Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,302
9,729
Ndugu zangu Watanzania,

Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya mwanahabari Odemba na Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo ameeleza mambo mengi sana kuhusu mbunge huyo wa zamani wa Arusha Mjini. ambapo ameeleza bila kusita wala hofu kuwa anao ushahidi wa kutosha wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless lema,amesema hata leo hii anaweza kuutoa ushahidi huo ikiwa utahitajika, amesema hata sasa anahofia kuwa pengine Lema anaweza kuwa ameirudia kazi yake hiyo ya zamani maana kwa sasa hana kazi ya aina yoyote ile anayoifanya hapa nchini na hata ukimuuliza anafanya kazi gani hawezi kukwambia.

Ameeleza zaidi pia kuwa mbunge huyo anapenda sana dezo na mteremko ,na ndio maana ameshindwa hata kuilea familia yake na kuamua kuitelekeza nje ya nchi ambako inalelewa huko na watu.amesema kuwa anashangaa na kumshangaa kuwa Lema ni mchaga wa aina gani ambaye anashindwa hata kulea tu familia yake, maana wachaga wamezoea upambanaji tofauti na yeye lema anayependa dezo na mteremko kwa kila kitu.anasema alikimbia kwa visingizio lakini Rais Samia alipoingia madarakani akasema njooni nchini tujenge nchi yetu, lakini kwa kuwa Lema anapenda mteremko ameona familia yake ibaki huko huko inakolelewa bure.

Amesema mbona watu kama Mbowe au John Heche Wana familia zao hapa hapa nchini? Amesema kwani kuna tatizo lipi nchini kwa sasa? Amesema ni kutanga tanga na kuhangaika na kukosa kazi za kufanya kwa Lema ndiko kunakomfanya aogope hata kuleta familia yake nchini maana anajuwa watamdai mahitaji kama vile ada za shule na mahitaji mengine ndio maana anaamua aiche huko huko wanakomsaidia kulea.

Amesema kwa sasa Lema hata jimbo tu la kugombea haelewi agombee lipi maana anatanga tanga kwa kusema mara anataka kugombea hai ,mara atafute jimbo Dar .anasema anatanga tanga kwa kuwa hana kazi za kufanya na anaona Ubunge ndio ponea yake ya kuendeshea maisha yake .

Mimi mwenyewe namuunga mkono Mheshimiwa Mrisho Gambo kwa sababu haiingii akilini mtu alisema amekimbia nchi kwa sababu anawindwa na kukimbilia huko nje ya nchi nakuomba kusaidiwa kulishwa na mahitaji mbalimbali yeye na familia yake.lakini Dkt Samia alipoingia madarakani akasema njooni tujenge nchi yetu ,lakini cha ajabu baada ya kunogewa na mteremko wa kupewa msaada na matunzo na mahitaji yote kutoka kwa wazungu amegoma kabisa kuirejesha familia yake na badala yake karejea mwenyewe nchini nakuja kuwaporomoshea matusi watanzania kuwa kazi wanazofanya ni za laana na za kimaskini.

Kwa hakika ni jambo ambalo wana Arusha hawata kaa wasahau matusi haya waliyotukanwa na Lema ambaye walimchangiaga mia mia zao mpaka akapata ubunge na kwenda kula pesa bungeni, bila kuwatumikia wala kuwapelekea maendeleo ya aina yoyote ile zaidi ya kufanya mivurugu kuanzia Bungeni mpaka mitaani. Kwa hakika wana Arusha walikuwa sahihi kabisa kumfurusha Arusha mjini kwa kumnyima kura za ndio.kwa sasa akatafute kwa kugombea maana Arusha hakuna wa kumpatia kura maana alishawaambia kuwa wao ni maskini na wanafanya kazi za kimaskini ,ilihali alikuwa mbunge kwa miaka kumi na hakuwasaidia kwa chochote zaidi ya kuja kuwatukana tu baada ya kurejea kutoka kwa wazungu alikokuwa akilishwa na kuhudumiwa kwa kila kitu kama kuku wa kisasa wasio weza jitafutia chakula chao au Makinda ya ndege.

Sasa mwakani Ubunge hapati wala nini ili arudi huko huko kwa wazungu.maana hakuna wa kumpatia kura ili aje kuwalipa kwa matusi na kuwadhalilisha kama alivyokwisha kufanya baada ya kuwa amevimbiwa na kuzidiwa na shibe na kusahau alikotokea kisiasa na kimaisha.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

=====

“Godbless Lema anatanga tanga hayupo Duniani hata ahera hayupo, ni mtu anayependa mteremko, Lema anapenda dezo, hana mvuto, amewatapeli watu Magari Arusha na ushahidi ninao, hana kazi ya kufanya amekuwa kama jina lake… Godbless - Jobless” MRISHO GAMBO

Gambo amemrahi lema ahache kuwatesa watoto wake kwa kukaa Nchi za watu kwa sababu zake za kisiasa, arudishe watoto Nyumbani kwani Arusha hakuna shida yoyote, hayo mambo anayoyafanya ni aibu kwa kabila lake la wachaga, “wachaga si watu wa kulelewa, sijui hiyo tabia Lema ameitoa wapi”?

Ikifika hatua ya mtu kutoa kafara familia yake kwa maslai ya kisiasa huyo mtu anapaswa kuombewa, Odemba kama Lema ni rafiki yako mwambie Arudishe watoto wakamsalimie Babu yao! Gambo.

Huyu Gambo inaonekana bado utoto haujamuiaha, nilimsikiliza , anahojiwa mpaka anatetemeka, haelewani na kila mtu huko Arusha, kiburi kingi, kujifanya mjuaji sana, naamini hata kwenye mchujo wa CCM hatapita, na uteuzi kwa mama asahau, Utoto mwingi
Yeye kaeleza UKWELI ulio wa wazi. Naomba nikuulize maswali madogo tu ,yaliyoulizwa na Mheshimiwa mbunge kuwa kwanini lema hajaja na familia yake Nchini? Anafanya kazi gani nchini unayoifahamu wewe binafsi. Nje na siasa ya kupiga mdomo na porojo za uongo na kutukana watu ana kazi gani nyingine ya kulipa hata kodi serikalini.
 
Hao wenye ushahidi wa kutapeliwa magari yao na Lema kwanini hawaendi mahakamani?

Hiyo interview hata haifai kuitazama, ni kupotezeana muda.
Lema anaujuwa ukweli wa matendo yake ya utapeli na ndio maana hajakanusha tuhuma hizo za utapeli.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya mwanahabari Odemba na Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo ameeleza mambo mengi sana kuhusu mbunge huyo wa zamani wa Arusha Mjini. ambapo ameeleza bila kusita wala hofu kuwa anao ushahidi wa kutosha wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless lema,amesema hata leo hii anaweza kuutoa ushahidi huo ikiwa utahitajika, amesema hata sasa anahofia kuwa pengine Lema anaweza kuwa ameirudia kazi yake hiyo ya zamani maana kwa sasa hana kazi ya aina yoyote ile anayoifanya hapa nchini na hata ukimuuliza anafanya kazi gani hawezi kukwambia.

Ameeleza zaidi pia kuwa mbunge huyo anapenda sana dezo na mteremko ,na ndio maana ameshindwa hata kuilea familia yake na kuamua kuitelekeza nje ya nchi ambako inalelewa huko na watu.amesema kuwa anashangaa na kumshangaa kuwa Lema ni mchaga wa aina gani ambaye anashindwa hata kulea tu familia yake, maana wachaga wamezoea upambanaji tofauti na yeye lema anayependa dezo na mteremko kwa kila kitu.anasema alikimbia kwa visingizio lakini Rais Samia alipoingia madarakani akasema njooni nchini tujenge nchi yetu, lakini kwa kuwa Lema anapenda mteremko ameona familia yake ibaki huko huko inakolelewa bure.

Amesema mbona watu kama Mbowe au John Heche Wana familia zao hapa hapa nchini? Amesema kwani kuna tatizo lipi nchini kwa sasa? Amesema ni kutanga tanga na kuhangaika na kukosa kazi za kufanya kwa Lema ndiko kunakomfanya aogope hata kuleta familia yake nchini maana anajuwa watamdai mahitaji kama vile ada za shule na mahitaji mengine ndio maana anaamua aiche huko huko wanakomsaidia kulea.

Amesema kwa sasa Lema hata jimbo tu la kugombea haelewi agombee lipi maana anatanga tanga kwa kusema mara anataka kugombea hai ,mara atafute jimbo Dar .anasema anatanga tanga kwa kuwa hana kazi za kufanya na anaona Ubunge ndio ponea yake ya kuendeshea maisha yake .

Mimi mwenyewe namuunga mkono Mheshimiwa Mrisho Gambo kwa sababu haiingii akilini mtu alisema amekimbia nchi kwa sababu anawindwa na kukimbilia huko nje ya nchi nakuomba kusaidiwa kulishwa na mahitaji mbalimbali yeye na familia yake.lakini Dkt Samia alipoingia madarakani akasema njooni tujenge nchi yetu ,lakini cha ajabu baada ya kunogewa na mteremko wa kupewa msaada na matunzo na mahitaji yote kutoka kwa wazungu amegoma kabisa kuirejesha familia yake na badala yake karejea mwenyewe nchini nakuja kuwaporomoshea matusi watanzania kuwa kazi wanazofanya ni za laana na za kimaskini.

Kwa hakika ni jambo ambalo wana Arusha hawata kaa wasahau matusi haya waliyotukanwa na Lema ambaye walimchangiaga mia mia zao mpaka akapata ubunge na kwenda kula pesa bungeni, bila kuwatumikia wala kuwapelekea maendeleo ya aina yoyote ile zaidi ya kufanya mivurugu kuanzia Bungeni mpaka mitaani. Kwa hakika wana Arusha walikuwa sahihi kabisa kumfurusha Arusha mjini kwa kumnyima kura za ndio.kwa sasa akatafute kwa kugombea maana Arusha hakuna wa kumpatia kura maana alishawaambia kuwa wao ni maskini na wanafanya kazi za kimaskini ,ilihali alikuwa mbunge kwa miaka kumi na hakuwasaidia kwa chochote zaidi ya kuja kuwatukana tu baada ya kurejea kutoka kwa wazungu alikokuwa akilishwa na kuhudumiwa kwa kila kitu kama kuku wa kisasa wasio weza jitafutia chakula chao au Makinda ya ndege.

Sasa mwakani Ubunge hapati wala nini ili arudi huko huko kwa wazungu.maana hakuna wa kumpatia kura ili aje kuwalipa kwa matusi na kuwadhalilisha kama alivyokwisha kufanya baada ya kuwa amevimbiwa na kuzidiwa na shibe na kusahau alikotokea kisiasa na kimaisha.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Screenshot_2024-02-29-07-56-10-583_com.android.chrome~2.jpg
Screenshot_2024-02-29-07-56-26-867_com.android.chrome~2.jpg
 
No ya Simu iko wapi,usilete ujinga hapa weka no,
 
Yeye kaeleza UKWELI ulio wa wazi. Naomba nikuulize maswali madogo tu ,yaliyoulizwa na Mheshimiwa mbunge kuwa kwanini lema hajaja na familia yake Nchini? Anafanya kazi gani nchini unayoifahamu wewe binafsi. Nje na siasa ya kupiga mdomo na porojo za uongo na kutukana watu ana kazi gani nyingine ya kulipa hata kodi serikalini.
Familia za wanaume wenzio zinakuhusu nini wewe? Kama lema kadhulumu magari polisi wako wapi kuchukua hatua?
 
Si alikuwa anatukana kazi halali kuwa ni za laana? Sasa kama kulea na kujipatia kipato halali ni rahisi kwanini yeye ametelekeza familia yake? Si angakuja akae nayo hapa hapa nchini kama anao ubavu wa kuhudumia?
 
Naona umeishiwa hoja na kukosa majibu. Si alikuwa anadharau kazi halali na kuziita ni za laana? Sasa kama kutafuta pesa ni kazi rahisi kwani sasa yeye kaamua kutelekeza mke na watoto ugenini? Si angakuja nao aone mziki wakutafuta pesa na kuanza kuheshimu kazi za mtu?
Lema ni mfanya biashara mkubwa pia mwekezaji kwenye madini sema shida Yako kutelekaza mke Canada usiwe na shida
 
Back
Top Bottom