Mh. Godbless Lema aonja joto la jiwe!

Hivi jamani bado kuna mtu makini anaetegemea source of information kutoka habari leo na uhuru, come on guys u must be out of ur mind. Anyway kwaherini miminawahi kwenye mazishi ya yule mchawi mfuga majini wa pale mwembe chai.

Hawajamfukia tu?
Wamwahishe mapema ikiwezekana akatupwe mto Ruaha awe halali ya Mamba. Mkuu naomba unijuze japo kwa PM yatakayokua yanaendelea hapo msibani...
 
Wapeni salamu zao
waambieni "TUNDA HALIWEZI KUBADILIKA KURUDIA KUA UA!"
NI UCHOCHeZi tu huo wamesahau uongozi ni mapito ila utaifa utabakia je hao waliochochewa chuki na wao watakaporejea uraiani wataishi vipi?
WAR FRONT CHADEMA LETS GO..!
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.

Taja ni magazeti gani acha kuleta habari kama upo kwenye kijiwe cha kahawa...
 
Hawajamfukia tu?
Wamwahishe mapema ikiwezekana akatupwe mto Ruaha awe halali ya Mamba. Mkuu naomba unijuze japo kwa PM yatakayokua yanaendelea hapo msibani...

Mwili wake tangu jana umehifadhiwa msikitini badala ya monchwari, sasa sijui siku hizi kuna postmotam inafanyika msikitini?
 
Naomba kusema kama alivyosema Shibuda kuwa 'chafya za mpishi jikoni haziwezi kamwe kuzima moto tulio uwasha',hivyo habari hii wala hainipi shida kwani naifananisha na msemo huo hapo juu kwani hata ukiangalia wameiripoti kupitia yaleyale magazeti yao ya chukua chako mapema; Sasa naomba vijana wenzangu tuanzishe kampeni ya kuyapiga vita ili tuhakikishe hayauziki kabisa! Tuone hao waandishi wao uchwara watakula nini.
 
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa Kamanda Lema mbunge wa Chadema jana alipopolewa kwa mawe katika mji mdogo wa Sirari. Lema alikuwa katika harakati zake za kuchochea maandamano kwa wafiwa ndipo wananchi hao wenye hasira walipo mpa kisago hicho.

Cdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm
 
akutukanaye hakuchagulii tusi.. chama cha magamba kimeishiwa sasa wanahonga waandishi wa habari..
 
Ccm bana...inanikumbusha karimjee walipoleta vitoto ili vizomee kisa jana yake tambwe kazomewa..kwanza ingekuwa kwel TBC wasitangaze kwel?
 
Cdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm
Kwani kwa wewe Mwana CCM kikifa si ahueni kwako? Au kinyume chake? Halafu Jesuit bwana, Uhuru na Habari Leo nayo ni magazeti? na leo ni Jumamosi ofisi za serikali hazifunguliwi so hakuna atakayenunua
 
Kwangu mimi UHURU wakiandika ni sehemu ya propaganda kwa niamba ya chama chao lakini Habari Leo gazeti ambalo wewe na mimi tunaliendesha kwa kodi zetu wanakuwa partisan hapo ndio nachoka kabisa,nadhani mkakati uwe tuanze kuwapopotoa mawe waandishi wa television ya TBC1 na wa Habari leo kwa kutudharau wananchi na kuchukua upande manake wao ndio wanatakiwa wawe neutral ili habari zao zikitoka pasiwe na shaka ona sasa wananchi wotee tunajua wanachoripoti hakina ukweli sasa gazeti la serikali linapoteza heshima halafu tunasema bado tuna gazeti au TV station
 
Cdm msipomthibiti huyu lema atakiua chama kama si akili punguani watu wanaomboleza yeye anaenda kuhamasisha maandamano shame on you uongozi wote wa cdm
Makupa, hatua ambayo watanzania wamefikia ni mbaya kwa sababu ya uonevu unaofanywa na watawala. Watu wanauawa(na wewe kaa vizuri) bila sababu za msingi kila kukicha, hivi katika hali hii tutafanyaje kupingana na uonevu? Kuandamana na Kuzika ndiko kulikolipua nguvu ya umma Tunisia. Maandamano kama njia ya kuonyesha kutoridhika na hali sio kitu kibaya au unataka watu wasiandamane washike silaha kama Benghazi? Elewa kwamba na hiyo ni njia mbadala na nijuavyo ndugu zangu wa Tarime na sehemu za huko wanazo silaha nyingi tu na wanambinu za "Kijeshi" kuliko walibya wa Benghazi.
 
hata kama mkifanya hayo maandamano sidhani kama mnaweza kubadilisha chochote sana.sana mtawaongezea machungu wafiwa
 
Kwani kwa wewe Mwana CCM kikifa si ahueni kwako? Au kinyume chake? Halafu Jesuit bwana, Uhuru na Habari Leo nayo ni magazeti? na leo ni Jumamosi ofisi za serikali hazifunguliwi so hakuna atakayenunua
radio zote zimesoma hizo habari leo asubui hivyo umma wote una taarifa jioni tbc itaonyesha narudia tena kimbelembele cha lema kitaigarimu chadema
 
Hawa Chama Cha Majambazi mi naona mwisho wao ndiyo imewadia. Wapuuzi sanaaaaaaa¡¡¡¡¡¡
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom