Mh. Godbless Lema aonja joto la jiwe!

hua nafurahi sana kumuona zitto humu,au kiongozi yeyote akiwa ndani ya jukwaa kujibu
hoja yoyote au uongo kama huu,sijui kwanini wabunge wengi wa chadema hawamo JF.
Au ndo wanatumia majina bandia kama sisi?
Lema yuko wapiiiiiii!
 
Kijana nipo sana, nashangazwa na hizo double standards zenu! Mbona alipopigwa Nyangwine mliamini bila kuhoji na hamku-suspect foul play? Kuweni wapole ndio siasa hizo!
 
Lema Aachen harakati alizotoa katika geto kele south Africa . Vinginevyo chadema kinaanza kuonekana ni chama cha wahuni ccw.
 
Ni gazeti moja la Kipumbavu lililotumika sana kuipigia kampeni ccm 2010 eti linajiita ni gazeti la serikali HABARI LEO pekee ndilo lililoandika habari hiyo!!!

Hapa ni Usawa wa MBAYUWAYU TU!

Hadanganyiki mtu!!!

Pipoooooooooz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pawa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Lema hajarushiwa mawe kama haya magazeti uchwara yalivyoandika...kuna ndugu zake na yule kilaza wa darasa la 4 ambaye ni m/kiti wa halmashauri ya Tarime ndio walipanga huo mkakati umeshindwa!!! mana cdm walipata hizo habari mapema ...naona walitaka ku counter ile mbunge wao alivyokimbia spidi mbaya sana..
 
Mwili wake tangu jana umehifadhiwa msikitini badala ya monchwari, sasa sijui siku hizi kuna postmotam inafanyika msikitini?
Si ndo majini menzake yanapoishi!! Au we ulidhani haka kakiumbe kalikuwa kabinadamu kamili!!??
 
Kijana nipo sana, nashangazwa na hizo double standards zenu! Mbona alipopigwa Nyangwine mliamini bila kuhoji na hamku-suspect foul play? Kuweni wapole ndio siasa hizo!
Uliangalia kwenye runinga? au kwenye magazeti? mbona kwny tbc1 habari haikuripotiwa au waliogopa hawakuwa na picha?
 
naungana na froida..tupiganie mali za umma kama tbc1 na vyombo vyake kuwa susia tu haitoshi ni kodi zetu ndiyo zinazo tumika..
 
Hivi hawa waandishi wetu wakitumwa jambo hawawezi kulibadilisha kidogo lisionekane ni la kupangwa?
Haka ka msamiati ka KUPOPOLEWA kwanini katumiwe na magazeti yote yalioripoti jambo hili.
Mwenyekiti kilaza,katibu kilaza,wanachama vilaza na waandishi vilaza.
 
hua nafurahi sana kumuona zitto humu,au kiongozi yeyote akiwa ndani ya jukwaa kujibu
hoja yoyote au uongo kama huu,sijui kwanini wabunge wengi wa chadema hawamo JF.
Au ndo wanatumia majina bandia kama sisi?
Lema yuko wapiiiiiii!
Nasikitika sana kifo cha mnajimu wa nyota mimi nilimuuta mwizi wa nyota kitawaathiri wengi. Wale wote tuliowaona angalau wana akili kidogo sasa tutawaona wakitapatapa baada ya nyota za watu walizowekewa kurudi kwa wenyewe kwa kukosa mlinzi.

Haya ndiyo matokeo, watu watazidi kuchanganyikiwa, yule mzee kidogo aliwalaza usingizi msiuone moto wa wapambanaji ili mzidi kuwa wajinga. Sasa macho yatakuwa halisi na mtachanganyikiwa kweli kweli.
 
uhuru ni gazeti hai, maana yanatumika zaidi na wafungia mihogo,chapati,vitumbua,bagia na maandazi
 
If this event z true bac hakuna wananchi wajinga km hawa wa tarime ambao wanapata kiögoz wa kuwamulikia wapate kuöna njia wao wanaukojorea moto! Dah hi itakuwa n so!!
 
utata. Magazeti ambayo hayachambuliwi na vyombo mbalimbal vya habari ndo yenye kuandika ukweli,hayo yanayopewa kipaumbele yapo yakitekeleza sera ya CCMISM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom