Mh. Godbless Lema aonja joto la jiwe!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.

===========
Kutoka kwa Lema:

Hakuna kitu kama hicho, ni uzushi mtupu na wala sipo Mara bali nipo Arusha kwenye harusi ya mdogo wangu ambayo naisimamia leo. Watanzania msiamini habari hizi

=============
Kutoka kwa Anonymous Source:

Mh. Lema umeshafika Arusha? Unataka kusema wewe haukuwa Sirari?
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.
Unajua swali litalofuata!
 
hahaaaaaaa CCM mna kazi kweli kweli mwaka huu...hivi mtafika kweli 2015??? maana naona kama mmezidiwa pumzi mnatapatapa
 
Source?
Otherwise, this is CrAp!

Source ni UHURU na HABARI LEO. Habari hii ni ya kutunga -- na kama ni kweli basi CCM iliwalipa vijana kurusha mawe na halafu haraka kupeleka habari katika hayo magazeti yao ambnayo habari kama hizo huziandika tu bila kufanya independent confirmation.

jana au juzi magazeti hayo mawili yaliandika habari za Mrema na Prof yule wa Pumba wakimponda Dr Slaa. Hakuna magazeti mengine yaliyoandika habari hiyo ambayo ilitokana na waandishi wao kuagizwa kuwahoji wawili hao kuhusu mikakati ya CDM Nyanda za Juu Kusini na ambao hawakutarajiwa kuisifia CDM na Dr Slaa hata kidogo kwa jinsi wivu wa kike ulivyowajaa.

Hayo magazeti mawili sasa hivi yanakwenda kivyao -- yamekaa kama vile 'Jokers' in the pack of cards!
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.

Sijasoma magazeti ya leo bado lakini hilo litakuwa uhuru, habari leo au mtanzania au sanasana annur, alhuda na viambata vyake.
 
Source ni UHURU na HABARI LEO. Habari hii ni ya kutunga -- na kama ni kweli basi CCM iliwalipa vijana kurusha mawe na halafu haraka kupeleka habari katika hayo magazeti yao ambnayo habari kama hizo huziandika tu bila kufanya independent confirmation.

jana au juzi magazeti hayo mawili yaliandika habari za Mrema na Prof yule wa Pumba wakimponda Dr Slaa. Hakuna magazeti mengine yaliyoandika habari hiyo ambayo ilitokana na waandishi wao kuagizwa kuwahoji wawili hao kuhusu mikakati ya CDM Nyanda za Juu Kusini na ambao hawakutarajiwa kuisifia CDM na Dr Slaa hata kidogo kwa jinsi wivu wa kike ulivyowajaa.

Hayo magazeti mawili sasa hivi yanakwenda kivyao -- yamekaa kama vile 'Jokers' in the pack of cards
!

Ongezea JAMBA LEO hapo!
 
Source ni UHURU na HABARI LEO. Habari hii ni ya kutunga -- na kama ni kweli basi CCM iliwalipa vijana kurusha mawe na halafu haraka kupeleka habari katika hayo magazeti yao ambnayo habari kama hizo huziandika tu bila kufanya independent confirmation.

jana au juzi magazeti hayo mawili yaliandika habari za Mrema na Prof yule wa Pumba wakimponda Dr Slaa. Hakuna magazeti mengine yaliyoandika habari hiyo ambayo ilitokana na waandishi wao kuagizwa kuwahoji wawili hao kuhusu mikakati ya CDM Nyanda za Juu Kusini na ambao hawakutarajiwa kuisifia CDM na Dr Slaa hata kidogo kwa jinsi wivu wa kike ulivyowajaa.

Hayo magazeti mawili sasa hivi yanakwenda kivyao -- yamekaa kama vile 'Jokers' in the pack of cards!

Nilijua tu na haiwezi kushangaza.
 
kama ni kweli basi watakuwa wamewalipa vijana na kwa kuwa vijana wa ccm wanamawazo finyu kama alivyo sema chitanda..
 
Hivi jamani bado kuna mtu makini anaetegemea source of information kutoka habari leo na uhuru, come on guys u must be out of ur mind. Anyway kwaherini miminawahi kwenye mazishi ya yule mchawi mfuga majini wa pale mwembe chai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom