipindi chake cha kumpindua Mbuyu alikuwa namtukana kwa njia anayotumia.Yani kichwani mweupe kabisaaaaaa.Nilitamani kumsikia akielezea mikakati ya kutatua matatizo ya Wameru..Sasa kumbe anatukuna CDM ili wananchi wawape kura..Hapo kachemka.Watanzania tumechoka na Propaganda
 
Kale kajamaa ni katupu kabisa kichwani. Sijui hata kaliipataje hiyo nafasi ya ubunge. Anyway, pengine huko jimboni kwake kenyewe ndio the best!

Kalipata kwa sababu tinga tinga wagogo walikuwa wamesha mchoka
 
Haya sasa,
By Lusinde,
1. Mh Lema aliolewa mahabusu, ana bwana kamuacha kule (mnajua mtu aliyeolewa anafanywa nini).
2. Mh Nyerere analiwa hawasemi (hopeful akimaanisha k.u.l.a.w.i.t.iwa)
3.Pro. Maji marefu kawachanja viongozi wa cdm chale matakoni
4
5..
Na mengineyo.

Hivi kwa ushahidi huu, jamaa hawezi pelekwa mahakamani kwa kosa la defarmation?
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom