Mh. Godbless Lema aonja joto la jiwe!

Cdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm

Wewe funga domo lako,Chitanda alisema nyie ni wafinyu wa mawazo,hatuna mda na nyie malofa wa mawazo.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
kuna jamaa amenitumia habari hii nikacheka sana....uhuru bwana!!!!!!!
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.

===========
Kutoka kwa Lema:

Hakuna kitu kama hicho, ni uzushi mtupu na wala sipo Mara bali nipo Arusha kwenye harusi ya mdogo wangu ambayo naisimamia leo. Watanzania msiamini habari hizi

Hongereni sana Mods, yaani mmeweka majibu hapo hapo. Mwehu huyo alitaka kupoteza muda na nafasi za watu bure.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
haina hadhi ya kuitwa habari ni upuuzi tu wa kawaida,kwa mwendo huu ccm watazusha hadi kifo chake.
 
Nasikitika sana kifo cha mnajimu wa nyota mimi nilimuuta mwizi wa nyota kitawaathiri wengi.wale wote tuliowaona angalau wanaakili kidogo sasa tutawaona wakitapatapa baada ya nyota za watu walizowekewa kurudi kwa wenyewe kwa kukosa mlinzi.haya ndiyo matokeo watu watazidi kuchanganyikiwa,yule mzee kidogo aliwalaza usingizi msiuone moto wa wapambanaji ili mzidi kuwa wajinga.sasa macho yatakuwa halisi na mtachanganyikiwa kweli kweli.
Mama umeshajifungua? Achana na Lema kila mtu anajua kuwa Lema ni wicked crook! Inawezekana alifuata ule mmea huko Tarime
 
If this event z true bac hakuna wananchi wajinga km hawa wa tarime ambao wanapata kiögoz wa kuwamulikia wapate kuöna njia wao wanaukojorea moto! Dah hi itakuwa n so!!

mkuu soma kwenye thread lema amesha kanusha na na kusema hayuko Mara bali yuko Arusha...
 
Mama umeshajifungua? Achana na Lema kila mtu anajua kuwa Lema ni wicked crook! Inawezekana alifuata ule mmea huko Tarime

hivi kwanini Amina Chifupa alikufa kifo cha ajabu ajabu nani baada ya kuahidi atampa kikwete majina ya wauza madawa kulevya? je unajua leo kuna kada wa ccm kasema idd azan anauza madawa ya kulevya..
 
yatasemwa meng ktk hili yote ni kila mmoja kutake advantage Tarime,wanatarime msikubal ku2mika,sikilizen hisia za mioyo yenu..Mungu ibariki Tanzania.
 
Hivi ili habari iwe ni ya ukweli inatakiwa iripotiwe katika chombo kipi cha habari? Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba habari ni habari pale inaporipotiwa katika magazeti fulani ambayo machoni mwa wateule fulani ni reliable!
 
si lazima iripotiwe bali inatakiwa iwe habari ya ukweli
 
Source ni UHURU na HABARI LEO. Habari hii ni ya kutunga -- na kama ni kweli basi CCM iliwalipa vijana kurusha mawe na halafu haraka kupeleka habari katika hayo magazeti yao ambnayo habari kama hizo huziandika tu bila kufanya independent confirmation.

jana au juzi magazeti hayo mawili yaliandika habari za Mrema na Prof yule wa Pumba wakimponda Dr Slaa. Hakuna magazeti mengine yaliyoandika habari hiyo ambayo ilitokana na waandishi wao kuagizwa kuwahoji wawili hao kuhusu mikakati ya CDM Nyanda za Juu Kusini na ambao hawakutarajiwa kuisifia CDM na Dr Slaa hata kidogo kwa jinsi wivu wa kike ulivyowajaa.

Hayo magazeti mawili sasa hivi yanakwenda kivyao -- yamekaa kama vile 'Jokers' in the pack of cards!

Ongeza Jambo leo na Changamoto (changa la macho)
 
Hivi ili habari iwe ni ya ukweli inatakiwa iripotiwe katika chombo kipi cha habari? Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba habari ni habari pale inaporipotiwa katika magazeti fulani ambayo machoni mwa wateule fulani ni reliable!

chombo chochote kinacho toa habari ya ukweli..
 
Hivi ili habari iwe ni ya ukweli inatakiwa iripotiwe katika chombo kipi cha habari? Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba habari ni habari pale inaporipotiwa katika magazeti fulani ambayo machoni mwa wateule fulani ni reliable!

Yasiwe yameandikwa na magezeti FULANI. Kwa taarifa yako waandishi wa haya magezeti FULANI tunaishi nao huku mtaani na wanatuambia 'pressure' iliyoko humo ndani kutunga majungu. Kwa hiyo ni vizuri hizo habari za magaziti fulani zikapelekwa Mtaa wa Lumumba. JF sio pahala pa majungu! haikubaliki.
 
Yani hawa jamaa wameshikwa pabaya.. ndio maana mwenyekiti wao magogoni hapakaliki, anahudhuria hata mikutano ya mabalozi nje ya nchi mradi asafiri tu looolZ... uzi ni ule ule
 
Hivi ili habari iwe ni ya ukweli inatakiwa iripotiwe katika chombo kipi cha habari? Kwa hali ilivyo sasa hivi ni kwamba habari ni habari pale inaporipotiwa katika magazeti fulani ambayo machoni mwa wateule fulani ni reliable!
Kwenye habari kuna kitu kinaitwa Reliable Source, not every source of informations is reliable Uhuru na HabariLeo & likes reliability na validity zao katika maswala ya habari ziko chini sana wengi hawaamini habari zao kwa sababu nyingi ni za kuegemea upande mmoja hawako independent.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom